chanzo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. SoC03 Chanzo cha malalamiko juu ya mfumo wa kodi, suluhu ni lipi ili kuhamasisha walipa kodi

    UTANGULIZI Kodi ni muhimu kwa kila mwananchi, kwa maana hutoweza kuiwajibisha serikali kama hulipi kodi. Pia ni muhimu kulipa kodi ili kupata huduma bora kama elimu, ulinzi, afya na miundombinu. Mbali na umuhimu wa kulipa kodi, Tanzania imekua ikikumbwa na malalamiko juu ya juu ya sheria tofauti...
  2. Fahamu kuhusu "Operesheni Acoustic Kitty" jinsi CIA ilivyotaka kutumia Paka kama chanzo cha taarifa kutoka Soviet

    Miaka ya 1960 Shirikia la Ujasusi la Marekani lilikuww linapambana na Urusi katika vita baridi. Katika kipindi hiko Marekani ilianzisha program na miradi mbalimbali dhidi ya kupambana na Ujamaa ulioanza kuenea sehemu mbalimbali za Dunia. Kule Langley, Virginia yalipo makao makuu ya CIA walikuwa...
  3. Dini ni Chanzo cha watu kunyanyasika kwenye ndoa

    Habari za wakati huu mwana jamii. Polee kwa majukumu ya kila siku ya kutafuta mkate kwa ajili ya familia yako. Matumaini yangu kuwa wewe unayesoma umzima wa Afya. Niende kwenye mada. Katina ulimwengu huu tuishio, yapo mpokeo ambayo yamekuwepo toka enzi na enzi. Mapokeo haya yanaweza kuwa ya...
  4. M

    Umwinyi na Usultani wa CCM ndio chanzo cha Balozi Ali Karume kubwatuka ukweli mchungu kawa Rais Mwinyi

    Katibu wa Idara ya Itikadi na Uenezi ya Chama Cha Mapinduzi Zanzibar, Khamis Mbeto amesema tayari chama hicho kupitia tawi la CCM Mwera kimemuita mwanachama wake, Balozi Ali Karume kwa mahojiano kuhusiana na kauli zake dhidi ya baadhi ya masuala ya chama hicho. Chanzo: Azam TV === Kila mtu...
  5. S

    Mafisadi ndiyo chanzo cha chuki dhidi ya mawaziri wa wizara ya Nishati

    Makamba jr siyo waziri wa kwanza ktk wizara ya nishati kuundiwa zengwe na mafisadi. Mafisadi ya nchi hii yamekuwa yakiparurana na kila waziri wa wizara hii. Hiki ndiyo chanzo cha kelele zote hizi dhidi ya Makamba jr, waziri wa nishati wa sasa. Mpk wabunge wamo ktk Mkumbo huu. Eti wanasusia...
  6. R

    Kashfa za wizi na ufisadi zazidi kumuandama Mbunge Luhaga Mpina

    Baadhi ya wavuvi waliochomewa nyavu zao wakati Mpina akiwa Waziri wa Mifugo na Uvuvi wameomba achukuliwe hatua na kuwalipa fidia. Wakati hilo likiendelea baadhi wametaka CCM isimpe tena nafasi ya kugombea Ubunge mwaka 2025 baada ya kushiriki kupora ardhi zaidi ya hekari elfu moja na...
  7. SoC03 Inaelezwa kwamba Mbali na Mtaala Mbovu, Ajira za Kujuana ni chanzo kingine cha Elimu Mbovu Nchini

    I. Utangulizi Elimu ni nguzo muhimu katika maendeleo ya taifa lolote, na taasisi za juu za elimu zina jukumu kubwa katika kutoa elimu bora na kuandaa wahitimu wenye ujuzi na uwezo wa kuchangia katika maendeleo ya nchi. Hata hivyo, nchini Tanzania, mbali na mtaala mbovu unaohitaji kuboreshwa...
  8. P

    SoC03 Katiba Bora ndio chanzo cha Utawala Bora na Uwajibikaji katika Taifa

    Katiba bora ina jukumu muhimu katika kuleta utawala bora na uwajibikaji katika Taifa lolote. Hapa chini ni baadhi ya manufaa tunayopata kupitia Katiba bora Kugawanya madaraka: Katiba bora inakuwa na mfumo wa kugawanya madaraka ulio wazi na uliobainishwa vizuri. Inathibitisha mamlaka na...
  9. Madeni yasikufanye ujiue au kujivua utu, vumilia yatapita tu

    Nawasalimu sana ndg zangu, ningependa kushea nanyi mawili matatu yanayohusiana na maisha na kwanini hupaswi kuukatisha uhai wako kisa madeni, 1. Mimi ni mwajiriwa niliyekata tamaa na maisha kutokana na changamoto za maisha nazopitia kwani hata kula yangu shida na kuvaa ndio usiseme, nina...
  10. Case study: Tangu nikiwa mdogo ni kawaida kukuta watoto wa kikristo wana malezi ya wazazi wote ila kwa waislam ni mama tu, nini chanzo?

