chalamila

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Chalamila: Tumelipa fidia Msimbazi, bomoabomoa imeanza

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila amesema tayari bomoabomoa imeanza na inaendelea pembezoni mwa Mto Msimbazi ukianzia Jangwani ambapo amesisitiza kuwa zitabomolewa nyumba nyingi kwakuwa tayari Wakazi wengi wamelipwa fidia. Akiongea Jijini Dar es salaam leo, Chalamila amesema...
  2. Dar: RC Chalamila apokea msaada toka DP World Foundation kwa ajili ya wenye uhitaji mfungo wa Ramadhani

    Mheshimiwa Albert Chalamila ambaye ni Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam amepokea msaada wa vitu mbalimbali kutoka taasisi ya DP World Foundation na kukabidhi msaada huo kwa watu wenye uhitaji katika kipindi hiki cha mfungo wa mwezi wa Ramadhan. Msaada huo unaokadiriwa kuwa na thamani ya shilingi za...
  3. Chalamila: Hatuwezi kumtaja Mbowe kwa Maendeleo, tutamtaja Rais

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Chalamila katika kujibu maneno ya wadau yanayopinga kitendo cha viongozi wengi kumtaja Rais kwenye kila jambo, hata kwenye mambo ambayo hahusiki nayo, ameeleza kwamba wao wanamtaja Rais kwa vile ameleta maendeleo, Hawawezi kumtaja Mbowe. Kwa mawazo ya Chalamila...
  4. RC wa Dar, Albert Chalamila atoa maelekezo barabara zijengwe usiku na mchana

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila ametoa maelekezo ya kuhakikisha ujenzi wa Barabara Jijini Dar es Salaam zinajengwa kwa usiku na mchana ili kuondoa changamoto zilizopo ikiwemo Barabara ya Kibamba hadi Mbiji Magohe na Mpiji Magohe hadi Mbezi. Aidha, Chalamila ameongeza kuwa...
  5. RC Chalamila: Wakazi wa Dar kuzoa takataka ni ajira

    Wanchi wa Mkoa wa Dar es Salaam, wametakiwa kuchangamkia fursa ya Takataka zilizopo kwenye mitaa yao, kwani zinaweza kuwa chanzo cha mapato na kuondokana na tatizo la ajira ambalo ni janga kwa watu wengi. Hayo yamesemwa na Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila wakati anafanya ukaguzi...
  6. P

    Chalamila: Dkt. Janabi alisema sukari ni hatari kwa afya, tumieni fursa ya upungufu huu kuachana nayo msipate magonjwa mbeleni

    Chalamila asema ukimsikiliza Dr. Janabi anasema ulaji wa sukari nyingi unasababisha maradhi mengi, kwahiyo wakati huu ambako sukari imeadimika tuachane nayo kabisa ili usiweze kupata matatizo ya afya hapo baadaye. Kwahiyo serikali imeshindwa kabisa kutatua changamoto hii ya upatikaji wa...
  7. B

    Albert Chalamila: Sasa naunda task force kubwa itakayokuwa na silaha

    12 February 2024 TASK FORCE / KIKOSI KAZI CHINI YA MKUU WA MKOA, CHAKAMATA WATU KADHAA MKOA WA DAR ES SALAAM Hayo yasemwa na mkuu wa mkoa wa DSM alipokuwa katika operesheni maalum https://m.youtube.com/watch?v=oHAwL1r-kfw Mkuu wa mkoa ameyasema mbele ya mkuu wa wilaya ya kinondoni mkoani...
  8. S

    Tetesi: Chalamila adaiwa kuhusika na ufutaji wa kipindi Wasafi FM

    Dakika chache baada ya waziri Nape kukanusha kuwa serikali ya rais Samia haihusiki na kukifuta kipindi cha mahojiano kilichopaswa kuruka leo asubuhi pale Wasafi FM, kuna tetesi kuwa Chalamila anahusika. Habari kutoka ndani ya Wasafi Media zinadai RC Chalamila ndiye aliyewapigia simu majira ya...
  9. RC Chalamila atangaza vita na malori kuegeshwa barabarani

    Baada ya leo kuripotiwa habari juu ya uegeshaji holela wa malori unavyosumbua wakazi wa Dar es Salaam, operesheni maalumu ya kuyaondoa malori hayo imetangazwa kuanzia kesho Jumanne Februari 6, 2024. Wakati operesheni hiyo ikitangazwa kuanza, magari yao yameelekezwa kutumia sehemu maalumu...
  10. M

    Nape na Chalamila mna la kujifunza katika kipindi hiki kifupi

    Nape alijitokeza na kutishia wote waliouliza kuhusu alipo Makamu wa Rais. Kwa kipindi kifupi alipigwa spana Tweeter za kutosha. Hazikuwa spana kavu bali na vifungu vya sheria na katiba na kidogo wakampekua hata mambo yake mengine. Ametulia! Chalamila alijivika Uamiri Jeshi (kwa cheo cha...
  11. RC Chalamila adai Wanajeshi hawajafanya Usafi kwasababu ya Maandamano ya CHADEMA

