chameleon

  1. comrade_kipepe

    Itaichukua muda mrefu Sana EAST AFRICA kupata m'badala wa chameleon

    Leo nimesikiliza nyimbo za Chameleon kama Jamila, Naumia, Shida za dunia na nyingine nyingi, nmegungua kua EastAfrica itaichukua muda mrefu Sana au isipate kabisa msanii aina ya josee, kutunga mashairi, Melody, ujumbe wa nyimbo zake ni kitu kinachoishi miaka na miaka. Jamaa alikua anatunga...
  2. Arnold Kalikawe

    Jose Chameleon: Msanii aliyeitikisa Afrika Mashariki

    Huyo mzungu ndiyo Dorotia mwenyewe, Kama uliwahi kusikia Ngoma ya Dorotia toka Kwa Jose Chameleon.Alikua Mpenzi wa Jose na walizaa mtoto mmoja aitwaye Ayla Mayanja Dr. Jose Chameleon aliivuruga East Africa na ngoma kali sana hit baada ya hit yani tunabandua Ugali tunabadika maharage yani...
  3. Lady Whistledown

    Uganda: Chameleon aomba radhi kwa kumbusu kaka yake mdomoni wakiwa Jukwaani

    Mwanamuziki Jose Chameleon amewaomba radhi mashabiki wake baada ya kumbusu kaka yake Weasel jukwaani, wakati wa tamasha la Gwanga Mujje, kitendo ambacho wengi wamekiita kuwa ni cha kuudhi Mnamo Februari 24, ndugu hao wawili walikuwa jukwaani wakitumbuiza, wakati Chameleone alipoelekea Weasel na...
Back
Top Bottom