Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 5,352
- 15,876
Pia soma ~ Daktari amempiga hadi kuzirai Muuguzi mwenzetu, hakuna hatua zilizochukuliwa. Waziri wa Afya, TAMISEMI tunaomba msaada
Katibu wa Chama cha Wauguzi Tanzania (TANNA) Katika Mkoa wa Simiyu, Epafra Charles amesema chama kimetoa tamko na kueleza kuwa kinalaani tukio hilo na kueleza kuwa tukio hilo ni la kweli na siyo mara ya kwanza kwa tukio la unyanyasaji kazini kutokea kumuhusisha Daktari husika.
Ameeleza kuwa wamepata ripoti kutoka kwenye kikao cha Wauguzi ikionesha kuwa kuna malalamiko kadhaa kuhusu daktari huyo jambo ambalo linaonesha si mgeni kwenye matukio hayo.
Hitimisho ~ Mkurugenzi Mtendaji Bariadi: Sakata la Daktari kumpiga muuguzi hospitali ya Somanda limemalizwa kwa maridhiano