Nimeitoa sehemu.
Binti anakaribia kuolewa hivi karibuni, kungwi wake kamwambia kuwa inabidi awe msafi sana hapo kwenye nyumba yake, moja ya kitu alichomwambia ni kuhakikisha jiko lina kuwa safi na lenye mpangilio mzuri,
Ahakikishe hakuna chombo kichafu kinakuwepo jikoni muda wowote hata usiku...
Iwe ni kwa ajili ya kujilia vizuri na kufurahiana kimapenzi au kubadili ladha ya tendo, una vitu gani chumbani kwako vinavyonogesha ulaji?
Acha nianze:
1. Kibenchi cha pembeni ya kitanda
Mpenzi akirudi amechoka ila mimi nataka, napenda kumkalisha hapo, miguu yake inakua imekanyaga chini...