chama

The Rio Chama, a major tributary river of the Rio Grande, is located in the U.S. states of Colorado and New Mexico. The river is about 130 miles (210 km) long altogether. From its source to El Vado Dam its length is about 50 miles (80 km), from El Vado Dam to Abiquiu Dam is about 51 miles (82 km), and from Abiquiu Dam to its confluence with the Rio Grande is about 34 miles (55 km).
The name "Chama" is a shortened version of the Tewa term tsąmą' ǫŋwįkeyi, meaning "wrestling pueblo-ruin".

View More On Wikipedia.org
  1. Kama CHADEMA wanasema Lissu kavunja katiba ya chama chake, anapata wapi mamlaka ya kujadili katiba ya nchi

    Huyu mtu anatusumbua na nyimbo za katiba kuchwa kutwa. Sasa ana tuhuma ya kuvunja katiba ya chama chake kwa kupandikiza wajumbe feki wa Kamati Kuu. Hebu atuache watanzania, tumechoka na utapeli wa kisiasa.
  2. Pre GE2025 Njia zinazotumiwa na chama tawala kuwahadaa wananchi na waumini wa demokrasia katika nchi za dunia ya tatu

    Vyama vya siasa, hasa vyama tawala katika nchi za Dunia ya Tatu kama Tanzania, hutumia mbinu nyingi za hadaa kuwashawishi wananchi na waumini wa demokrasia ili waendelee kushikilia madaraka na kulinda maslahi yao. Hapa ni baadhi ya mbinu wanazotumia: 1. Kutumia Ahadi za Uongo Wakati wa Kampeni...
  3. Unadhani ni kwanini wito wa kuichangia CHADEMA pesa ya maji na kuendeshea chama hicho uliotolewa na kiongozi wake mpya unasuasua kama vile umepuuzwa?

    Wengi wameshtukia na kuhisi mpango huo wa kiongozi wao ni utapeli? Au wanaona michango yao kupitia ruzuku inatosha kabisa kuendeshea chama, kununua maji ya kunywa spirit, nyama na matumizi mengine, na kuchangishwa tena ni usumbufu na ulaghai? Au wanahisi watadanganywa tena kama...
  4. Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akizungumza na Balozi wa Algeria nchini Tanzania, Ahmed Djellal,

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akizungumza na Balozi wa Algeria nchini Tanzania, Mhe. Ahmed Djellal, ambaye alifika ofisini kwa Balozi Nchimbi, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, jijini Dar Es Salaam, kwa ajili ya kuaga, Jumatano tarehe 12...
  5. Lissu chama kinamshinda mapema sana. Chadema haieleweki inafanya nini

    Uongozi ni kalama na zawadi hii anaigawa mwenyezi Mungu pekee. Lissu alitumia nguvu, matusi, kejeli, dhiaka na kila aina ya uchafu ili awe mwenyekiti wa Chadema. Alipata alichokitaka. Amekuwa mwenyekiti ila hakuna jipya analofanya. Tuliambiwa tumpe muda anaenda chimbo akirudi nchi itasimama...
  6. Hakuna chama cha siasa makini cha upinzani nchini kinaweza kuthubu kukubali wito kuungana na chama tapeli na kibaka wa demokrasia

    Yaani anataka vyama vya upinzani kuungana ili kuomba pesa nyingi zaid kwa wananchi wanaoitwa maskini? Yaani vyama vya siasa vya upinzani viache malengo yao wafuate ulaghai wa huyo mpiga makelele mwenye chuki na uhasama na viongozi na baadhi ya wanachama wa chama chake mwenyewe, inawezekana...
  7. Tetesi: Clatous Chotas Chama anaidai Yanga Mamilion ya pesa

    Naamini kabisa kuna watu wanafanya biashara kupitia hawa wachezaji. Chama huyu ndo alisajiliwa kwa zaidi ya Million 500? Kuna mambo yanaumiza sana wapenda mpira. Watu waliungiza Uongozi chaka.
  8. Maelezo marefu kumbe agenda kuu ilikuwa ni kuomba kuchangiwa pesa za matumizi binafsi ya kifamilia na za kuendesha chama chake

    Ilifahamika na kuonekana bayana tangu mwanzo, kwamba kiongozi mpya wa chadema hana maono wala mipango madhubuti ya kuendesha chama kwa mipango mikakati maalumu ya kiuchumi na kujitegemea kama vyama vingine vya siasa, Tazama sasa, Maelezo marefu kwa muda mrefu kumbe dhumuni na agenda ilikua ni...
  9. Kumbe Mchungaji aliyefukuzwa uanachama wa CCM Kilimanjaro, alikuwa mgombea urais wa chama cha CCK

    Kumbe tulikuwa tunahangaishwa na majitu ya hovyo hovyo tu, nilidhani ni mwana CCM makini.
  10. Video: Hatimaye wana CCM majasiri waanza kujitokeza na kusema Samia amevunja katiba ya chama kujiteua mgombea u - Rais. Atakiwa kujiuzuru

    https://youtu.be/Gl_enK_qbVg?si=XGMbUj8hTJxGpgyp ➡Hatimaye matunda ya kilichofanyika Dodoma tarehe 19/01/2025 kwa Bi Samia Suluhu Hassan kujiteua mgombea u - Rais huku akimwingiza kwenye mkumbo huo Dr Emmanuel Nchimbi kama mgombea mwenza wake, yaanza kujidhihirisha na kupingwa waziwazi.. ➡Mzee...
  11. Natamani kujiunga Chama la Kataa Ndoa ila Roho bado inasita-sita

