chama kipya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ikiwa Leo freeman mbowe ataanzisha chama kipya Cha siasa maelfu ya wanachadema wataungana nae na huo utakuwa mwisho wa chadema

    Kauli zinazoendelea kutolewa na viongozi wa chadema waliopo madarakani kwa sasa ni kana kwamba waligombea ili kumkomoa freeman mbowe kisiasa ,waliingia kwenye kinyang'anyiro kwa visasi na si kwenda kuongoza ! Kauli za kudhalilisha zinaendelea kutolewa mpaka sasa ! Na viongozi wapya hawana wisdom...
  2. S

    Pre GE2025 Kama Mbowe atachukua fomu kugombea uenyekiti, ni bora kuanzisha chama kipya cha siasa. Watanzania wanataka mabadiliko lakini CHADEMA ni tatizo

    1. Mbowe alizingua kwa Zitto. 2. Mbowe alizingua kwa Dr. Slaa. 3. Mbowe alizingua kwenye maridhiano. Kote huko alifanikiwa kuwapiga sound watanzania wakaingia king. Sasa;- 4. Akizingua kwa Lisu, imekula kwake. Kwasababu, watanzania wameamka na watamstukia akidanganya tena. You cannot lie...
  3. S

    Tetesi: Za ndani kabisa. Kuna chama kipya cha siasa kitasajiliwa hivi karibuni. Nyaraka muhimu zinafanyiwa kazi ofisi ya msajili

    Bado nafuatilia jina la chama hicho na nembo yake. Lakini kitashiriki uchaguzi mkuu ujao wa Madiwani, Wabunge na Rais. Watanzania wengi sana wanakisubiri chama hicho kwa hamu kubwa. Mungu ibariki Tanzania.
  4. Tundu Lissu nakushauli uungane na Mwabukusi, James Mbatia na Dr Slaaa mwanzishe CHAMA kipya

    Jamani wa afrika sijui nani katuloga? Tunaullooo sanaa na ubinafsi uliozidi. Kwa upepo ulivyo ndani ya chadema Mbowe hawezi kuachia uwenyekiti wa chadema. Maana kuna chawa wengi wamepewa pesa kwa ajili ya kumnanga lisu. Tayali wakina NYERERE na wenzie wameanza na propaganda, wapo tayali...
  5. LGE2024 Hivi CCM ni chama kipya kilichosajiliwa mwezi huu?

    Kuna jambo linaendelea kwenye Kampeni za Serikali za mitaa zinazofanywa na chama kinachoitwa chama Cha mapinduzi (CCM). Jinsi wanavyoongea kwenye Kampeni hizo, ni kama vile hao watu wa CCM wamo kwenye chama kipya Cha siasa kilichosajiliwa hivi karibuni. CCM wanashangaa matatizo waliyonayo...
  6. Kwa siasa anazofanya Mh. Luhaga Mpina kwa sasa, ni kuwaandaa kisaikolojia wananchi wa jimbo la Kisesa kwa ajili ya chama kipya au kuhama nao upinzani

    Friends, ladies and gentlemen.. Uelekeo wa kisiasa na mienendo ya siasa za mh.Lugaga Mpina mbunge wa jimbo la kisesa, inatiashaka na imebeba ujumbe mzito sana wa kisiasa nyuma ya pazia hasa kipindi hiki kuelekea uchaguzi mkuu 2025... Kwanza anatumia nguvu nyingi na kubwa mno kujieleza kwa...
  7. Wadau waomba Tundu Lisu & others waanzishe chama kipya!

    Ukizunguka mitandaoni, watu wanaamini Tundu anastahili kuwa katika chama kingine, imagine yeye, mwabukusi na wanasheria wangekuwa na chama, hawatapata kuungwa mkono kweli? au wanaogopa kuongeza kundi la maadui, au wanaogopa watanyimwa usajili? wao si wanasheria, wakinyimwa wanaenda mahakamani.
  8. M

    Watanzania tunahitaji chama kipya cha upinzani

    Hakuna ubishi ya kwamba watanzania wanajitaji chama cha kuweza kuwa na sera mmbadala dhidi ya chama tawala. Hata hivyo ,vyama vilivyopo vimekosa kukubalika kwa watanzania walio wengi kutokana na yafuatayo: 1: Act Wazalendo ,wako zaidi Tanzania Visiwani 2: Chadema kimenenea baadhi ya mikoa...
  9. Pre GE2025 Lissu na Mpina anzisheni Chama, mtanishukuru baadae

    1. Kwasasa hakuna upinzani wa kweli, upinzani wa kweli uchangia ustawi na Maendeleo. Ninyi mnaonekana kuwa wapambanaji huru , mtakuwa na Chama imara kama Umkontho We Sizwe Cha Zuma 2. CHADEMA (mbowe) au act wazalendo (Zitto) vimeshakula nyama ya mtu haviwezi kuacha. Ndio maana hata act...
  10. Pre GE2025 Nipo kwenye hatua za mwisho za kusajili chama kipya cha siasa kitakachoing'oa CCM kabla 2025. Nahitaji vijana 10 tu kutoka kila mkoa

    Sina utani kabisa kwenye hili jambo nimedhamilia, kama vijana wa nchi hii, tuliweka Imani kubwa sana kwa vyama vya siasa vilivyopo, tangu mwaka 1995 mpaka sasa, hakuna chama hata kimoja ambacho kimethubutu kuiondoa ccm na kushika Dola! Zaidi tu tunaona ni vyama vyenye malengo ya kujikimu...
  11. Tetesi: Mbatia kuanzisha chama kipya cha siasa

