Channel Ten Maktaba: Historia ya African Association 1929, TANU 1954 hadi CCM 1977

Channel Ten Maktaba: Historia ya African Association 1929, TANU 1954 hadi CCM 1977

CHANNEL TEN MAKTABA: HISTORIA YA AFRICAN ASSOCIATION 1929 HADI CCM 1977

Hiyo video hapo juu ni yangu tukipasha kabla ya wapiga picha wa Channel Ten kuanza kurekodi kipindi.

Channel Ten ni Stesheni ya Televisheni ya Chama Cha Mapinduzi.

Leo asubuhi Channel Ten ilifika Maktaba kutaka kuisoma historia ya uhuru wa Tanganyika kuanzia African Association mwaka wa 1929 hadi kuundwa kwa TANU 1954 na kuasisiwa kwa CCM mwaka wa 1977.

Hii ni historia ya masafa marefu yanayogusa wazalendo wengi ambao mtangazaji Emmanuel Mwakapotela anasema hakupatapo kusomeshwa shule.

Kipindi hiki kitarushwa kesho tarehe 5 February kama kumbukumbu ya kuasisiwa kwa chama hicho miaka 49 iliyopita.

1770227361046.png
1770227383476.png

Picha kwa hisani ya Channel Ten
 
Back
Top Bottom