Ninapoandika andiko hili asubuhi,Mfukoni ni fedha TASLIM SHILING 5000,Benki nina Pesa Kidogo,Vijiasset kidogo sana,Madeni Makubwa sana na Malengo Makubwa sana.Najua hata wewe unayesoma hii unaweza kuwa na hali kama yangu,Kwa ufupi I am broke.I have been broke all my life so it is not something...