    Taarifa za chini ya capet ni kwamba, taratibu za awali zimeshakamilika ikiwa ni pamoja na jina la chama, rangi za chama, nembo pamoja na logo ya chama. Majibu ya msajili yatatoa uelekeo. Nyuma ya mpango huu, viongozi waandamizi kutoka vyama mbalimbali vya siasa, wanatajwa kuhusuka ikiwa ni...
  12. Tetesi: Chama Kipya cha Siasa kusajiliwa hivi karibuni

    Wanajamvi kwema..... Nachelea kusema katika siasa hakuna jambo linaloweza kutokea bila lengo. Mambo yote katika siasa hubuniwa na wabobezi, hupangwa, huchakatwa na hatimae hutekelezwa na wataalamu kwa umahiri, umakini na weledi wa viwango ili kusudi kuyafikia malengo yaliyowekwa kwa uhakika na...
  13. Msaada hatua za kuanzisha chama kipya cha siasa

    Naona kuna umuhimu wa kuanzisha chama kipya cha kisiasa, hivi kuna ugumu gani? Au wasajili watatuzuia, au watapoteza kwa kutumia wasiojulikana! Najiuliza tu, kuna watu hapa Tanzania hawana hata kwa kwenda, kama Dr. Slaa, amekataliwa CHADEMA, amekataliwa CCM, na anapenda kuendelea na siasa. Au...
  14. D

    CCM itagawanyika kabla ya 2025. Chama kipya kinakuja. Dalili zote zipo

    Iko hivi, vikao vya chama mambo yamekuwa magumu, wanachama hawaaminiani, hadi kwenye jimbo langu, Mwenyekiti wangu yupo mguu ndani mguu nje, helewi nini kinandelea. Anasema hiki sio chama alichokuwa anakijua na kukipigania. Influence imeshuka, watu hawaelewi, sijui campaign mambo yatakuwaje...
  15. Tetesi: Kunani CHADEMA, Slaa na harakati za kuanzisha chama kipya

    Watani, Ndoa ya CHADEMA na Dkt Slaa inaelekea mwisho, Slaa anaelekea chama kipya. Walijaridu kuforce bond kwenye mkutano wa Temeke, picha halisi ilionesha chemistry kati ya Dkt Slaa na CHADEMA haikubali, ndio maana Slaa toka mkutano wa Temeke ameachwa rasmi kutumika kwenye mikutano ya CHADEMA...
  16. Ukiwa Malawi Washirika wako na Chama kipya mnaendeleza Mipango na Majungu yenu, sasa nenda Cuba ukasahaulike mazima

    Nauli ya kuja Blantyre au Lilongwe nchini Malawi hata Masikini GENTAMYCINE anaweza Kujichanganya na akaja kisha tuendeleze Mipango yetu na Majungu ya 2025 na ile Kabambe ya 2030. Sasa nakutupa Jijini Havana nchini Cuba ( ambako ni mbali Kijiografia ) ili tuone kama Wanafiki Wenzako wa Chama Cha...
  17. Uhakiki wa Wanachama Chama Kipya Cha Siasa 1993

    WANACHAMA WA CHAMA KIPYA CHA SIASA WAMEKUJA KUHAKIKIWA NA MSAJILI WA VYAMA ARNAUTOGLO HALL 1993 Asubuhi na mapema tulikuwa tumeshafika Ukumbi wa Arnautoglo tumekuja kuhakikiwa kwa ajili ya chama chetu kipya cha siasa. Ukumbi huu una historia kubwa sana katika siasa za kudai uhuru wa...
  18. Uhakiki wa Wanachama Chama Kipya Cha Siasa 1993

    WANACHAMA WA CHAMA KIPYA CHA SIASA WAMEKUJA KUHAKIKIWA NA MSAJILI WA VYAMA ARNAUTOGLO HALL 1993 Asubuhi na mapema tulikuwa tumeshafika Ukumbi wa Arnautoglo tumekuja kuhakikiwa kwa ajili ya chama chetu kipya cha siasa. Ukumbi huu una historia kubwa sana katika siasa za kudai uhuru wa...
  19. M

    KWELI Seif Maalim Seif ndiye mwanzilishi wa Umoja Party (UP)

    Chama cha siasa kilijulikano kama Umoja Party (UP) kimeomba usajili wa muda. Chama hicho tayari kimewasilisha maombi ya usajili wa muda ili kuanza kutafuta wadhamini kwa lengo la kupata usajili wa kudumu. Maswali yalikuwa mengi kuhusu nani hasa mwanzilishi wa chama hicho.
  20. Kiundwe chama kipya kuwakomboa watanzania kiuchumi na kisiasa. Vilivyopo havina nia thabiti. CCM na wapinzani wanacollude kuwahadaa Watanzania

    Haiwezekani hali ilivyongumu alafu watu wanachukulia mzaa maisha ya watanzania. Taifa lina rasilimali lukuki lakini umaskini umetamalaki kila kona ya Tanzania. Watu wanaishi maisha ya kubangaiza kula kwa tabu, kuvaa kwa tabu hata kulala kwa tabu. Leo hii ni siasa za unafiki zinaendelea tu na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…