Nataka kuacha pombe kwa miezi sita, mwili wangu umeanza kuchoka lakini pia nataka kufanya saving kidogo, nataka ninywe Christmas 2023. Nipeni mbinu nifanikiwe.
Hili ni tangazo la kuacha pombe kwa miezi sita, ila watu wa karibu/walevi wenzangu siwaambii, ni kukwepana tu mpaka December.
Sign -...
Juzi kati nilivutiwa na thread hii ambayo pia nilikuta ikisambaa kwenye magroup mengi ya Whatsapp including Yale ya Sekondari. Thread yenyewe hii hapa
https://www.jamiiforums.com/threads/chanzo-cha-mabasi-ya-no-challenge-kuitwa-tashriff.2092924/#post-46290142
Nakumbuka nilikomenti kwenye Ile...
Habari wakuu,hamjambo?
Kumekuwepo na trend ya wakuu wa nchi au wafuasi wao kujitokeza adharani au ktk mitandao yao ya kijamii kuomba kuombewa.
Msingi wa swali langu Ni huu, ili kiongozi kufikia hali ya kuomba kuunganishwa na muumba wake kwaajili ya ufanisi wa kazi anakua amepitia changamoto...
Issue: Whether ex parte judgment can be appealed against without first attempting to set it aside?.
By zakariamaseke@gmail.com
Advocate Candidate - LST.
Umeshtakiwa alafu hujatokea Mahakamani, kesi imesikilizwa upande mmoja (exparte) na hukumu imetolewa dhidi yako (umeshindwa kesi)...
Timu ya Taifa baada ya kuchukua kombe la Challenge, Syllersaid Salimin Kahema Kangero MZIRAY aka Super Coach akiwa Kocha.
ilikuwa 1994 sina hakika na mwaka. Rest in Peace SillaMziray, toto la Kipare lilisakata Kabumbu si hawa akina Fei mnawapa airtime tu.
PICHANI
Sylversaid
Marehemu REGINALD...
Haya ninmashindano ya umahiri katika uokoaji, yanahusika MAJESHI mbalimbali na tactical units. .wenzetu Kenya kwa mwaka huu wamepeleka vikosi vitatu, nchi zingine zilizopeleka MAJESHI Yao ni Rwanda, South Africa .nk.
Nashauri MAJESHI YETU yawe yanashiriki pia Ili kujipima uwezo wao...
Say nobody fit to stop my shine
I no fit die ’cause it’s not my time
Man, I’m on my grind
And na only money dey my mind
Sey na only money dey my mind
Oh-oh-oh
See, I don’t care about no enemies
They envy me, they tryna get to me
But na only money dey my mind
Sey na only money dey my mind
Oh, eh...
Habari wakuu
Mwaka jana mwezi wa 10 kulikuwa na shindano la dunia la Robotic Challenge kule Geneva, Swetzerland na Tanzania ilipatata medali ya fedha. Wanafunzi kutoka shule ya ya ST. Theresa (sijui ni mkoa gani) walitengeneza robot la kukamata hewa ukaa (carbon dioxide). Nimejaribu kuangalia...
Hii no fap challenge inahusu kujizuia kuzitoa shahawa kwa kufanya vitendo kwa mwili ama kutumia akili kuwaza, vitendo vinaweza kuwa kama sex au kujichua na akili ni pale unajenga mawazo ya kingono mwishowe unapizi,
Shahawa ndipo nguvu za mwanaume zilipo kiroho, kiakili na kimwili, ukiona huwezi...
21 September 2022
Pretoria, Republic of South Africa
Former President Thabo Mbeki says the country has an enormous leadership challenge and pointed to Eskom as one of the institutions affected by this.
Twitter @Unisa
Mbeki was speaking at an engagement with Unisa students in Pretoria on...
Waslaam wakuu, kwanza naomba nitangulize shukrani zangu za dhati kwa mwenzetu bafetimbi kwa kuanzisha thread murwa kabisa ya Nofab challenge ambayo imeonekana kupokelewa vizuri Sana na Wana MMU.Hongera Sana mkuu.
Binafsi baada ya kukumbana na Uzi wa NoFab challenge niliupenda Sana na nikaamua...
TotalEnergies Marketing Tanzania Pouring in Millions as it Announces The Winners of The 3rd Edition of The Startupper of The Year Challenge by TotalEnergies
The Winner, of the 3rd edition of the Startupper of the Year Challenge by TotalEnergies , Innocent SULLE for the Award for Best...
Liverpool gave City a toughest challenge till the end. Premier league was incredible as always. Congratulations to City though i wished Arsenal took it.
I’m excited to see how Tottenham Hotspur will perform in the Champions League with Son & kane incredible on the pitch.
Next season will...
Wasalam wadau. Nawasalimu kwa jina la upendo wa dhati.
Kwa wale wasioelewa maana ya neno NoFap.
NoFap ni kitendo cha mwanaume kukaa kwa muda wa kipindi fulani aidha miezi miwili, mitatu mpaka miezi sita pasipo kutoa mbegu zake za kiume yaani hiyo challenge msingi wake ni No Sex, No...
Wanaukumbi.
Chadema mnajitapa mna wanachama active 12 milioni. Kampeni ya ‘Join The Chain’ imebuma. Mmekuja na “One Million Challenge’ kwa wiki mnaomba 1K kwa kichwa nayo tia maji, tia maji. Hao wanachama 12m ni wafu au ‘Ghosts’? Kama katika 12m mnashindwa kupata 1K kwa mtu kwa siku 7?
Chadema...
Leo ni siku ya 3 tangu nipumzike kutumia mtandao wa facebook ( nimediactivate my accont) nimeanza kuhisi kama naumwa, kweli hii mitandao ipo addictive ngoja nione nita-sustain kwa muda gani, sasa nipo JamiiForums nacheki wana wakishusha nyuzi za mtumbadi Putin
TAMTHILIA: CHALLENGE MADE
MUANDISHI: WINIFRIDA FRANCIS THOBIAS
SEHEMU: 3 $ 4
WhatsApp: 0746115688
Baada ya walinzi hao kuuliza hali ya bosi wao grace, grace aliwaambia yuko powa na hawana muda wa kupoteza inabidi waelekee mahali mzigo ulipo. Baada ya kusema hivyo grace akaingia kwenye gari...
TAMTHILIA: CHALLENGE MADE
SEHEMU: 2
MUANDISHI: WINIFRIDA FRANCIS THOBIAS
Jackbosi alishangaa sana kumuona mtu anaefanana nayeye katika hospitali ambayo yeye pamoja na washirika wenzie wamekuwa wakifanya uchafu wao, Jackbosi alitamani kumuuliza maswali mengi sana grace lakini muda haukuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.