chalamila

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    Mgomo wa Wafanyabiashara: Biashara zafungwa Kariakoo leo Juni 24, 2024

    Hadi Sasa ni saa 2:24 asubuhi maduka mengi hayajafunguliwa. Licha ya Mkuu wa Mkoa, Albert Chalamila, kuwasisitiza Wafanyabiashara wa Kariakoo kuendelea na shughuli zao kama kawaida, hadi Saa 9 Asubuhi Wafanyabiashara wengi wamefunga Biashara zao katika Mitaa ya Kariakoo, leo Juni 24, 2024...
  2. Chalamila: Kama Serikali inatuma vikosi kupigana Congo, inashindwa kuja kupigana Kariakoo?

    DAR ES SALAAM: Mkuu wa Mkoa, Albert Chalamila amesema ikihitajika kuweka Vyombo vya Dola maeneo ya Kariakoo kwaajili ya kulinda biashara wakati mazungumzo ya Wafanyabiashara na Serikali yakiendelea atafanya hivyo Amesema “Nataka niwaambie ukweli, Serikali haishindwi jambo, kama Serikali inatuma...
  3. Chalamila: Hakuna kitu ninachoogopa, Serikali haifanyi kazi kwa shinikizo

  4. Chalamila amepaniki mpaka anawatishia maisha wafanyabiashara, adai akiwachimba mkwara hawataamka tena

    Mkuu wa mkoa, Albert Chalamila amefika Kariakoo kujaribu kufungua maduka lakini katika harakati hizo ameweka vitisho vilivyopitiliza.. Chalamila: Aliyekubali kufungua afungue na yule ambae atamletea mkwara mtu yeyote yule aliyekubali kufungua naapa mbele ya Mwenyezi Mungu, hapo ndipo...
  5. Chalamila awasili Kariakoo awaambia Wafanyabiashara “Fungueni maduka, Biashara sio Siasa”

    Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amefika soko la Kariakoo kutokana na Biashara kufungwa kuanzia leo Juni 24, 2024 na kuongea na wafanyabiashara. Chalamila amesema wafanyabiashara wako wa aina kadhaa ikiwemo walioshiba, kati na wachanga na iwapo wataigana kuna watakaojuta leo...
  6. Chalamila akusudia kuanzisha oparesheni maalumu dhidi ya waganga wa kienyeji Dar!

    Hivi wakuu mkoa na wa wilaya za Dar es Salaam huwa wanakuwa na mpango kazi maalumu wa kufanyia kazi kwa mkoa na wilaya husika? Yaani baada ya kutokea mauaji ya mtoto albino huko Muleba, Kagera Chalamila yeye anaibuka na oparesheni ya waganga wa kienyeji Dar! Sasa Chalamila atawashughulikia...
  7. L

    Mkuu wa Mkoa Chalamila: Nimeacha ubabe

    Ndugu zangu Watanzania, Mkuu wa mkoa wa Dar Mheshimiwa Albert Chalamila Amesema ya kuwa yeye binafsi alishaacha masuala ya ubabe kabisa. Ameyasema maneno hayo mbele ya Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan katika kikao chake na maafisa habari...
  8. Nape: Amuaomba RC Chalamila apunguze doria za Usiku

    Waziri wa Habari Nape Nnauye amemuomba RC Chalamila apunguze zile doria za usiku kwa siku ya leo, Juni 18, 2024 kwa kuwa wadau wa habari watakuwa na mchapalo usiku wa leo. Nape amesema hayo kwenye kongamano la maendeleo ya sekta ya habari linalofanyika Mlimani City. Kwasiku za karibuni wilaya...
  9. RC Chalamila: Rais amesema tuache uongozi wa kibabe

    RC Chalamila amesema wameaswa na rais Samia kuwa na uongozi mzuri usiokuwa wa kibabe. Amesema yeye ameshaacha ubabe. Chalamila ameyasema hayo kwenye kongamano la Maendeleo ya Sekta ya Habari yanayofanyika Mlimani City ambapo mgeni rasmi ni Rais Samia. Chalamila amesema hadi sasa barabara...
  10. T

    Chalamila: Natamani katiba mpya iseme ukimaliza chuo kikuu huna ajira ulipwe nusu mshahara mkopo wa elimu ya juu usiombwe upewe lazima.