    Natamani kujiunga hili Chama la Wana ila roho bado inasita-sita. Nimejifungia sehemu bado natafakari
  12. Kiongozi wa chama Thirdway Alliance asema Kenya inaweza kujitegemea bila misaada ya Marekani. Asema shida ni kubwa ufisadi na ubadhirifu

    Kiongozi wa chama cha Thirdway Alliance, Ekuru Aukot, amesema kuwa Kenya inaweza kujitegemea bila msaada kutoka Shirika la Usaidizi la Marekani (USAID) tatizo kubwa limekuwa ni rushwa na matumizi mabaya ya fedha za umma Aukot alisema kuwa Kenya inapata fedha nyingi lakini nchi hiyo haina pesa...
  13. Wakati wa uchaguzi chama kikongwe hujidai kama siyo chanzo cha umasikini uliopo nchini

    Kipindi cha uchaguzi na maajabu yake, utasikia maneno na mipango ya busara kutola kwenye chama kikongwe huku wakijitenga kuwa chanzo cha uharibufu na umasikini uliopo, watatoa mawazo chanya yenye akili kama siyo wao waliokaa madarakani toka kabla ya kuanza kwa vyama vingi nchini Tanzania ila...
  14. Kuna Uhusiano wa Wizi wa Raslimali za Nchi Yetu na Wanasiasa wa Chama cha Democratic cha Marekani?

    Nakili sina ujuzi wa mada za uchunguzi ila kwa kutumia tu "common sense" ambayo kila mtu anazaliwa nayo na kwa msaada wenu "great thinker" hebu tuunganishe dots hapa(huu ni Uzi shirikishi) ili kuwabaini Wanasiasa hapa nchini ambao wapo karibu sana na wana urafiki na wenzako wa chama cha...
  15. Pre GE2025 CHADEMA sasa ni chama rasmi mbadala wa CCM

    Hiki Chama sasa kimebeba taswira ya nchi halisi ya waTZ,wale waliokua mashabiki wa mtu/watu kwa sasa wajue mtu hadumu ila systems/chama nzuri ikijengwa hudumu miaka na miaka. Ni bora watu wahangaike kutengeneza mfumo utakao ishi siku zote. Ile January 21 was really and true revolution ya...
  16. Madhara ya kuchaguliwa kwa mtu mwenye miaka 80 kuwa makamu mwenyekiti wa chama tawala

    Kuchaguliwa kwa mtu mwenye miaka 80 kuwa makamu mwenyekiti wa chama tawala kuna madhara na faida nyingi. Kisiasa, umri mkubwa unaweza kuleta uzoefu wa thamani, lakini pia kuna changamoto zinazohusiana na uwezo wa utendaji wa mtu huyu katika nafasi hiyo. Madhara Mtu mwenye umri wa miaka 80...
  17. Wakati Chama cha Mapinduzi kinaelekea kutimiza miaka 48 tangu kuzaliwa kwake, moja ya kitu kinajivunia ni kuwa na ofisi nzuri zenye hadhi na muonekano

    Wakati Chama cha Mapinduzi kinaelekea kutimiza miaka 48 tangu kuzaliwa kwake, moja ya kitu kinajivunia ni kuwa na ofisi nzuri zenye hadhi na muonekano wa chama. Hii ni ofisi ya CCM Kata ya Manzese ambayo muonekano wake ni bora na yenye kuvutia. Asante Dotto Magari kwa kututembelea na...
  18. Huyu Chama kagundua Yanga hatuna mzuka naye sasa anataka kuwa anatuchomesha kwa Mikia

    Amejiona kama amekuwa wa kawaida sana na umri unamtupa mkono. Kwa sasa anatafuta mlango wa kutokea. Tulimchukua atusaidie kimataifa kama ambavyo alishawahi kuisaidia Simba mara mbili kuwavusha. Amekuja huku anakula ubwabwa tu na kuhangaika na mademu. Fala sana huyu. Halafu analeta tena habari za...
  19. Mpina: Misamaha holela ya Kodi ni Wizi, Serikali inapoteza Mapato kwa Upendeleo

    Mbunge wa Kisesa Luhaga Mpina amesema misamaha holela ya kodi katika bei za bidhaa ikiwemo biashara ya sukari imepelekea serikali kupoteza mapato na kwamba vitendo hivyo ni wizi kati ya wafanyabiashara na watumishi wa Serikali. Mbunge huyo ameeleza kuwa inashangaza misamaha hiyo inayotolewa kwa...
  20. A

    Pre GE2025 Mbowe siyo mwanademokrasia, kwanini amesusa kuwakabidhi ofisi Lissu na Heche?

    Katika hali ya kushangaza, Mbowe hajatokea kabisa leo Katika tukio la kitaifa la kumkabidhi ofisi Lissu. Kwa hali ilivyo ni kama uongozi uliopita umekomba kila shumuni kutoka kwenye akaunti ya chama kabla ya kubwaga manyanga. Mbowe siyo mwanademokrasia kabisa, mnaomsifu mnampaka mafuta kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…