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema sababu za vyombo vya ulinzi na usalama kutoshiriki kufanya usafi leo kama aliyoeleza awali, imetokana na Jeshi la Polisi kutoa kibali cha maandamano kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Chalamila amesema vyombo hivyo...
  12. Pre GE2025 RC Chalamila akutana na Waandamanaji wa CHADEMA. Awatakia heri kwenye maandamano na kuwasihi kufikisha ujumbe walipokusudia

    Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amewatakia kila la heri wafuasi wa CHADEMA waliokutana maeneo ya Mbezi Mwisho stendi ya Magufuli kwa ajili ya kuanza maandamano ya amani na kuwataka kuulinda uwekezaji uliopo ndani ya Jiji hilo wasiuharibu na badala yake wafikishe ujumbe...
  13. Pre GE2025 Albert Chalamila: Usafi wa Wanajeshi hautoathiri maandamano ya CHADEMA

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema usafi uliopangwa kufanyika hautaathiri maandamano yaliyopangwa kufanywa na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Januari 24 iwapo watakuwa na kibali cha kufanya hivyo. Chalamila ametoa kauli hiyo leo, Jumatatu Januari 22, Jijini Dar...
  14. P

    Pre GE2025 Mbowe: Makubaliano na Jeshi la Polisi yamefikiwa kuwa maandamano yataendelea kama yalivyopangwa

    Ameandika Mbowe katika ukurasa wake wa mtandao wa X; "Team yetu ya Chama ikiongozwa na Naibu Katibu Mkuu, Bara Mhe Benson Kigaila imekuwa na kikao na Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum, Dar Es Salaam ACP Jumanne Muliro na timu yake kuhusiana na Maandamano ya Amani yanayopangwa na kuratibiwa na...
  15. Wanaume mnaowashika wanawake makalio na matiti Kariakoo kiama chenu kinakuja; Chalamila anawachemshia dawa

    Kuna hii tabia ya wanaume kuwashika wanawake makalio na matiti kwenye sehemu za misongamano, hasa Kariakoo, ambako muda wote kuna msongamano wa watu. Mh Chalamila, RC wa Dar es Salaam anawachemshia dawa ambayo hamtakuja kumsahau. Yaani mtajuta kumfahamu. Mara nyingi wanaume hawa huvizia kwenye...
  16. U

    Pre GE2025 Uchambuzi wa Tamko la RC Chalamila: Watawala kutumia majeshi kizembe na kiholela ni jaribio la kujipindua!

    Maswali muhimu kujiuliza na utakayoyatumia kama msingi wa majadiliano katika mada hii: 1. Kikatiba Mkuu wa nchi na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na usalama anaweza kukasimu mamlaka yake ya kutoa amri au maelekezo kwa majeshi yetu ya Ulinzi na usalama kwa mtu mwingine ili kufanya...
  17. R

    Chalamila ni muumini wa maandamano ya amani, bado tunakumbuka kauli ya Mwanza

    Salaam, Shalom!! Ndugu Chalamila, uliwahi Kutoa kauli kuhusu kuhamasisha maandamano na kuandika mabango Ukiwa RC Mwanza. Ulisema, ni Ruksa kubeba mabango yenye jumbe mbalimbali. Ni muhimu ukawapa ushirikiano CHADEMA maana Dar Ina wapiga kura pia ambao wangependa kushuhudia na kushiriki...
  18. K

    Pre GE2025 Chalamila acha mapepe, watu wakiumizwa utafukuzwa wewe kuwa makini

    Chalamila kuwa makini sana na kujiingiza kwenye mambo marefu kuliko wewe. Kwenye hili la maamndanano kaa pembeni hizi sio zama za Magufuli. Hizi ni zama za uwekezaji, watalii, majirani kutumia bandari , michezo ya kimataifa Tanzania. Wenzako wanakuacha kama chambo ili yakiaribika wakufukuze...
  19. S

    Dar es Salaam imetumia mabilioni ya fedha kuziba mashimo barabarani, miezi miwili baadaye 80% ya mashimo yaliyozibwa yamerudi

    Kwa mtu ambae hana fani ya uhandisi angeona kwamba Dar es Salaam ya Chalamila ilifanya kazi nzuri sana miezi ya October na November 2023, kuziba mashimo mengi sana yaliyokuwa barabarani. Lakini baadhi ya mainjinia walituambia kilichokuwa kinafanyika ulikuwa ni utoto na kupiga fedha za serikali...
  20. D

    Pre GE2025 CHADEMA msitishwe na RC Chalamila na maagizo yake kwa Jeshi la Polisi

    Baada ya CHADEMA kutangaza maandamano Jan 24, Mh RC Chalamila nae ametangaza kuwa siku ya tarehe 23 na 24 Januari kuwa siku za usafi utakaofanya na vyombo vyetu vya ulinzi na usalama. Mimi nasema hivyo ni vitisho tu, kanyagieni hapo hapo msinyanyue mguu tupo pamoja na ninyi, maana hata sisi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…