    Amesema mtazamo wake kuhusu katiba ni kuleta nafuu kwenye maisha ya kila siku mf. Wanawake wasio na ajira wapewe mikopo bila riba mtu akifa maiti isidaiwe chochote na kijana akihitimu masomo na serikali haijampa ajira baada ya miaka mitano ianze kumlipa nusu mshahara mpaka atakapo pata ajira.
  11. Pre GE2025 Chalamila amerudia tena: Kama una miaka 40 na huna hela usimlaumu Rais

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila amesema Watu wenye umri wa miaka 40 au zaidi na hawana hela hawapaswi kumlaumu Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwakuwa Watu hao wamezaliwa wakati Mwl. Nyerere akiwa madarakani na vimepita vipindi vingi hivyo hawapaswi kumlaumu Rais...
  12. RC Chalamila: Ukiona una miaka 40 na huna hela, usimlaumu Rais wa Jamhuri

    Mkuu wa Mkoa wa Dar, bwana Chalamila akiwa Ikulu leo amesema ukijiona una miaka 40 au zaidi na huna hela usimlaumu Rais kwani unakuwa umezaliwa wakati wa Mwalimu na katikati vimepita vipindi vingi vya uongozi, akidai kwanini alaumiwe mtu mwenye miaka mitatu kwenye uongozi. Chalamila amesema...
  13. RC Chalamila hapa anamaanisha nini?

    Aliyemuelewa atueleweshe na sisi wengine Mkuu Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amewataka watendaji wa mkoa huo kufanya kazi kwa uweledi ili watakapoondoka waache heshima kutokana na utendaji wao. Anaripoti Mwandishi Wetu …(endelea). Pia amewataka kuhakikisha miradi yote ya maendeleo...
  14. Chalamila anajitahidi lakini anapaswa kuongeza ustahimilivu wa kusikiliza

    1. Albert Chalamila ni Mwalimu kitaaluma, anafahamu kuwa kusikiliza ni mojawapo ya communication skills muhimu sana. 2. Mwananchi aliyelalamika watoto kubakwa anafahamu kituo cha Polisi kilipo. Aliamua kulalamika kwake badala ya Polisi kwa kuwa ana imani naye zaidi kuliko Polisi. 3. Kama...
  15. Pre GE2025 Chalamila: Waliojenga Stendi ya Mwendokasi Jangwani walitakiwa kuchapwa viboko

    Akiwa katika muendelezo wa kusikiliza kero za ananchi, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, ndg. Abert Chalamila akiwa Wilaya ya Ilala aliwaambia wananchi waliojenga stendi ya mwedokasi jangwani wanastahili kuchapwa viboko. Ikumbukwe pia Chalamila aliwahi kutoa kauli inayofanana na hii mapema mwaka...
  16. Kwanini mpaka sasa RC wa Dar (Chalamila) hajatumbuliwa na kuwekwa ndani?

    Kupitia video inayotembea mitandaoni, mkuu wa mkoa wa Dar, ambaye pia ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama, Albert Chalamila amesikika akitoa kauli hizi tatu kwa ujasiri mkubwa; 1. Amekiri, kujitamba, kujivunia na kujipongeza kwa kuua? mtuhumiwa wa wizi aliyeingia nyumbani kwake mkoani...
  17. Kwahiyo hapa RC Chalamila alihalalisha watu kuua tena, aagiza Polisi wafanye hilo waziwazi

    “Ukikuta kijana ameingia ndani kwa kuvunja dirisha ujue kuna mambo mawili ameyadhamiria. Jambo la kwanza amedhamiria kuiba na jambo la pili amedhamiria kuua na jambo la tatu amekubali kuuawa. Naomba nisisitize, jambo la tatu amekubali kuuawa, naomba nirudie, jambo la tatu amekubali kuuawa...
  18. RC Chalamila akicheza singeli

  19. Z

    RC Chalamila: Haiwezekani sote tukawa wapole, tutaonewa sana

    Nimeipenda sana hii statement ya Mkuu wa Mkoa wa DSM Chalamila. Nakubaliana naye kuwa ni kweli kabisa haiwezekani kwa watendaji wote mkawa wapole lazima wengine wapo ni wakali kwa asili yao, na huo ukali wao ni faida kubwa kwenye kuharakisha maendeleo. ukali ni muhimu sana, bila ukali wabongo...
  20. Albert Chalamila atishia kumuweka ndani mkandarasi wa Mwendokasi

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema haridhishwi na kasi ya ujenzi wa barabara ya mabasi yaendayo haraka ya Gongo la Mboto na kama hali itaendelea hivyo atamuweka ndani mkandarasi au mhandisi mshauri. Ametoa kauli hiyo leo Aprili 18, 2024 alipofanya ziara ya kukagua ujenzi wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…