Mkurugenzi wa PPPC Bwana David Kafulila amekanusha madai kwamba ujenzi wa mtandao wa reli nchini utazifanya barabara kukosa kazi za kusafirisha mizigo.
Akizungumza kwenye kipindi cha DK 45 kinachorushwa na ITV, Kafulila alieleza kuwa hata mataifa makubwa kama Marekani, licha ya kuwa na...
Mimi ni mkazi wa majiji mawili Tanzania. Dar es salaam na Arusha. Wanangu ambao wote ni wanafunzi wa shule za msingi na sekondari wanapitia matatizo makubwa sana ya usafiri wa kwenda na kutoka shule.
Dar- mwanangu anaondoka saa 11 asubuhi na mpaka sa Moja hajapata mwendokasi kituoni na...
KUSITISHA UTOAJI HUDUMA YA UVUSHAJI KWA KIVUKO MV. KIGAMBONI
Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA) unawataarifu watumiaji wa kivuko Magogoni Kigamboni na wananchi kwa ujumla kuwa, Kivuko MV. KIGAMBONI kinachotoa huduma eneo hilo, kitasimama kutoa huduma kuanzia alfajiri ya siku ya Ijumaa...
Kuna daladala zimepewa leseni za kusafirisha abiria kutokea maeneo yafuatayo;
1. Oldonyosambu, Monduli, Morombo, Intel, Kisongo kupitia stand ndogo kwenda Kiong'ori
2. Oldonyosambu, Monduli, Morombo, Intel, Kisongo kupitia stand ndogo kwenda Kikatiti
Haya magari kwanza hayaanzii safari sehemu...