chama

The Rio Chama, a major tributary river of the Rio Grande, is located in the U.S. states of Colorado and New Mexico. The river is about 130 miles (210 km) long altogether. From its source to El Vado Dam its length is about 50 miles (80 km), from El Vado Dam to Abiquiu Dam is about 51 miles (82 km), and from Abiquiu Dam to its confluence with the Rio Grande is about 34 miles (55 km).
The name "Chama" is a shortened version of the Tewa term tsąmą' ǫŋwįkeyi, meaning "wrestling pueblo-ruin".

View More On Wikipedia.org
  1. D

    Mambo ya chama Kigamboni yanapelekea kufunga daraja kwa saa zima watu wasiende kazini

    Ile kauli mbiu ya kazi iendelee iko wapi! Daraja linafungwa zaidi ya saa kwa mambo ya chama watu wanachelewa makazini! Hivi tupo serious kweli hii nchi? Wamekosa maeneo mengine ya kuwangia hadi wafanyie shughuli darajani? Wangetangaza mapema kama ilikuwa lazima iwe hivyo!
  2. Erythrocyte

    Viongozi wa Chama cha Ngumi za kulipwa wakiongozwa na Chaurembo Palasa Wasimamishwa

    Taarifa hii imesambazwa na Wizara ya michezo , na kwamba wamesimamishwa kupisha uchunguzi. Bado haijajulikana Wanachunguzwa kuhusu nini. Bali uongozi huu kwa kadiri ninavyofahamu ndio Uongozi wa ngumi za kulipwa unaongoza kwa kuwabeba mabondia wazalendo bila aibu yoyote, hata wanapopigwa...
  3. Mzee Mwanakijiji

    Mwenge wa Uhuru upo kwa faida ya nani?

    Leo kwa mara nyingine mbio za mwenge zimeanza tena Tanzania, na safari hii mwenge umewashwa huko Dole Zanzibar kuendeleza ile adhma ya taifa letu changa kuwa "sisi tumekwisha kuwasha mwenge na kuuweka Kilimanjaro". Mwenge huu ulipowashwa mara ya kwanza na kuwekwa kwenye kilele cha Kilimanjaro na...
  4. T

    Mbowe na Lissu ni mchanganyiko mzuri wa kukijenga chama

    Ukiangalia tabia ya Mbowe kwenye uongozi ni mtu mvumilivu, ana subra, hekima, busara, na hupenda kutumia diplomasia. Ni mjenga hoja zenye mashiko. Wakati Lissu ni mkali, mharakati, havumilii sana, na anayo subra ndogo. Hapendi kutumia diplomasia, yeye ni koleo kwa koleo, lakini ni mjenga hoja...
  5. F

    Tundu Lissu ni shujaa wa nyakati zijazo na CHADEMA ndio chama chetu

    Kati ya mambo mengi ambayo kwayo Tundu Lissu atakumbukwa nayo ni ushujaa wake katika kutetea ukweli. Lissu hana unafiq na yupo tayari hata kufa ili kutetea ukweli. CHADEMA tuna hazina kubwa sana kupitia kwa mwanasiasa huyu machachari Tundu Lissu na tunapaswa kumuunga mkono, ameonesha njia! Huu...
  6. L

    Kama Mgunda anaokoteza wachezaji na anapata matokeo angekuwa na akina Babacar, Chama, Kibu, Saido ingekuwaje?

    Nimejaribu kuangalia mechi ya Simba na Namungo kule Ruangwa ambako nilikwenda kushuhudia live mtanange huo, nikaangalia Simba vs Mtibwa na jana Simba vs Tabora naona wachezaji wanaotumika ni wa kawaida mno lakini Simba inapata matokeo chini ya Mgunda, kwa mfano kule Namungo nilivyoona listi na...
  7. K

    DC kutumia Ofisi ya Umma kwa mambo ya chama ni sawa?

    Habari za wakati huu Wana jukwaa hili. Leo nimekuja hapa na hoja ya matumizi ya mali za Umma katika shughuli za Chama chochote cha siasa. Wote tunajua kuwa siyo sahihi na ni kosa kisheria, mali za Umma, mali za serikali kutumika katika shughuli za Chama chochote cha kisiasa. Zinaweza kutumika...
  8. dr namugari

    Mkutano wa makamu mwenyekiti wa chama Cha mapinduzi Tanzania bar

    Makamu mwenyekiti mzee kinana anahutubia taifa kwenye mkutano mkubwa ulioandaliwa katika ukumbi wa CCM Watu wa kila kada Ni wengi Sana Tazama TBC ujione mwenye jins anavyo pqngua hoja za chademq
  9. Cute Wife

    Zitto kamaanisha nini hapa? Anaiaga logo au anakihama chama?

