channel ten

Ten is a Spanish free-to-air television channel run by Central Broadcaster Media, belongs to Grupo Secuoya.

View More On Wikipedia.org
  1. Channel Ten plus mna matatizo gani?

    Hello guys!! Yani naomba niweke wazi mimi sichukii dini ya mwengine lakini kwa hili la channel ten plus you guys sjui mlifikiria nini. Kunaye huyo mchungaji ni anaoga tope anagara gara, anaoga vumbi, anaoga maji ya kwenye pipa na suti yake, mnaomiliki hii channel mlifikiria kama kuna sisi...
  2. M

    The Urgent need for action regarding the sand mining situation at Mbezi Beach A River Att- (Hon. Jerry Slaa, DC Kinondoni, TANROAD, PCCB , TPF, NEMC)

    Dear concerned parties Settlers along the Mbezi Beach A river are facing a significant challenge posed by unauthorized sand extraction and corrupt practices within the contracting process. The reported actions of the contractor from Tanroad are indeed alarming, with allegations of...
  3. Channel Ten yamlilia Mwandishi wao aliyefariki katika ajali ya Gari iliyoua Waandishi wa Habari Wawili Mkoani Pwani

    Waandishi wa habari wawili kutoka mkoa wa Lindi wamefariki Dunia baada ya gari waliyokuwa wakisafiria kutoka Dar es Salaam kwenda Lindi kupata ajali majira ya saa 7 za usiku wa kuamkia March 26, 2024 eneo la Nyamwage mkoa wa kipolisi Rufiji, mkoani Pwani. Waandishi waliofariki ni Abdallah Nanda...
  4. Kipindi cha TV, Kutoa Elimu ya Katiba, Sheria na Haki, Kuanza Jumapili Hii Kupita Channel Ten

    Wanabodi Nijitambulishe tena na tena, kuwa japo mimi Paskali Mayalla, ni mwandishi tuu wa Habari wa kujitegemea kwa kujitolea, na mtangazaji wa kujitegemea kwa kujitolea, na kwa sasa mimi pia ni mwanasheria na wakili wa kujitegemea kwa kujitolea, hivyo kupitia uzoefu wangu wa utangazaji...
  5. Waziri Mkuu Majaliwa aahidi kuwasomesha Watoto wa Abdulaziz Ahmeid, Mwandishi wa Habari wa Channel Ten aliyefariki

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa ameahidi kuendelea kuwasomesha Watoto wa aliyekuwa mwandishi wa Habari wa Channel Ten, Abdul -Aziz Ahmed ambaye amefariki Dunia Machi 13, 2023 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili. Majaliwa ametoa ahadi hiyo wakati wa ibada ya...
  6. Rostam Aziz alivyoihonga CCM Channel Ten kumnusuru mdogo wake asifungwe na Hayati Magufuli

    2017 Hayati JPM anaunda timu kuhakiki mali za Chama cha mapinduzi chini ya Bashiru Ally Kakurwa. Kunagundulika matatizo katika hisa za CCM na Rostam ndani ya African Media Group. Wamiliki wa Chanel 10 na magic Fm Rostam anapigwa mkwara anakomaa. 2018 Toyota landcruiser iliyotumiwa na Nape...
  7. Je, ni sahihi kwa DSTV kuziweka ITV, EATV, Clouds TV na Channel Ten kwenye chaneli za kulipia?

    Huenda mimi ndio sielewi basi nielimishwe, lakini kwa upeo wangu mdogo ninavyojua mimi hizo channel ITV, eatv, clouds na channel ten ni FTA channels sasa inakuwaje kifurushi cha Dstv kikiishia wanakuachia Tbc peke yake? Mimi nina king'amuzi pia cha Star times hawa air time ikikuishia free...
  8. Baada ya Ryoba Kupigwa Mawe TBC, Shabani Kisu aibukia Channel Ten na Kipindi Kipya

    Wakati wa late Presida JPM ilionekana kuwepo tabia ya kusifu, kuabudu nk na baadhi ilionekana wanafanya kwa hofu au kujipendekeza kwa mkulu. Pamoja na madudu yaliyotokea pale TBC, ndugu Ryoba anaendelea kupigwa mawe kwa kuonekana alikuwa akiendesha kipindi kumsifia mbendembende late JPM...
  9. P

    Nini kipo nyuma ya Channel Ten na matamko ya BAVICHA?

    Sio utamaduni wa chombo cha utangazaji cha Chanel Ten kutangaza habari za vyama vya upinzani nchini. Tangu wiki lililopita wamekuwa wakitangaza taarifa za Chadema wakidai wao ni wanachama wa chadema bile kujitaja wadhifa wao kichama. Pia najiuliza juhudi ya channel Ten kuwa mstari wa mbele...
  10. Channel Ten ilikuwa Mali ya CCM kuanzia lini?

    Wakati wa Magufuli ..siku moja alienda kutembelea Mali za chama akaenda kutembelea kituo maarufu cha TV cha Channel ten. Ndo tukatangaziwa kuwa na chenyewe ni Mali ya Chama Cha Mapinduzi... Wanaojua historia ya channel ten na kampuni iliyokuwa inamiliki hiyo channel ya African Media...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…