chanjo

Chanjo (kutoka kitenzi "kuchanja"; kwa Kiingereza "vaccine") ni dawa ya kibiolojia ambayo inajenga kingamwili dhidi ya ugonjwa fulani.

Dawa ya chanjo huwa na sehemu za vidubini vinavyosababisha ugonjwa fulani. Dawa hutolewa kutoka katika kidubini kilicho hai au kilichokuwa hai. Sehemu zinazotumiwa kwa dawa haziwezi kusababisha ugonjwa lakini zinatambuliwa na mmfumo wa kinga mwilini.

Mara dawa ya chanjo inaingizwa katika mwili, mfumo wa kinga unaanza kutegeneza fingomwili dhidi ya ugojwa huo.

Chanjo ni njia bora zaidi kuzuia magonjwa ya kuambukiza. Kinga inayoenea kutokana na chanjo kwa kiasi kikubwa inawezesha kuepukana na kifua kikuu duniani na kizuizi cha magonjwa kama vile polio, pepopunda, tetekuwanga kutoka duniani kote. Hata hivi karibuni kumekuwa na mlipuko wa ugonjwa wa COVID-19 kuna chanjo zilitengenezwa na kuukabili

Tunashauriwa na wataalamu wa afya na wanasayansi wa kimataifa kuwapa watoto wadogo chanjo ili iwakinge dhidi ya magonjwa na maradhi mabaya. Kinga ni bora kuliko tiba.
  1. Msaada maelezo ya kutambua Chanjo ya kuku ya TATU MOJA kama imepoteza ubora.

    Tafadhali naomba msaada wa maelezo ya kutambua endapo chanjo niliyo nunua bado ina ubora au imepoteza ubora kwa kuharibika au kuchakachuliwa. Kwa mujibu wa maelezo ya wagunduzi chuo Cha SUA chanjo hiyo imewekwa rangi maalumu kama indicator ya kuonaesha ubora au usalama wa chanjo. Wanasema...
  2. A

    KERO Muhimbili (Upanga & Mloganzila) inakuwaje mnakosa chanjo ya Tetanus kwa zaidi ya mwaka sasa!?

    Nimeenda mara kadhaa kwenye haya matawi mawili ya Hospitali ya Taifa Muhimbili (Upanga & Mloganzila), chanjo ya Tetanus haipo kwa zaidi ya mwaka sasa. Mara ya kwanza nilienda Upanga kama miezi 8 iliyopita baada ya mwanangu kung'atwa na mbwa, wakamchoma tu chanjo ya kichaa cha mbwa, chanjo ya...
  3. Wakenya wasema chanjo ambayo Rutto anataka kuwapa ngombe, itawafanya wasinyambe

    Wataalamu, hili limekaaje?. Kupatwa kwa Rutto
  4. D

    Kuna utafti naufanya kati ya waliochomwa chanjo ya covid katika suala zima la uaminifu katika ndoa na hasira nitareta mrejesho

    Kuna utafti naufanya kuhusu tabia za binadamu na mabadiliko ya hisia! Nafanya utafti wa tabia kabla ya kuchoma sindano ya covid na baada ya kuchoma sindano! Naangalia uaminifu katika Angel ya uaminifu katika ndoa ukoje baada ya kuchoma covid, umepungua au umeongezeka, Tabia za kihisia (Moody)...
  5. Course inayohusiana na mambo ya chanjo Vaccination hata Tanzania

    Course gani inahusika na mambo ya chanjo ( vaccine) ? , but nina diploma ya nursing nahitaji kusoma level ya bachelor ila nimeajiliwa halmashauri nahitaji kujiendeleza. Kama utakuwa na uelewa naomba ushirikiano wako.
  6. Dkt. Mpango akabidhi magari 96, pikipiki 300 za Chanjo

    Na WAF - Ruvuma Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango Disemba Mosi, 2024 amekabidhi magari aina ya Lori 28, Double-Cabing 68 yenye vifaa vya baridi pamoja na pikipiki 300 zenye thamani ya Shilingi Bilioni Nane ambayo yatasambaza huduma za chanjo kote nchini...
  7. Kwanini chanjo inachomwa mkono wa kushoto pekee

    Swali linajieleza wakuu kwanini chanjo mfano ya corona au nyingine hawachomi mkono wa kulia
  8. Waliosema chanjo ya COVID ni njama wamejizika na kuzikwa

    Ni miaka takbiran mitatu sasa tokea nichomwe chanjo ya kuzuia maabukizi ya COVID (UVIKO). Mimi nilichoma chanjo ya Pfizer Biontech, na zilikuwa dozi mbili zikipishasha wiki 6 mpaka miezi miwili. Na mpaka sasa nadunda na miezi kadhaa iliyopita tulimkaribisha mgeni mpya wa dunia hii...
  9. W

    Marekani kutoa Chanjo 10,000 za MPox Nchini Nigeria

    Marekani imetoa dozi 10,000 za chanjo ya MPox kupitia Shirika la Marekani la Maendeleo ya Kimataifa (USAID) ikiwa ni kundi la kwanza la chanjo hiyo kufikishwa baada ya visa 40 vya kuripotiwa nchini humo. Kwa mujibu wa taarifa ya USAID Serikali ya Nigeria imeamua kuyapa kipaumbele majimbo matano...
  10. Ujerumani Kuisaidia Afrika Dozi 100,000 za Chanjo ya Mpox

