chanjo

Chanjo (kutoka kitenzi "kuchanja"; kwa Kiingereza "vaccine") ni dawa ya kibiolojia ambayo inajenga kingamwili dhidi ya ugonjwa fulani.

Dawa ya chanjo huwa na sehemu za vidubini vinavyosababisha ugonjwa fulani. Dawa hutolewa kutoka katika kidubini kilicho hai au kilichokuwa hai. Sehemu zinazotumiwa kwa dawa haziwezi kusababisha ugonjwa lakini zinatambuliwa na mmfumo wa kinga mwilini.

Mara dawa ya chanjo inaingizwa katika mwili, mfumo wa kinga unaanza kutegeneza fingomwili dhidi ya ugojwa huo.

Chanjo ni njia bora zaidi kuzuia magonjwa ya kuambukiza. Kinga inayoenea kutokana na chanjo kwa kiasi kikubwa inawezesha kuepukana na kifua kikuu duniani na kizuizi cha magonjwa kama vile polio, pepopunda, tetekuwanga kutoka duniani kote. Hata hivi karibuni kumekuwa na mlipuko wa ugonjwa wa COVID-19 kuna chanjo zilitengenezwa na kuukabili

Tunashauriwa na wataalamu wa afya na wanasayansi wa kimataifa kuwapa watoto wadogo chanjo ili iwakinge dhidi ya magonjwa na maradhi mabaya. Kinga ni bora kuliko tiba.
  1. Jasusi Mbobezi

    #COVID19 Polepole aweka msimamo wake wa kutochanjwa

    Kupitia ukurasa wake rasmi wa Facebook, alipokuwa akiongelea kuhusiana na muziki wa Singeli, sentensi yake ya mwisho ilikuwa ni kutoa msimamo wake kuhusu chanjo, amesema chanjo ni hiyari na yeye hatachanja. Huyu ndiye Polepole ninayemfahamu, Mungu akujalie ufike mbali, kile kiti kinakufaa kabisa.
  2. N

    #COVID19 Viongozi wa CHADEMA wanahamasisha chanjo ya Corona ila hatuwaoni wakichanjwa

    Ndugu zangu Watanzania. Wakati Bwana Yesu yuko duniani aliwaeleza wafuasi wake kuwa Mafarisayo wameketi kwenye kiti cha Nabii Musa. Wasikilize maneno yao ila wasienende kwa mfano wa Matendo yao. Leo hii maneno hayo yanatimia kwa Viongozi wa Chadema. Wamekuwa wakihamasisha sana juu ya chanjo...
  3. Elisha Sarikiel

    #COVID19 Maoni au ushauri baada ya kuchanjwa Chanjo ya Uviko-19 kama shuhuda! Umepata changamoto ?

    Binafsi nimepata chanjo ya uviko-19 nchini Tanzania; lakini sijapata mpaka sasa maudhi madogo wala makubwa na hivyo namshukuru Mwenyezi Mungu kuniepusha changamoto walizopata wenzangu wachache nchini Tanzania. Je, nini maoni au ushauri baada ya kuchanjwa Chanjo ya Uviko-19 kama shuhuda ! Umepata...
  4. MR TOXIC

    #COVID19 Afisa Elimu Mkoa wa Arusha na Muuguzi waliofanya maigizo ya chanjo wasimamishwe kazi mara moja

    Sitaki kutia neno, Jionee mwenyewe na uchukue hatua. UPDATE: 06 August, 2021 Waziri wa OR-TAMISEMI, Ummy Mwalimu amemuagiza Katibu Mkuu OR-TAMISEMI kumsimamisha kazi Mwalimu Omary Abdallahemed Kwesiga ambaye ni Mkuu wa Idara ya Elimu ya Msingi Halmashauri ya Jiji la Arusha. Aidha...
  5. Pascal Mayalla

    #COVID19 Baada ya Kukubali Chanjo, na Rais Samia Kuchanja, Kiongozi yeyote anayepinga Chanjo hadharani ni 'Insubordination' na usaliti

    Wanabodi, Hii ni mada mwendelezo wa mada hii ya wiki iliyopita Kwa vile zoezi la chanjo ya Uviko linaendelea, Kwa Maslahi ya Taifa inaendelea kujikita kwenye chanjo, leo nikiangazia hoja ya uhiari wa Chanjo. Japo chanjo ni hiari, hiari ya chanjo ni hiari ya consent kama ilivyo kwenye...
  6. matunduizi

    #COVID19 Kabla ya chanjo jitafakari kwanza, usikurupuke kisiasa

    Ukichanjwa bado unaweza kuambukizwa, kwa Mujibu wa ushahidi sehemu mbalimbali duniani. Bado itabidi uendelee kujilinda na amshambulizi ya vijidudu hivyo kama yule ambaye hajachanjwa. Leo covid 21 tunaiita Delta, akibadilika akija mwingine labda Covid Dec 21 siamini kama kinga itamtambua...
  7. T

    #COVID19 Kirusi kipya aina ya Lambda chagundulika huko Peru, chanjo haziwezi kukizuia

    Taarifa mpya ni kwamba, kirusi cha Covid 19 ambacho kinajibadili ama mutate kila siku kimekuja na aina mpya ya kirusi kinaitwa Lambda. Lambda imegundulika huko nchini Peru. Kirusi cha Lambda kimeonyesha kua hizi chanjo zilizopo haziwezi kukizuia, kiko resistance dhidi ya chanjo zilizopo...
  8. TODAYS

    Polepole awataka wataalam wa ndani wavumbue chanjo ya UVIKO

    Ukiachilia mbali kuwa mfuasi wa katiba pendekezwa, Humphrey Polepole ameamua kuvunja ukimya kupitia ukurasa wake wa Instagram kwa maneno haya yaliyo katika tafsida... Unadhani ameongea maneno hayo kwa dhumuni au lengo gani?.
  9. Khadija Mtalame

    #COVID19 Ukichanjwa siyo kwamba hutougua, bado utaugua na kifo hakikwepeki

    Habari wanajukwaa; Napenda kutoa ufafanuzi kidogo kwamba Chanjo iliyoanza kutolewa Ni covid viral living matter ambae anawekwa kwenye mwili wa binadamu Kupambana na viral aliepo mwilini, Hivyo ,ukidungwa chanjo hiyo,ikakutana na viral aliepo mwilini tayari ana nguvu hapo ndo utasikia,kwamba...
  10. T

    #COVID19 WHO yatoa rai kwa mataifa kusitisha utoaji wa chanjo za nyongeza kwa raia wake

    Mkurugenzi wa WHO ameziomba nchi tajiri kusitisha kutoa chanjo ya 3 ama booster ya Covid 19 hadi angalau mwezi October 2021 ili kutoa nafasi kwa nchi masikini angalau kuchanja 10% ya watu wao. Nchi tajiri zimeanza mpango wa kutoa chanjo ya 3 ama ya pili maarufu kama booster shots ili kuzipa...
Back
Top Bottom