Kama hutuwezi kuvumiliana katika hili basi hakuna haja ya kuwa na vyama vingi
Shabiki wa YANGA na Simba wanapata huduma sawa na hakuna kati Yao anaeoneka si BINADAMU sahihi
Lakini Leo inafikia hatua ukiwa chama Cha upinzani unaonekana mpinga maendeleo mleta vita mtu usie stahili katika jamii...
Vyama vya siasa, hasa vyama tawala katika nchi za Dunia ya Tatu kama Tanzania, hutumia mbinu nyingi za hadaa kuwashawishi wananchi na waumini wa demokrasia ili waendelee kushikilia madaraka na kulinda maslahi yao. Hapa ni baadhi ya mbinu wanazotumia:
1. Kutumia Ahadi za Uongo Wakati wa Kampeni...
Kuchaguliwa kwa mtu mwenye miaka 80 kuwa makamu mwenyekiti wa chama tawala kuna madhara na faida nyingi.
Kisiasa, umri mkubwa unaweza kuleta uzoefu wa thamani, lakini pia kuna changamoto zinazohusiana na uwezo wa utendaji wa mtu huyu katika nafasi hiyo.
Madhara
Mtu mwenye umri wa miaka 80...
Huu utaratibu wa mgombea wa chama tawala kuunda tume huru sio demokrasia napinga kwa nguvu zote inawezakana ni mbinu ya watu wasio watakia mema watanzania maskini ili kujinyakulia madaraka kinyume cha sheria kwa kujiteuwa wao wenyewe kwasababu mgombea huyu kuunda tume huru hakuwezi kuwa na...
Katika uhalisia ndani ya taifa mgombea wa chama tawala ndio anajiundia tume mwenyewe hii sio demokrasia wakati nchi inawagombea zaidi ya mmoja na inamfumo wa vyama vingi vya siasa na ina wataalamu wa kisiasa kwanini mgombea anaunda tume ?
Nilishauri tume huru kuundwa na wataalamu wa masuala ya...
Imethibitka, imethibitika.
Kwa Sasa Macho na masiikio ya Watanzania Mamilioni kwa mamilion, mitandaoni na kqa ground wako Na Lissu.
Kila.mtu anaimba mabadilko halisi. Si wanaccm, si wanachadema wala wasio na vyama.
Kwenye Group Moja la Whatsapp lenye makada wakubwa na wadogo wa ccm...
Takribani hii miezi mitatu mfululizo Chadema imekuwa hot sana.
Mitaani kote habari ni Lissu na chadema. Baadhi ya Watoto ukiwauliza nani Rais wa Tanzania wanasema ni Tundu Lissu😅
Facebook, Twitter, Insta, Jamii Forums na Youtube Channels zote ni kuhusu Lissu tu.
Kampeni zote zina reflect...
Ukweli ni kwamba kwa sasa upepo wa siasa unavuma CHADEMA, macho na masikio ya wengi yameelekea huko.
Chama tawala ni kama wamesahaulika kwa muda, je hii ni ishara njema kwao kuelekea 2025?
Nini sababu ya chama tawala kupoteza ushawishi katika kipindi hiki kifupi? Je ni mbinu hafifu za kisiasa...
Sijui kwa ufasaha maana ya chama dola, ila nimeshasikia mara kadhaa CCM ikilaumiwa kuwa ni chama dola!
1. Ni vibaya kuwa chama dola?
2. Katiba inasemaje kuhusiana na hilo?
Baada ya mkeka wa teuzi Kutoka mchungaji Msigwa amesema ana Imani kubwa sana na Rais Samia na kwamba hajutii kuhamia CCM kwani haina mbadala.
“Nimechunguza, Nimetafiti, Nimetafakari, Nimelingalisha, Nimetofautisha, Nimejiridhisha na kutoka na hitimisho kuwa Tanzania iko salama mikononi mwa CCM...
Bila kuwa mwanachama wa Chadema au ACT Wazalendo, nakiri kwamba Chadema, hawa kina Tundu Lissu, Zitto Kabwe, Mbowe, na wakati fulani kina Msigwa, Dr. Slaa, Mtikila, Mrema, Dr. Kaborou na wengine, siku zote wamekuwa na nia nzuri sana na nchi yetu. Sina shaka juu ya hilo.
Sasa tatizo ni kwamba...
Kinachoendelea nchini aibu kubwa sana ndani na machoni pa mataifa mengine.
Tumefikaje hatua ya watendaji wa serikali kuua mwananchi na mwanasiasa kwa sababu ya uchaguzi wa ujumbe wa serikali za mitaa?
Kama uchu wa madaraka umekuwa mkubwa kiasi cha kuua mjumbe wa shina je nini kitatokea kwa...
Inawezekana kabisa nia ya 4RS ipo dhahiri kupitia CCM Lakini ni vyema vyama vyote kuzingatia taratibu tulizojiwekea katika uchaguzi.
Inashangaza mgombea umeelezwa wazi kuwa iwapo hujatendewa haki kata rufaa
Nenda kwenye mamlaka ya kiuchaguzi pigania haki yako halafu badala ya kufanya hivyo...
Chama cha Mapinduzi (CCM) na Serikali yake wamekuwa na utaratibu wa kutengeneza tatizo na kulitatua wao wenyewe ili waonekane wema kwa Wananchi na tasisi za ndani na nje ya nchi
Pia soma
CCM: TAMISEMI itambue demokrasia yetu ni changa, ipuuze makosa madogomadogo katika hatua ya rufaa uchaguzi...
Hata kama ni Marekani lazima CHADEMA ionyeshe kuwa haina double standard kwa kuamua kususia kazi zao. Kumekuwa na matamko kadhaa za kutaka tususie kazi za wasanii wa Tanzania wanaoisapoti CCM kwa hiyo umefika muda sahihi wa chama cha Mbowe kutoa wito kwa wafuasi wake kususia kazi za wasanii...
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi amekutana na Mheshimiwa Youssoufa Mohamed Ali, Waziri wa Ulinzi ambaye ni Katibu Mkuu wa Chama Tawala Comoro cha CRC ambaye pia ni Katibu wa Rais wa Umoja wa Visiwa vya Comoro na kuzungumzia kuimarisha uhusiano baina ya vyama...
Inaripotiwa chama tawala cha BDP chini ya Rais Masisi nchini Botswana kimepoteza madaraka kwa Upinzani katika uchaguzi mkuu nchini humo na hatimaye kuhitimisha utawala wake wa miaka takribani 60,
Hiyo itamfanya Masisi kuwa Rais wa kwanza kutawala kwa awamu moja tu baada ya kufurushwa na raia...
Chama tawala cha Msumbiji, Frelimo, kimeendelea kushikilia madaraka katika uchaguzi mkuu uliofanyika mwezi huu, na kuongeza utawala wake wa miongo mitano katika taifa hilo la Kusini mwa Afrika, huku upinzani ukilalamikia udanganyifu.
Daniel Chapo, mwenye umri wa miaka 47, kutoka Frelimo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.