    Ujerumani itatoa dozi 100,000 za chanjo ya mpox kutoka kwa hisa zake za kijeshi kusaidia kudhibiti mlipuko katika bara la Afrika katika muda mfupi na pia kutoa msaada kwa nchi zilizoathiriwa. Serikali italipatia Shirika la Afya Duniani rasilimali za kifedha kupitia vyombo mbalimbali vya...
  11. M

    Baada ya Chanjo ya COVID-19 sasa Monkey pox

    Baada ya chanjo ya COVID-19 kutolewa nchini kwa mafanikio makubwa ambapo vifo vilipungua kufikia zero baada ya Serikali kuingiza nchini na kuhamasisha matumizi yake kuna janga lingine kwa majirani wetu hasa DRC. Changamoto ya ugonjwa wa monkey pox tayari imeshapatiwa chanjo na hivyo muda si...
  12. J

    SOMO: NAMNA BORA YA CHANJO ZA KUKU CHOTARA

    1. Baada ya kuanguliwa , Chanjo ya Marek's na Dawa HVT, Namna: sindano 2. Siku ya 2 hadi 6 KINGA ya Pullorum, Dawa: Trimazine 30% plus Vitamin, Namna: Maji 3. Siku ya 7, Chanjo ya Mdondo/Kideri (Newcastle), Dawa: Newcastle vaccine [LASOTA] Namna: Maji 4. Siku ya 14, Chanjo ya Gumboro, Dawa...
  13. WHO yazindua chanjo mpya dhidi ya Malaria, Ivory Coast

    Utafiti unaonyesha kuwa chanjo mpya ina ufanisi zaidi ya 75% katika kuzuia magonjwa na vifo vikali katika mwaka wa kwanza na kwamba kinga huongezwa kwa angalau mwaka mmoja zaidi kwa kupata chanjo ya ziada yaani booster. Zaidi ya 94% ya takribani visa milioni 249 vya malaria duniani na vifo...
  14. Chanjo ya kuku aina ya TATU MOJA

    Vifaranga vyangu vya kuku wa kienyeji, walipofikisha umri wa takribani wiki 2 hivi niliamua kuwapa chanjo hii. Baada ya muda vifaranga viliendelea vzr lkn sasa vimepata madhara kwenye jicho KUVIMBA, sasa sijui ni kutokana na chanjo hii au la !! Naomba wataalamu wanisaidie .
  15. G

    Msaada haraka Chanjo ya manjano(yellow fever) nataka kusafiri nje ya nchi

    Habari wana jamii, samahani ndugu yenu nimepata safari nnje ya nchi sasa sijui chanjo ya manjano inachukua mda gani kudungwa dosi na kupata cheti chake maana safari ipo karibu sana. Naombeni msaada kwa wazoefu tafadhali
  16. R

    Bishop Gwajima alikuwa sahihi kupinga majaribio ya Chanjo za COVID 19, abarikiwe

    Salaam, Shalom! Itakumbukwa, ndugu yetu Askofu Gwajima, alipinga majaribio ya Chanjo za Uviko 19 Kwa nguvu kubwa huku akijenga hoja imara mbalimbali kuwa, Chanjo hizi zinazoletwa Kwa Watanzania ni majaribio, Kwa kuwa hazijafanyiwa Utafiti wa kutosha,hivyo Si sahihi miili ya Watanzania kugeuzwa...
  17. Joseph Musukuma: Wazungu wanatuwekea ushoga kwenye chanjo; haiwezekani binti wa miaka 10 avae sidiria

    Wakati akichangia hotuba ya bajeti ya Wizara ya Afya bungeni Dodoma, Dr Msukuma ameshangaa mabinti wa miaka 10 tu kuwa na maziwa yaliyotutumuka kiasi cha kuhitaji kuvaa sidiria. Amedai utafiti huo ameufanya huko mashuleni na kuwaomba wabunge wengine nao waende wakafanye ili kujiridhisha. Sitaki...
  18. Astrazeneca yaondoa chanjo yao ya Covid-19 (Astrazeneca Covid-19 Vaccine) kwenye Soko la Dunia

    🇬🇧🇸🇪 AstraZeneca is withdrawing its Covid vaccine worldwide, The Telegraph reports. The pharmaceutical giant recently admitted in court for the first time that its vaccine can cause a rare and dangerous side effect. But the company claims the recall decision is purely commercial, as the...
  19. Ummy Mwalimu: Dozi moja ya chanjo ya HPV inatosha kumkinga Msichana kupata Saratani ya Mlango wa Kizazi

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema dozi Moja ya chanjo ya HPV inatosha kumkinga msichana kupata ugonjwa wa Saratani ya Mlango wa Kizazi na kuwataka wazazi/walezi kuwapeleka watoto kupata chanjo hiyo. Waziri Ummy Mwalimu amesema hayo Aprili 22, 2024 kwenye uzinduzi wa Maadhimisho ya Dozi moja...
  20. Urusi yasema Chanjo za Saratani ziko tayari kutolewa ndani ya miaka mitatu

    Vizuizi vingi vilivyosalia vinaonekana kuwa vya kisheria, kulingana na Vasily Lazarev wa Wakala wa Tiba na Biolojia ya Kimedikali ya Urusi. Watafiti wa matibabu wa Urusi wanaweza kuwa na uwezo wa kutumia chanjo za kansa ndani ya miaka michache ijayo, ikizingatiwa ufadhili wa kutosha na msaada...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…