chalamila

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ubovu wa stendi ya mabasi Kigamboni Feri: Watumiaji wamtaka "RC Makeke" Chalamila awakwamue

    RC Chalamila Nimesafiri kutoka kwetu "Sumbawanga Town" nikaja Dar kumsalimia bibi huko Gezaulile Kigamboni. Kutoka Posta nilipitia Feri nikapanda pantoni, kisha basi kwenye kituo cha manasi cha Kigamboni Feri. Taarifa nilizokutana nazo ni kwamba watumiaji wa stendi ya mabasi Kigamboni Feri...
  2. Chalamila: Wanaume acheni unyanyasaji kwa wanawake

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amesema mwanamke ni mbegu, tunu, chachu, faraja, dira, mbunifu na shujaa katika familia na katika kuongoza taifa kwa ujumla endapo akipewa nafasi ya kuonyesha ujuzi wake. Aidha, Chalamila amegusia suala la wanaume kuwaachisha wanawake kazi, jambo...
  3. Tanzania inahitaji viongozi kama Albert Chalamila

    Ni msema kweli, nyeusi ni nyeusi na nyeupe ni nyeupe. Sio habari ya kupapasa kisiasa kunakodumaza taasisi za umma.
  4. Pre GE2025 Wakili Dickson Matata: Kauli za RC Chalamila ni zao la uongozi mbovu

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Magharibi, Wakili Dickson Matata amesema kuwa viongozi wa nchi ya Tanzania wamekuwa na changamoto ya kutoheshimu sheria na katiba za nchi kutokana na sheria hizo kuwa na mapungufu ambayo yanasababisha viongozi hao kutowajibishwa...
  5. Chalamila hoyeee. Namuona ITV malumbano ya hoja anashusha nondo

    Tangu mwaka kuanza nadhani hiki ni kipindi cha kwanza bora itv kuhusiana na kuendesha biashara Kariakoo kwa saa 24. Chalamila leo katulia. Anajenga hoja. Inaonekana alijiandaa ilivyo kwa kipindi hiki. Sio yule Chalamila mropokaji na mbwatukaji. Amekua kiasi. Namsikia akiongea kwa data na...
  6. Albert Chalamila: Kizazi ambacho kimepata divisheni 0 au 4 tunakiweka kwenye kundi lipi? Tunazalisha kizazi ambacho hakina tija kwa taifa

    Wakuu, Kama unajua una divisheni 0 au division four una ujumbe wako hapa kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, Albert Chalamila. ==================================== Mkuu wa Dar Es Salaam, Albert Chalamila akizijengea uwezo hoja zilizotoka kutoka kwa walimu juu ya changamoto zinazoweza...
  7. Pre GE2025 RC Chalamila atangaza uuzaji viwanja Mabwepande-Kinondoni

    sema Serikali imeshapima viwanja zaidi ya 2274. -Awataka wale wote waliovamia na kujenga kulipia viwanja hivyo mara moja kwa kuwa wamepunguziwa bei. Soma Pia: RC Chalamila afafanua video inayo trend aliyosema "Kama hutaki kununua Gloves kajifungulie nyumbani" Kufuatia maelekezo ya Rais wa...
  8. Wanasiasa acheni kuwachonganisha watoa huduma za afya na wananchi

    Kwa sababu watanzania wengi ni wajinga, wamezoea kudanganywa, wanadanganyika, wanapenda kudanganywa na hawapendi kuambiwa ukweli. Kumekuwa na changamoto ya sera ya afya inayotaka huduma za uzazi na za watoto chini ya miaka mitano kushindwa kutekelezwa ipasavyo. Mimi nataka kuchangia kama...
  9. B

    Chalamila, serikali wanapotutaka kulipia huduma za serikali wanajua malipo tunayolipa serikalini bila kupewa risiti ni kwa maslahi ya nani?

    Hii ni mifano halisi kwa malipo ya serikali bila risiti: 1. Huduma za afya hospitali ya wilaya Sengerema. 2. Kupita juu ya daraja la Busisi ili kuepuka adha ya ferry hasa nyakati za usiku. Kwamba huu kumbe ndiyo ulio utaratibu wa kawaida Sengerema huku! Kulipishwa huduma kwa niaba ya...
  10. Ukiondoa Ukakasi wa Kauli za RC Chalamila Mnyonge Mnyongeni Ila Haki Yake Mpeni, Waafrika Tunapenda Kulelewa Mpaka Imekuwa Ulemavu

    NCHI INAZAMA KWA KUKUMBATIA UJINGA Je, umewahi kujiuliza kwa nini nchi hii haipigi hatua licha ya kuwa na rasilimali, amani, na nafasi za kujikwamua? Sababu iko wazi: tunakumbatia ujinga na kusambaza mzigo wa maamuzi yetu mabaya kwa wengine. Mtu anataka kondomu afadhiliwe, akishindwa kuitumia...
  11. LHRC: Chalamila achuliwe hatua za kinidhamu kwa kauli ya kutweza utu wa Mwanamke

    Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimetoa wito kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kumchukulia hatua za kinidhamu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila kutokana na kauli yake anayodaiwa kuitoa hivi karibuni ambayo wamedai kuwa inatweza utu wa...
  12. Pre GE2025 Kuelekea uchaguzi mkuu, wenye mamlaka wanatukana wananchi. Case study Chalamila

    Haya mambo ya kiwaki hawapaswi kuchukuliwa poa wazee. Mtu Gani anatukana wananchi ambao wanalipa Kodi na ndiyo nguzo ya taifa lolote. Hivi huyu chalamila anavuta bangi? Au ana matatizo Gani ya kiakili huyu mtu? Unamtukana mama mjamzito bila sababu ya msingi? Kweli? Huu ni utopolo mkubwa mazee...
  13. Chalamila unapata matibabu premium kupitia Kodi za kina mama unaowatukana

    Hivi unahisi Tanzania ya Leo ni sawa na miaka ya 60? Unapokuja kulazimisha hospitali za Umma zianzishe utaratibu wa kuchangisha pesa kinyume na miongozo ya afya una maana Gani? Kuna huduma zinazolipiwa na zipo huduma ambazo kutokana na umuhimu wake serikali imeona zitolewe Bure. Wewe kwa ukaona...
  14. E

    RC Chalamila alikosea na alipaswa kuomba msamaha sio kujieleza

    Habari JF , leo katika pitapita zangu nimekutana na kauli iliyozua maswali mengi sana kutoka kwa RC Chalamila , kwa ataeshindwa kununua gloves akajifungulie nyumbani . Kimsingi inawezekana ni kauli sahihi katika mambo mengine ya afya lakini katika suala la uzazi ambalo lina faida kwa Serikali...
  15. Uteuzi wa Albert Chalamila upitiwe upya, ufafanuzi wake hauna mantiki

    Mama mjamzito aliambiwa na Hospital atoe 50,000 kununua vifaa vya kujifungulia baada ya kuambiwa havipo Hospital. Chalamila akapigiwa simu na Mama huyo, Chalamila akamjibu huyo mama arudi nyumbani akajifungue kwa kisu kwa msaada wa mme wake au amuache mtoto wake afe. Kama taifa hatuwezi kuwa...
  16. Chalamila apewe majukumu mengine

    Ni aibu Mkuu wa mkoa kuwa mropokaji kiasi hiki,ni maajabu kama hatapigwa chini kwenye hiyo nafasi,amekuwa mropokaji kwenye jambo lolote.
  17. S

    Kuhusu mwanamke mjamzito aliemwambia mume wake akatumie kisu na mikasi kumzalisha, Chalamila ametoa utetezi hauna kichwa wala mdomo, wa hovyo kabisa!

    Nimesikiliza utetezi wa Chalamila kuhusu kauli yake kwamba yule mama mjamzito aliemwambia kama hatoi Tshs 50,000 achukue bajaji aende kwa mume wake atumie kisu na mikasi kumzalisha ni wa ovyo, usio na lojiki na ambao hata mtu asieenda shule angeweza kufanya vizuri zaidi. Ni afadhali hata...
  18. RC wa DSM Chalamila ajiuzuru haraka sana hio nafasi ya ukuu wa mkoa wa DSM

    Ni aibu ufafanuzi wake kuhusu clip inamfunua akikebehi maskini hasa wagonjwa wasio na uwezo kiuchumi kujigharamia , lugha yake ya mwili katika kujitetea hauji katika ukweli awamu hii Chalamila amekamatika tena ajiuzuru ama afukuzwe haraka sana amevimbiwa,. Huyu mtu pumbavu wa kutupwa...
  19. ACT Wazalendo: Mkuu wa Mkoa wa Dar awajibishwe haraka kulinda utu wa Wananchi

    MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM AWAJIBISHWE HARAKA KULINDA UTU WA WANANCHI Chama cha ACT Wazalendo kinalaani vikali kauli ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Ndg. Albert Chalamila inayowataka wanawake kujifungua nyumbani kwa kutumia visu na mikasi endapo watakosa fedha za kulipia huduma...
  20. Chalamila yupo sahihi; kuna Bima ya elfu 40. Unajua Mkeo ni mjamzito, huna Pesa. Kata hata hiyo

    Kwema Wakuu! Chalamila hapa nitamtaja kama Mhusika bila kuhusisha cheo chake. Ni aina ha watu ambao hawana breki za kuongea na watu wa aina hii mara nyingi huongeaga UKWELI mchungu ambao wakati mwingine huweza kuwaacha watu mdomo wazi. Chalamila kadiri unavyompa nafasi na Muda WA kuongea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…