Nimeona Mkuu wa Mkoa amezindua ziara za usiku mzima, tena akiwa na watumishi wa umma wa kike na kiume.
Ninachofahamu, muda wa mtumishi wa umma kuwa ofisini mwisho saa tisa na nusu. Sasa sijafahamu kuhusu huu utumishi wa mpaka usiku wa manane.
Kwanza, hao watumishi wanatakiwa kuwa kazini saa...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila amewaeleza wananchi wa Segerea kuwa suala la vibaka lipo katika ngazi ya mitaa hivyo wahakikishe kupitia ulinzi shirikishi wanamaliza jambo hilo, kwani mkoa unashughulika na majambazi.
Soma Pia: Albert Chalamila: Sasa naunda task force kubwa...
Wakuu,
Chalamila anazidi kuonekana hamna kitu kichwani, haya matapeli tukalinde amani ya nchi ili tuzidi kuapata wa kuwatapeli! 🤦♂️🤦♂️🤦♂️
Job true true!
Mheshimiwa waziri mkuu kuna tukio limetokea hapa mwezi uliopita kuna bwana mmoja alikuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na mama mmoja katika kugombana kwao yule bwana kamdanganya yule mama kamchukua akaenda kumchinja na baada ya kuona haitoshi akamcharanga vipande na akaenda kutupa viungo sehemu...
“Jambo kubwa ambalo tumekuja kuligundua ni pamoja na wazazi wa wilaya ya temeke kutowajibika ipasavyo katika malezi ya watoto.
Mara nyingi tunafahamu kuzaa lakini hatufahamu kabisa maswala ya kulinda watoto wetu na hili kuna mfano mzuri sana shule za temeke ambazo watoto wa shule za msingi na...
Chalamila mara nyingi umekuwa ukitoa hotuba za dharau dhidi ya wananchi, hili la kuwaona wakazi wa Mbagala ni walevi wa pombe na wapenda ngono na wake za watu halikubaliki, ni dharau iliyopindukia. Chalamila inawezekana umewahi kumpata mke wa mtu huko Mbagala mlipokuwa mkinywa pombe, hii...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila amesema ameamini Ekaristi takarifu inaponya na inaleta undungu, kufuatia kitendo cha Padri Dkt. Charles Kitima kuwakutanisha pamoja Katibu Mkuu wa CCM, Emmanuel Nchimbi, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA-Bara, Tundu Lissu na Katibu Mkuu wa CHADEMA, John...
https://www.youtube.com/watch?v=_u-grci0Q9Q
Akizungumza na viongozi mbalimbali wa Dar es Salaam, Mkuu wa Mkoa huo, Albert Chalamila amesema ucheleshwaji wa maboresho ya Barabara unaoendelea hauna taswira nzuri kwa kuwa mikataba ilisainiwa na sherehe ikafanyika.
Anasema “Tulisaini mkataba na...
RC CHALAMILA AONGOZA VIONGOZI NA MAMIA YA WANANCHI KUADHIMISHA SIKU YA MASHUJAA-DSM.
-Amtaja Rais Dkt Samia kuwa shujaa aliye hai kutokana na kazi kubwa anayoifanya ndani ya Taifa hili.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Julai 25,2024 ameongoza viongozi na mamia ya...
Kila siku naona malalamiko kwenye ofisi yangu kutoka kwa wakaaji wa Magomeni kota mara wanalalamika bili ya Maji ni kubwa wameshindwa kulipa wengine wanalalamika kwamba bili ya taka imekuwa kubwa wakati hizo taka wanazalisha wenyewe hii inaonesha wameshindwa kukaa kwenye hizo kota.
Nashauri...
RC CHALAMILA ATEMBELEWA NA UGENI KUTOKA JESHI LA UKOMBOZI LA WATU WA CHINA
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Albert Chalamila leo Julai 17, 2024 ametembelewa na ugeni ofisini kwake kutoka Jeshi la Ukombozi la watu wa China ukiongozwa na BRIG GEN CE MWANZIVA Mkurugenzi wa Huduma za Afya TPDF...
Viongozi wanapoongea na wananchi wanatakiwa kukumbuka kuwa kwenye taifa lenye utawala bora na utawala wa kidemokrasia MWANANCHI ndiye mwenye mamlaka na ameyakasimisha kwa SERIKALI ili imhudumie. Rejea tafasiri ya demokrasia.
Nikiona kiongozi anawafokea wananchi huwa najiuliza je, yeye ni bora...
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo amewatuliza wafanyabiashara zaidi ya 800 wanaodai majina yao hayamo kwenye orodha ya watakaorejea katika Soko la Kariakoo, walioandamana hadi ofisi ndogo za CCM Lumumba.
Amewaahidi kesho Julai 12, 2024 watakutana na Mkuu wa Mkoa kwa ajili ya kujadili...
Kiongozi CHALAMILA kipindi anateuliwa kuwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam akitokea mkoa wa Kagera wengi TULIAMINI kwamba hataiweza Dar.
Ila naona hekima yake Iko juu sana
Anavyosuluhisha migogoro na changamoto za Dar Yuko vizuri mno.
Dar imetulia hakuna panya road, migogoro ya machinga, up...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amezindua mpango wa upanuzi na uboreshaji wa Hospitali ya Rufaa ya Wilaya ya Ilala ya Amana (yenye hadhi ya Mkoa) utakaogharimu zaidi ya shilingi bilioni tatu.
Ni katika muktadha huo Chalamila amewataka wadau wa maendeleo na wananchi kushirikiana...
Wafanyabiashara wa Kariakoo, Dar es Salaam waliogoma kufungua maduka tangu juzi, Juni 24,2024 wamemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kutoka hadharani na kutoa tamko.
Wametoa maombi hayo leo Jumatano Juni 26, 2024 baada ya kufanya kikao na mwenyekiti wao na kuonekana kutoridhishwa na tamko...
..serikali kupitia kwa RC Chalamila inakiri kuwaogopa Wachina na Wamachinga.
..lakini wengine wote wanatishiwa kuitiwa Jeshi la Wananchi.
..sina kumbukumbu ya Jeshi la Wananchi kutumiwa kupambana na wananchi hapa Dar Es Salaam.
https://www.youtube.com/watch?v=Ctx2VkzICVQ
Baada ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila kufika Kariakoo na kuzungumza na Wafanyabiashara kuhusu suala lao la kugoma kufungua biashara ambapo amewasisitiza wafungue wakati mazungumzo yakiendelea, hali bado haijabadilika kutokana na biashara nyingi kuendelea kufungwa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.