Mwendokasi upande wa DART, kuna changamoto ya uuzaji wa kadi, kwa sasa mfumo ambao unatumika ni wa kutumia kadi kununua tiketi lakini wao wametoa maelekezo kuwa hawatakuwa wanauza kadi siku za weekend, na ni kweli taarifa hiyo wameitekeleza.
Abiria wanapata changamoto tangu 26 Julai 2025...