Kuna kampeni inaendelea kumuangusha kijana Diamond kwenye tuzo za BET. Ukiliangalia naona limekuwa lenye upinzani ambao umeingiliwa na vyama vya upinzani kwa ajili tu siasa ziwepo sijui.
Sasa nauliza kama mtu Mwijaku wewe ulianza kwa ajili kumpiga chini mwisho likaingilia vyama vya pinzani...
Wengi mlishuhudia vituko vilivyofanywa na Wakurugenzi wakati wa Uchaguzi 2020. Vitendo vya Mkurugenzi wa Ubungo havinitoki kichwani. Kama tumeamua kuwa nchi ya Vyama Vingi. CCM inategemea tutakua na imani na Wakurugenzi wale kusimamia Uchaguzi 2025?
Maana tumeshaambiwa katiba mpya si...
Ndugu Watanzania,
Ni wazi kwamba tangu tupate uhuru 1961, chama kimoja tu ndiyo chama tawala.[emoji21]
Mantiki ni kwamba, ndicho chama kilichoshiriki aidha dhuluma au faida kwa watanzania, maana ni chama kinachounda serikali kwa nyakati hizo zote.
Vilio vya mtanzania, ni sehemu tu ya kicheko...
Uvumi umezagaa kuhusu wapi alipo bilionea wa China, Jack Ma kutokana na kutojitokeza kwake hadharani kwa muda wa miezi miwili.
Jack Ma ambaye ni mwanzilishi wa kampuni ya Alibaba hajaonekana katika sehemu ya mwisho ya kipindi chake alichokianzisha cha ‘Africa’s Business Heroes,’ kinachowapa...
Ukiisoma vizuri katiba ya Zanzibar utagundua kuwa chama kinachotoa makamu wa kwanza wa Rais nacho kinakuwa ni chama tawala na kinatoa Mawaziri wawili muhimu.
Hii maana yake ni kuwa ACT-Wazalendo ni chama tawala pia na hata makamu wa kwanza wa Rais maalimu Seif akija Tanganyika itifaki...
Wakuu,
Haya ni maoni binafsi kuhusiana na mienendo ya siasa za Tanzania.
1. Chama tawala-mmepewa dhamana ya kuongoza watu wa imani, itikadi, rangi, kabila zote bila kujali nafasi ya kiuchumi, kiuongozi, kiusalama, kiafya na kijinsia ili wajikwamue kutokana na lindi la umasikini ambaye ni adui...
Wabunge wa Upinzani Hong Kong wamejiuzulu na kususia Bunge kwa kupinga msimamo wa Wabunge wa chama tawala katika kisiwa hicho kuonekana kukubaliana na sheria ya serikali ya Beijing ya Uzalendo kwa watu wa Hong Kong.
Idadi ya wabunge wa upinzani Bunge la Hong Kong ni 19 katika Bunge lenye idadi...
Mwanasiasa anaposhinda uchaguzi anatakiwa azungumze kwa namna itakayoteremsha joto la uchaguzi. Hii ni hotuba aliyoitoa Bill Clinton wa Marekani baada ya kushinda uchaguzi.
Nilitaka niweke hotuba ya Obama lakini nadhani ile ina vionjo vya kihistoria.
Aliyeshindwa uchaguzi naye anatakiwa...
Salaam wana jamvi,
Nimesoma maazimio ya kikao cha NEC ya Chama cha Mapinduzi, yameniacha na maswali bila majibu.
Kuna wengi hawajui,wanadhani CCM ni chama tuu cha siasa,kama vyama vingine, CCM sio chama tuu cha siasa kama
vyama vingine ,CCM ni chama na ni dola,hivyo CCM ni Chama dola, CCM ni...
CCM kubalini yaishe japo mnasema Mapinduzi daima, kubalini kwa roho safi kabisa wala msiwe na kinyongo.
Ukiangalia CCM haina tena mvuto kiukweli huku mitaani achana na majukwaa, huku mitaani kila mtu ni CHADEMA mwaka huu.
Ona sasa CCM wamebaki na wasanii kwa kuwavalisha kofia kama kumbukumbu...
Moja kwa moja kwenye mada
Kupita bila kupingwa ni pale inapotokea mgombea mmoja tu amejitokeza na kuchukua fomu na kukidhi vigezo vyote huyo anapita bila kupingwa
Au endapo wagombea wengi wamechukua fomu na kukidhi vigezo lakini ndani ya muda uliowekwa kisheria wanaamua kujitoa ili kumpisha...
Hivi tatizo ni nini? Hatuna waandishi wazuri wa hotuba? Au viongozi wetu wamepungukiwa kiuwezo?
Hebu angalieni hotuba hii hapa chini jinsi ilivyotulia.
Habari kubwa kwenye magazeti ya Leo ni kauli aliyoitoa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ya kuwapiga mkwara mzito, wagombea wa vyama vya upinzani kuwa wasitumie majukwaa ya kisiasa katika kipindi hiki cha kampeni kuwachafua wagombea wenzao.
Ingawa hakuwataja kwa majina wagombea hao, ni dhahiri...
Nimejaribu kufuatilia jinsi coverage unavyofanywa na hizi local media zetu kuhusu matukio mbali mbali yanayofanywa na chama tawala CCM, hakika inasikitisha. Hakuna balance kabisa kwenye matukio ya kisiasa kati ya chama tawala na Upinzani.
Hivi vyombo vimeamua kua upande wa Chama Tawala hata...
Mwana jamvi,
Utakubaliana nami au kuungana nami au unikosoe kuwa sasa imedhihirika kuwa ajenda ya sasa inaonyesha dira na muelekeo wa aina ya uongozi na siri waliyo nayo juu ya madaraka.
Utakubaliana na mimi kwamba sasa CCM wameanzisha mfumo wa kuhakikisha wao wakimaliza muda wao wanaweza...
THINKING ON SOUTH AFRICA CHANGES by DON NALIMISON.
Changing a name of Rulling Political Party AFRICAN NATIONAL CONGRESS (ANC) to be ARENA FOR CORRECTION OF AFRICA(ACA).
I DON NALIMISON a Musician, Human Rights Defendant and Security Advisor, I am in thinking to help South Africa Nation to make...
Najua mwenyekiti Mbowe bado ni mgonjwa na makamu wake Tundu Lisu yuko nje ya nch lakini Katibu mkuu Mnyika yupo pale jimboni Kibamba.
Ninachojiuliza kwanini Mnyika hakuhudhuria mkutano mkuu wa CCM ilhali vyama vyote vya siasa vilipewa mwaliko?
Maendeleo hayana vyama
Hiyo ndiyo habari toka Malawi! "CCM" ya malawi maji ya shingo wanalalamika kuwa wanafanyiwa fujo na wafuasi wa MCP. Hii ni baada ya kura kuonyeha kuwa MCP-chama cha upinzani kinaongoza ingawa bado kura zinaendelea kuhesabiwa. Majeshi yao, polisi wao, fedha zote zao, bado wanalalamika!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.