chama cha wauguzi tanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania RESOLVED Chama cha Wauguzi: Daktari amekiri kumpiga Muuguzi, anajutia, Viongozi wasifiche maovu

    Tukio la daktari katika Hospitali ya Halmashauri ya Mji wa Bariadi Mkoani Simiyu (Somanda) kudaiwa kumpiga hadi kuzirai muuguzi katika hospitali hiyo limechikuwa sura mpya baada ya ufafanuzi kuanza kuwekwa wazi. Pia soma ~ Daktari amempiga hadi kuzirai Muuguzi mwenzetu, hakuna hatua...
  2. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Viongozi wetu wa Chama cha Wauguzi Tanzania (TANNA) hawatetei maslahi yetu sababu wanaogopa kutumbuliwa

    Siku ya Wauguzi Duniani ilikuwa Mei 12 ila wahusika ambao wako kwenye nafasi kubwa za Chama cha Wauguzi Tanzania (TANNA) waliogopa kuwasilisha kwa watawala hoja za wanachama wao kwa sababu wanaogopa kuenguliwa nafasi zao. Wanafanya hivyo kwa kuwa wao maslahi yao ni makubwa wanajua wakitumbuliwa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Chama cha Wauguzi Tanzania (TANNA) aliyefanya upasuaji nyumbani hakuwa muuguzi

    Chama cha Wauguzi Tanzania (TANNA) kimekanusha taarifa zinazomhusisha muuguzi na tukio la kumpasua mgonjwa nyumbani juu ya makochi mkoani Tabora, kikibainisha kuwa mhusika hana sifa wala taaluma ya uuguzi. Katika taarifa yake kwa umma, TANNA imeeleza kushtushwa na taarifa iliyotolewa hivi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…