    Walengwa ni watoto ambao wazazi wao walifunga ndoa, Ukweli familia nyingi za kiislamu watoto kukua na mama bila baba kuwa karibu ni kawaida sana Nilianza kuyaona haya nilipofika darasa la tano, nakumbuka nikiwa naenda kwenye nyumba ya rafiki yangu wa kiislam kwenda kucheza game namkuta mama...
  11. Chanzo cha matatizo ya Kodi ni 'Bunge' lakini watu wengi hawaoni

    Tatizo ni Bunge kutunga sheria mbovu za kodi. Lkn lenyewe limekaa kimya kama halihusiki. Na wadau nao wamekaa kimya hata hawajadili. Pale Naibu Speaker alipaswa kupopolewa mno lkn aaahhh wapi
  12. Case Study: Ni nadra sana kukuta kijana wa kiislam hajaoa lakini inazidi kuwa kawaida kumkuta kijana wa kikristo anakwepa ndoa, Nini chanzo ?

    Na hapa nazungumzia hasa vijana wa chini ya miaka 30 ambao ni umri uliozoeleka kwa kijana kuoa na kupata mtoto ndani ya ndoa. Nikiangalia niliohitimu nao chuo degree, rika letu kwa sasa ni miaka 32 hadi 33, vijana wote wa kiislam walishaoa mapema kabla hawajavuka miaka 28, huku kwa wakristo...
  13. A

    SoC03 Andiko kuhusiana na suala zima la matumizi ya chanzo mbadala cha Nishati

    Suala la nishati ni muhimu sana katika maendeleo ya nchi na ustawi wa wananchi. Hata hivyo, nishati ya mafuta na gesi imekuwa ikileta changamoto kubwa katika suala la mazingira na afya ya binadamu. Kuna haja ya kuangalia chanzo mbadala cha nishati ambacho kitakuwa salama kwa mazingira na afya ya...
  14. Chanzo cha kushuka thamani kwa pesa ya South Africa, Rand kwa cent zaidi ya 30 dhidi ya USD$

    Balozi wa Marekani nchini Afrika Kusini Reuben Brigety alisema siku ya Alhamisi Tarehe 11 May 2023 kuwa ana uhakika kwamba meli ya Urusi chini ya vikwazo vya Marekani ilichukua silaha kutoka kambi ya Simon's Town mwezi Disemba, akipendekeza uhamisho huo hauendani na msimamo wa Pretoria wa...
  15. Wafanyabiashara: Chanzo la tatizo Kariakoo ni Kitengo cha Forodha Bandarini, Mawaziri hawamsaidii Rais

    Naibu Katibu Mkuu Jumuiya ya Wafanyabiashara wa Mkoa wa Dar es Salaam, Muliro amesema: “Changamoto ya Kariakoo chanzo ni Bandarini kwenye kitengo cha Forodha, pale mifumo ya kodi si rafiki, ukitaja thamani ya kodi halisi hauwezi kutoa mzigo. Kinachofuata unashirikiana na makamishna wa Forodha...
  16. Mwanamke ni chanzo cha wanaume kufa mapema? Ona utafiti huu wa Afrika Kusini

    Habari wadau! Ninaomba wataalamu mtusaidie hapa hasa wa sociology, psychology, na wale by experience hivi kwanini 1. Wasomi WENGI wanakufa kwa pressure, BP, sukari , pumu n.k. Sisi wengine tuna KUFA kwa kuhara, malaria, typhoid, hukosa Choo n.k? 2. Wanaume waliooa mwanamke mmoja wanakufa...
  17. Mahojiano ya mwisho ya Membe akieleza sababu za kutoelewana na Magufuli

    Waziri wa zamani wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe (68), hatimaye amefichua mambo yaliyomfanya asielewane na aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano, Dk. John Magufuli. Membe ambaye ni mmoja wa mashushusu hodari nchini, amesema Rais Magufuli, pamoja na mambo mengine, alimfitini...
  18. SoC03 Njia duni za utunzaji wa fedha ndio chanzo cha umaskini kwenye jamii zetu. Tuziepuke!

    Habari, Watanzania wengi ni watu wenye vipato vyenye kukidhi mahitaji madogo madogo ya kila siku. Kwa kuzingatia hilo kumekuwa na harakati mbalimbali za kupambana na hali duni za maisha kwaajili ya kutafuta kipato cha uhakika kitakacho wafanya waishi maisha mazuri. Zifuatazo ni njia duni...
  19. M

    Kipi chanzo cha Ugomvi wa Shetani na Mwanadamu

    Napenda kukalibisha uchangiaji wa maada,ili watu wapate kujua,kutokana na ukubwa wa elimu za Dini tofauti Sipendi michango ya matusi au kukashifu Dini ya mwingine,kwani naamini hakuna Dini au dhehebu linalofundisha waumini wake matusi
  20. Gharama kubwa za uchapishaji wa stika za vinywaji za TRA chanzo bei kubwa za vinywaji nchini

    Wazalishaji wa vinywaji vikali na baridi Tanzania wanalipa zaidi ya shilingi bilioni 100 kwa mwaka kwa hizi stempu. Kampuni inayolipwa ni kutoka Ulaya (Uswisi) inaitwa SICPA. Hizi gharama ni kubwa ukilinganisha na nchi majirani, mfano Zambia ni robo ya hii bei. TRA wameshauriwa sana kwamba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…