Wasalaam.
Nimefanya utafiti mdogo kujua kwanini police wanakula rushwa na kudhulumu raia nikagundua ni mishahara duni wanayolipwa na serikali sikivu ya ccm. Police walishaua wafanyabiasha wa madini kutoka mahenge na kuwadhulumu pesa na madini kisha kutangaza wameua majambazi.
Dhuluma na uonevu...
The Atlas/Morocco wanaandika historia ya kubeba ubingwa wa michuano ya CHAN mara mbili mfululizo.
2018 🏆
2020 🏆
Rekodi kwa miamba ya Atlas.
Baada ya kuitungua Mali 2-0 kwenye mchezo wa fainali ya CHAN, timu ya taifa ya Morocco inakuwa timu ya kwanza kutwaa taji hilo mara mbili mfululizo...
Nimepitia humu sijaona chochote na pia 'website' ya TFF kimya tena hii haina taarifa ya kitu kinachoitwa CHAN 2021.
Nimetafuta hii kutaka kufahamu kama TFF wameamua chochote kuhusu kocha wa timu hiyo kutokana na matokeo mabaya tokea kuteuliwa kwa kocha huyo licha ya haya ya CHAN 2021.
Watupe...
Kwa mujibu wa mtandao wa michezo wa Sofascore, golikipa mahiri wa timu ya taifa ya Tanzania na klabu ya Simba, Aishi Manula, hadi sasa ndiye mwenye rating kubwa kuliko magolikipa wote walio na timu zinazoshiriki michuano ya CHAN huko Cameroon. Hii ni hadi round ya tatu inapokamilika hapo jana...
ANGALIZO
Tafadhali kisibadilishwe na pia Kicheze kama ambavyo nimekipanga kwani Kiunyangindo kimeonyesha Mafanikio na tutashinda mechi zilizobakia.
Kikosi cha Kuanza kiwe hiki tu....
1. Aishi Manula
2. Shomary Kapombe
3. Yassin Mustafa
4. Ibrahim Ame ( kama bado hajapona aanze Dickson Job )...
Napenda kutoa pongezi zangu za dhati kwa uongozi wa ZBC, viongozi wa Zanzibar pamoja na Wananchi wake wote kwa wema wao wa kuamua kutuhurumia na kutumia TV yao ambayo hatuchangii hata senti 5 kipande kwenye uendeshaji wake kutuonyesha michuano hii ya CHAN inayoendelea nchini Cameroon.
Bila wao...
Nimeangalia jinsi marefa wanavyochezesha Mpira huko Cameroon nikafurahi Sana kuona wapo vizuri na wanajali standards za sheria zote, ndipo nilipopata hamu ya kujua je ni akina nani na wanatoka inchi gani. Kwa mshangao karibu kila inchi imetoa marefa kadhaa lakini Tanzania hatuna hata refa mmoja...
Kikosi cha Timu ya taifa "Taifa Stars" kimeendelea na mazoezi leo katika uwanja wa Gymkhana kwa ajili ya kujiandaa na michezo miwili ya kirafiki ya kimataifa dhidi ya DR Congo na mashindano ya CHAN yatakayofanyika Cameroon.
Mashindano ya CHAN awali ilikuwa yafanyike kuanzia tarehe 4 hadi 25...
Timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars ilikua na kibarua kizito cha kupindua matokeo dhidi ya timu ya Taifa ya Sudan baada ya kupoteza nyumbani bao 1-0 katika mchezo wa kwanza wa kufuzu fainali za CHAN uliochezwa tarehe 22 Septemba 2019.
Licha ya kupoteza nyumbani katika mchezo wa marudiano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.