Salaam Wakuu,
Chama kipya cha Siasa kinachoitwa Umoja Party, inasemekana ni chama kinachofuata, Uongozi wa Hayati Magufuli. Inasemekana Vigogo wengi wa CCM wapo nyuma ya hiki chama.
Wafuasi wengi wa Umoja Party wanadai Rais Samia hafanyi kazi kama Magufuli, na Watu Magufuli aliowaamin kama...
UTANGULIZI
TAFADHALI NAOMBA NISIRUSHIWE MADONGO,MIMI NI MJUMBE TU.HATA HIVYO NIKIRI KWAMBA HILI WAZO NIMELIPENDA, INGAWA MIMI NI MWANA CCM.
NIKIRI KWAMBA BAADA YA MIAKA 61 YA UHURU, BADO CCM INATUPIGISHA WATANZANIA MAKIDA MAKIDA.
KWA BAHATI NZURI MAGUFULI ALIBADILI SYSTEM YA UONGOZI TANZANIA...
Kwa speed hii wanayokwenda nayo, nashawishika kuamini kuwa Bado siku chache sana tutajua nani Yuko nyuma ya kile chama kipya.....
Wenye chama Chao watajitokeza mapema tu, hakika vita vya panzi furaha kwa kunguru. Wacha wararuane....
Ni nani yuko nyuma ya Chama hiki kipya Cha Siasa cha 21 Tanzania.
Bahati mbaya sana wanaoanzisha vyama hivi wanashindwa kabla ya kuanza.
Ukweli ni kwamba CCM hakuna wakuitoa kwa sasa kwa mamna ilivyo na sera na dira zinazoeleweka.
CCM ni chama zao la kutafuta maendeleo na haki ya kila...
Disclaimer (Andiko hili ni kutoka clickhabari.com)
Imebaki miaka minne kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 nchini Tanzania. Chama kipya cha siasa kilijulikano kama Umoja Party (UP) kimeibuka kuomba usajili wa muda. Chama hicho tayari kimewasilisha maombi ya usajili wa muda ili kuanza kutafuta...
USHINDI WA KONDE;MBADALA WA CCM NI CHAMA KIPYA KUTOKA NDANI YA CCM.
Na Chakat,Hapa Kazi Tu.
Tanzania inapaswa kuwa na vyama vya siasa vinavyojitambua na vinavyojua wajibu wao katika kuleta maendeleo ya Taifa kwani siasa sio chuki wala uhasama,siasa sio udini,siasa sio Ugaidi,siasa ni...
Hivi vyama vikubwa viwili vyote vipo hoi. Hoi sana. Kimoja kinashikiliwa na Dola na kikingine kinashikiliwa na Ukosefu wa Chama mbadala.
Utaniuliza ACT nitakujibu hamna kitu pale. Hamna chama cha ukombozi wa Mtanzania.
CHADEMA ya sasa Imekuwa Nyepesi sana. Uzito wa Unyoya. Haina nguvu ya...
Ni muda muafaka saasa wa kuunda Chama kipya cha upinzani kufuatia anguko kuu la upinzani baada ya upinzani uliopo kukumbwa na kimbuga Magufuli baadaye Upepo Samia ukaja kuwafagia kwa hiyo kwa mstakabali wa Taifa letu ni muda muafaka sasa wa kuunda Upinzani unaotetea masilahi mapana ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.