RESOLVED Chama cha Wauguzi: Daktari amekiri kumpiga Muuguzi, anajutia, Viongozi wasifiche maovu

RESOLVED Chama cha Wauguzi: Daktari amekiri kumpiga Muuguzi, anajutia, Viongozi wasifiche maovu

Imefanyiwa kazi au kupatiwa ufumbuzi na Mamlaka husika
Hivi umesoma ile kitu tunaita matendo yasiyo ya hiari na matendo ya hiara yaani ni sawa wewe ukanyage kaa la moto ukiwa upo pekupeku hapo lazima ufanye tendo lisilo la hiara yaan kuunyanyua mguu haraka sana ili usiungue sana, sasa ndio kilichotokea hapo nadhani huyo mama mjamzito angekufa au kingempata chochote wa kwanza kulaumiwa sio huyo Nesi wakwanza kulaumiwa alikua ni huyo Daktari, sina kingine cha kuongeza.
Utoto unakusumbua. Ukikua utaacha.
 
hata Tz ndo hvo shida watu wanalindana sana..nando maana upuuzi hauishi.
Ndio maana wazungu wanatuona sisi waafrika kama manyani, na kwa kweli hawakosei. Just imagine nilifanya Whistleblowing pale CMA opposite na chuo cha CBE ila mpaka sasa hakuna Afisa aliyetumwa kwenda kuikagua taasisi ile ya kitapeli kule Ukonga.
 
Back
Top Bottom