Chumba chako ni chako na mume wako tu. Haipendezi chumba cha wanandoa kuingiwa kiholela na watu ambao washavunja ungo iwe mschana wa kazi, wakwe, mawifi, mashemeji, majirani au yeyote yule.
Chumba chako kikikosa staha na ndoa yako pia itakosa kuheshimiwa. Unapolala na mumeo hapafai kuonekana...