    Kupitia ukurasa wake wa Instagram Zitto Kabwe amepost logo ya ACT-Wazalendo na kuandia ushairi huu; "Huzuni imenijaa Machoji yamejaa Moyoni kumepwaa Kukuacha hatimaye "Mlongo umenifaa Umekuwa kifaa Umenipa shifaa Kukuacha mtihani "Kubidi imebidi Tukulie idi Kavazini akidi Kwaheri mpenzi...
  10. Superbug

    Laiti UVCCM wangejua chama chao ndio chanzo cha umaskini kwa kuitumia dola kuzuia mabadiliko wangekihujumu kwa maendeleo mapana ya Taifa

    Kwa tathmini yangu ccm ndio chanzo kikubwa cha umaskini Tanzania. Kuna watu wema ndani ya ccm kama rais samia ila mfumo wa ccm sio mzuri kwa maendeleo ya taifa. 1. CCM inaifunika dola kitu ambacho ni kibaya. 2. CCM ni mnyororo wa matapeli wanaotumia ujinga wa watanzania. Ujumbe huu umfikie...
  11. F

    Tunakaribisha tofauti za hoja na maoni kuhusu chama chetu CHADEMA kwani hii ni fursa kubwa ya chama kukua na uthibitisho wa demokrasia komavu

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) tunakaribisha maoni mbalimbali na hata mawazo tofauti kati ya wanachama na viongozi wetu. Kama chama cha kidemokrasi, Chadema tunaona suala la kutofautiana na kulumbana juu ya hoja mbalimbali ni fursa muhimu sana ya kuonesha demokrasia yetu na pia...
  12. Carlos The Jackal

    Pre GE2025 Mwenezi akiwa Makonda, Chadema na Lissu walipoteana, Masikio ya Watanzania yalielekezwa Kwa Makonda, kwasasa Lissu anajipigia tu

    Unaambiwa Kwa Sasa MTU Bora asile lakini aweke Bando afatilie Lissu kasema nini !!!. CCM ya Makala na Nchimbi, Iko wapi?? Mbona imepoteana . Kidogooooo Arusha ndio imekucha, Wana Arusha Kwa Sasa hawana habari za UPINZANI kwakuwa wako na MAKONDA, jembe, Jiji limetuliaa, ni shamrashamra tu, wale...
  13. Stephano Mgendanyi

    Shemsa Mohammed: Kuwathamini Mabalozi ni Kukirudisha Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa Wananchi

    Shemsa Mohammed: Kuwathamini Mabalozi ni Kukirudisha Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa Wananchi MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Mkoa wa Simiyu, Shemsa Mohamed amesisitiza dhamira ya chama hicho chini ya Uongozi wa Mwenyekiti wa CCM, Dk. Samia Suluhu Hassan ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya...
  14. Mkalukungone mwamba

    Rais wa Yanga atangaza atakavyo watambulisha Chama na Kibu

    Rais wa Yanga atangaza atakavyo watambulisha Chama na Kibu Rais wa Yanga amesema watamtambulisha mchezaji mpya ambapo kwa taarifa za ndani ni kati ya Kibu au Chama kabla ya msimu huu kutamatika Ameyasema hayo katika live ilikuwa katika page ya Instagram ya Ali Kamwe jana jioni ambapo wameacha...
  15. M

    Pre GE2025 Tundu Lissu atahadharisha uchaguzi ndani ya chama kuingiliwa na fedha za Rais Samia na mwanae Abdul

    Kuna fedha za ajabu ndani ya Chadema ambazo chanzo chake hakijulikani. Hizi hela kama siyo za Abdul na mama yake, ni za nani? Kuna fedha za ajabu, Iringa, njombe na kwingineko. Pesa za Abdul na mamake zitatuangamiza. Chagueni viongozi ambao hawatatuangamiza. Kuweni macho na hizo pesa...
  16. B

    CHADEMA kukosa neno, utawala wa Sheria Migomo Marekani; ni Pigo kwa Chama, na pia kwa Ukombozi!

    1. Kwamba kinachoendelea Marekani ni jitihada za Serikali ya huko kupinga haki ya watu kujieleza?! 2. Kutokuheshimiwa huku kwa wazi kwa misingi ya kawaida kabisa ya utawala wa sheria, ni wa kulaaniwa vilivyo na kila mtu na hasa mtanzania aliye mzalendo. 3. Kwamba CHADEMA chama tegemeo kwa...
  17. S

    Nikisema CCM na Serikali yake ni waongo nitakuwa nakosea?

    Ni Matumaini yangu wote mko salama Nasikitika kwamba Serikali ya Chama cha mapinduzi Ni waongo Sana Na Chama chenyewe ni Chama cha hila. Bahati nzuri Mimi sina maneno mengi Sana Naenda moja Kwa moja Kwenye point kuthibitisha uongo wa Chama change cha Mbogamboga. Nikiwa mdogo nilikuta Bicon za...
  18. B

    Chadema Wamepata wapi pesa za Kufanya mikutano na maandamano Nchi nzima kuzidi Chama Tawala?

    Nimefatilia habari za Siasa kwa kipindi che Mwezi Aprili Pekee nimeshuhudia mikutano mikubwa na maandamano ya hiari ya wananchi takribani Kanda Zote za Nchi na Mikoa mingi sana. Tunajua Chadema sio chama tawala lakini kuuliza si ujinga. Kuendesha mikutano Pande zote za Nchi sio jambo dogo...
Back
Top Bottom