chanjo ya covid-19

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    #COVID19 CDC: Pata chanjo ya COVID-19 iliyoidhinishwa katika eneo unaloishi

    Kituo cha Kudhibiti Magonjwa nchini Marekani (CDC) kinasema Chanjo za #COVID19 zilizoidhinishwa kwa sasa ni salama na zenye ufanisi. CDC inasema uamuzi muhimu zaidi kwa kila mtu ni kupata chanjo ya #COVID19 haraka iwezekanavyo kwani chanjo kuwafikia watu wengi ndiyo njia sahihi ya kumaliza...
  2. J

    #COVID19 Chanjo ya COVID-19 haiondoi uwezo wa kupata watoto

    Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa nchini Marekani (CDC) imesema kuwa ikiwa unajaribu kupata ujamzito sasa au baadaye, unaweza tu kupata chanjo ya COVID-19 inayopatikana katika eneo lako kwani ushahidi kwamba chanjo ya COVID-19 husababisha shida yoyote kwa mchakato wa kupata ujauzito au...
  3. J

    #COVID19 WHO: Usitumie dawa za maumivu (painkillers) kabla ya kupata Chanjo ya COVID-19

    Je, unatumia dawa za kupunguza maumivu kabla ya chanjo ili kuepusha athari (side effects) zake? Shirika la Afya Duniani (WHO) linaonya kuwa inaweza kupunguza ufanisi wa chanjo. WHO inasema kuwa athari za kawaida za chanjo kama vile maumivu ya kichwa na uchovu mara nyingi hutokea kwa kiasi...
  4. Kididimo

    #COVID19 Kama tumejiridhisha chanjo ya COVID-19 ni bora, tutangaze chanjo lazima kwa kila mtu ili kunusuru Taifa

    Mimi binafsi nimejiridhisha kupitia watu mbalimbali waliochanjwa ,kuwa chanjo zinazotolewa hapa nchini, zina uwezo wa kukinga uviko kwa kiwango cha kutosha. Na hii ni kwa wale waliopitisha zaidi ya wiki mbili hivi tangu kuchanjwa. Pia, nimeangalia matukio ya halaiki kama mpira wa miguu katika...
  5. L

    #COVID19 Chanjo ya COVID-19 Tanzania: Mwelekeo mzuri, bado safari ni ndefu

    Hivi karibuni wizara ya afya ya Tanzania ilitoa takwimu za idadi ya watu waliopatiwa chanjo ya COVID-19 nchini humo imefikia laki 2.07, ikiwa ni moja ya hatua za kupambana na janga la virusi vya Corona. Chanjo ya COVID-19 ilianza kutolewa nchini Tanzania baada ya Rais Samia Suluhu kuzindua kazi...
  6. Suley2019

    #COVID19 Kadi chanjo ya COVID-19 kulipiwa Sh 20,000 Zanzibar

    Unguja. Wakati idadi ya watu waliopata chanjo ya corona Pemba na Unguja ikifikia 10,000, Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) imesema waliochanja na kukamilisha dozi zao watapewa kadi maalumu kwa kulipia Sh20,000. Waziri wa Afya, Ustawi wa Jamii, Wazee, Jinsia na Watoto, Nassor Ahmed Mazrui...
  7. kavulata

    #COVID19 Nilivyojisikia baada ya kuchanjwa chanjo ya COVID-19

    Nilikuwa miongoni mwa watu waliokuwa na wasiwasi kuhusu kuchanja chanjo ya covid 19. Hofu yangu kubwa kuliko zote ilikuwa kuganda kwa damu yangu baada ya kuchanja. Lakini Mimi ni miongoni mwa watu waliochanjwa chanjo ya COVID-19 Johnson And Johnson siku ya pili tu baada ya zoezi la kuchanja...
  8. Fundi Madirisha

    #COVID19 Propaganda za Chanjo ya COVID-19: Askofu Gwajima apuuzwe

    Kwanza nilitamani sana huyu mtu anayejiita Askofu akamatwe na vyombo vya dola kisha ahojiwe kuhusu tabia yake ya kwenda kanisani na kwenda kuwadanganya Watanzani kua chanjo si salama wakati anajua kabisa kua kila chanjo inayotolewa na serikali imejiridhisha. Huyu mtu anarudisha juhudi za...
  9. beth

    #COVID19 Guinea: Watumishi wa Umma watakiwa kuwa cheti cha kupata chanjo ya COVID-19

    Watumishi wote wa Umma Nchini humo watatakiwa kuonesha ushahidi kuwa wamepata chanjo dhidi ya COVID19 kabla ya kuruhusiwa katika maeneo yao ya kazi Rais Alpha Condé ametoa maelekezo kwa Waziri Mkuu kuhakikisha Mawaziri wote pamoja na Watumishi wengine Serikalini wanapata Cheti ili kuruhusiwa...
  10. Leak

