Jeshi la Polisi linafanya upuuzi kukamata viongozi na wafuasi wa vyama vya upinzani na kuacha wale wa chama tawala na mawakala wao.
Kitendo hiki kinadhihirisha jinsi vyombo vya dola vinavyotumika kwa maslahi ya kuhakikisha chama tawala kinapata kwa ukamilifu kile kinachokitaka kwa nguvu. Kwenye...
Tume ya uchaguzi nchini Burundi imemtangaza mgombea wa chama tawala Evariste Ndayishimiye kuwa mshindi wa uchaguzi wa urais uliofanyika juma lililopita.
Jenerali mstaafu ameshinda kwa 68.72% ya kura zilizopigwa, wakati Agathon Rwasa, kutoka chama kikuu cha upinzani akipata 24.19% ,matokeo...
Nauliza hili swali sababu kama wananchi tunataka kufahamu ukweli juu ya hili janga. Tunataka waziri wa afya, au msemaji mkuu wa serikali kila siku awe anatoa taarifa zilizo rasmi.
Mbona nchi za wenzetu ambazo zimekumbwa na hili janga kila siku lazima watoe taarifa rasmi kuhusu...
Tume ya uchaguzi ya Korea Kusini imetangaza kuwa chama Rais Moon Jae, Democratic Party kimepata viti 180 kati ya viti 300 kwenye bunge, upinzani, United Future Party wamepata viti 103
Huu umekuwa ni ushindi wa 66.2% zaidi ya chaguzi zote za bunge tangu mwaka 1992. Miezi kadhaa iliyopita Rais...
Inashangaza sana na inatia huruma, dunia nzima ipo katika wimbi zito la kupambana na ugonjwa wa Covid-19. Ugonjwa ambao umeua watu zaidi ya laki moja dunia nzima.
Wanasiasa na wafuasi wa Chadema wanakesha mitandaoni kuiombea vibaya nchi yao ipate maambukizi ili chama tawala kionekane...
Kuna nchi moja (jina kapuni), viongozi wake wanaonekana kutokuwa serious kiasi cha kutosha katika mapambano dhidi ya ugonjwa wa Corona kama ilivyo katika mataifa mengine duniani zikiwemo hata nchi zinazolizunguka Taifa hilo.
Inaonekana hata hatua wanazochukua ni mradi na wao waonekane...
Sitaki kusema mengi kwanini kinaenda kufa ila hoja kubwa ni toka baba wa taifa afariki CCM kimekuwa kikitawala kwa ujanja ujanja na propaganda
Kikubwa zaidi hawamu ya 5 imekizika kwa kupuuza wananchi wanataka nini kiufupi CCM haifanyii kazi matakwa ya watanzania walio wengi ili swala linaenda...
Kila anayefuatilia historia ya nchi hii na kujua maana ya rangi na alama mbalimbali atagundua kuwa baada ya kuondoa Kwa Mwalimu Nyerere, Muasisi wa Taifa hili, walioachiwa nchi chini ya CCM wanafanya kila kinachowezekana kulazimisha watu wote waone "CCM is synonymous to Government".
Kuna vitu...
Nimekuwa nikipitia na kuchunguza siasa za nchi yetu na nasikitika kusema kuwa hapa JF, home of great thinkers kuna wakosoaji na wapinzani mahiri sana wa utawala wa chama tawala lakini ni wakosoaji wasiobadilika, wamekuwa kama watoto wa kambo na msemo wa baba/mama angekuwepo tusingekuwa na maisha...
Sheria imepitishwa nchini Sudan ya kuvunja chama cha rais aliyeng'olewa madarakani Omar al-Bashir.
Bwana Bashir alichukua mamlaka 1989 kwa mapinduzi na kuliongoza taifa hilo kwa takriban miongo mitatu, hadi alipoondolewa kwa vuguvugu la maandamano ya upinzani mwezi Aprili.
Mamlaka inayoongoza...
Wanabodi za asubuhi!naenda moja kwa moja kwenye mada.
Kwa wale makomredi wa chama tawala naombeni ufafanuzi wenu kuhusu lengo la kuua upinzani nchini linaisaidiaje CCM kama chama tawala? Upinzani si ndio kioo? kama kwa miaka mingi upinzani umekuja na ajenda nyingi za wananchi ambazo serekali...
Rais Magufuli ambaye pia ni mwenyekiti wa chama tawala CCM amekutana na viongozi wa chama tawala cha kikomunisti cha China.
Viongozi hao kutoka China wamempongeza Rais Magufuli kwa namna CCM inavyoongoza kwa ufasaha serikali zake mbili ya Muungano na ya Zanzibar.
Source Eatv habari!
Spika Ndugai ameipongeza Serikali kwa kazi nzuri na Muswada umepita kwa kura za Ndiyo
======
BAADHI YA NUKUU (KUTOKA UPINZANI)
Kambi ya rasmi ya upinzani bungeni imekosoa muswada wa marekebisho ya sheria ya vyama vya siasa wa mwaka 2018 ikisema ni uonevu mkubwa dhidi ya vyama hivyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.