Karibia kila mmoja wetu amewahi kuchoma chanjo ya kujikinga na ugonjwa fulani hasa alipokuwa mtoto. Chanjo za watoto kama chanjo ya kifua kikuu, polio, pepopunda na surua kwa kiasi fulani zimekuwa na mwitikio mkubwa kutokana na kampeni zinazofanywa na serikali na wadau wa afya kuhakikisha kila...