Ndugu wadau wa Jamii Forum As-salamu alaykum, Bwana Yesu asifiwe, Tumsifu Yesu Kristo, Majeshi Majeshi.
Kama mnavyofahamu, viongozi na wadau wengi wenye dhamana ya kufanya maamuzi hupita na kusoma maoni katika jukwaa hili. Ili kuwa na sauti ya pamoja na yenye nguvu, nimeona ni vyema kuanzisha...