    #COVID19 Serikali yawaonya wanaojipatia vyeti feki vya chanjo ya Corona

    Serikali kupitia Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Bwana Abel Makubi amesema kumeanza kujitokeza vitendo vya kujipatia vyeti feki vya chanjo ya Covid-19 hivyo amewaomba wananchi kuwa wasijaribu kujiingiza kwenye mkenge wa kujipatia vyeti feki vya Covid-19. Katibu Mkuu amesisitiza kuwa kuwa Wizara...
  11. MR TOXIC

    #COVID19 Afisa Elimu Mkoa wa Arusha na Muuguzi waliofanya maigizo ya chanjo wasimamishwe kazi mara moja

    Sitaki kutia neno, Jionee mwenyewe na uchukue hatua. UPDATE: 06 August, 2021 Waziri wa OR-TAMISEMI, Ummy Mwalimu amemuagiza Katibu Mkuu OR-TAMISEMI kumsimamisha kazi Mwalimu Omary Abdallahemed Kwesiga ambaye ni Mkuu wa Idara ya Elimu ya Msingi Halmashauri ya Jiji la Arusha. Aidha...
  12. J

    #COVID19 Wananchi waelimishwe zaidi ili kuondoa dhana potofu juu ya chanjo ya Covid-19

    Imeandikwa na JEC Dunia ina mengi nayo mengi hayana maana, ni msemo ambao unatumika kwa muda mrefu hapa nchini kwetu, lakini kwasasa jambo linalosemwa kwa maneno mengi yasiyo na maana ni chanjo ya kujikinga na maambukizi ya virusi vya Covid-19. Kila mtu amekuwa na lake la kusema iwe ni mtaani...
  13. Miss Zomboko

    #COVID19 Baada ya mtu kupata chanjo ya Covid-19 miongoni mwa mambo ya kuzingatia ni kutopata kilevi cha aina yoyote kwa saa 72 (siku tatu)

    Wataalamu wa afya na watafiti wa chanjo wanasema pombe na dawa ya chanjo vyote vinakwenda kwenye ini, hivyo upo uwezekano wa ini kuongezewa mzigo na kulichosha lakini pia kilevi huingilia kazi ya dawa kama ilivyo kwa dawa zingine hivyo kupunguza ufanisi. Mkurugenzi wa kuratibu na kukuza utafiti...
  14. Elisha Sarikiel

    #COVID19 Msisitizo Askofu Gwajima ni msimamo juu ya msimamo kuhusu Chanjo ya COVID-19

    Askofu Josephat Gwajima ameandika hivi punde kwenye ukurasa wake wa Facebook kwamba kabla hujaongea kuhusu mimi lazima utafakari sana kwanza. Familia zangu zipo nne ambazo ni:- Familia ya Ufufuo na Uzima Familia ya Waislamu Familia ya Watanzania Na familia ya wasionipenda (Assigned to sharpen...
  15. Fanxudy

    #COVID19 Spika Ndugai achomwa chanjo ya COVID-19

    Japo na nesi kuvaa Gloves Mbona Kama mh. Kanuna ivi au anaumwa
  16. Nkobe

    Mfahamu kwa kifupi Kizzmekia Corbett mwana dada mwenye asili ya Afrika (Mmarekani mweusi) na Mgunduzi mkuu wa chanjo ya COVID-19

    Maisha yake ya utotoni Kizzmekia Corbett alizaliwa huko Hurdle Mills, North Carolina (Januari 26 1986). Alikulia katika familia kubwa ya ndugu wa kambo na ndugu wa kulea. Corbett alienda Shule ya Msingi ya Oak Lane huko Roxboro A.L. Stanback Middle School. Mwalimu wake wa darasa la nne, Myrtis...
  17. C

    #COVID19 Elimu zaidi itolewe kuondoa dhana potofu juu ya chanjo ya Covid 19

    Na Chu Joe Dunia ina mengi nayo mengi hayana maana, ni msemo ambao unatumika kwa muda mrefu hapa nchini kwetu, lakini kwasasa jambo linalosemwa kwa maneno mengi yasiyo na maana ni chanjo ya kujikinga na maambukizi ya virusi vya Corona. Kila mtu amekuwa na lake la kusema iwe ni mtaani au katika...
  18. Analogia Malenga

    #COVID19 Rais Samia azindua Chanjo ya COVID-19 na kuchanjwa. Asema hawezi kujipeleka kwenye Kifo

    Mzee wa upako, Athony Lusekelo ameitwa kufungua kwa sala na kabla anatoa maneno machache ikiwemo kutaka watanzania kuiamini chanjo kwani Serikali imejiridhisha. Pia ameongelea kauli ya Magufuli na kusema hakukataa bali alitaka tahadhari, Mwisho amesema wakristo kuna mambo wanakubaliana wote kwa...
Back
Top Bottom