Habari wakuu zangu,
Kuna msemo unasema "Jela hakuna mateso ila wanao leta mateso jela ni wajelajela wenyewe."
Hivyo hivyo duniani ni mahala salama, pana maji, vyakula ardhi nzuri, na vyote Mungu alitoa bure. Yaani ule bure, unywe bure, ujenge popote bure, uwinde bure, uvue samaki was baharini...
Nipo Saudi Arabia. Nchi ya kiislamu ambayo ndipo ndugu zetu waislam wanakuja kutimiza moja ya nguzo kuu za uislamu.
Habari ya mji hapa ni mji wa kisasa wa kiteknolojia na starehe unaojengwa kutokana na mawazo ya Prince Mohammed Bin Salman ambaye hapa Saudi yeye ndo Crown Prince yaani Mkuu wa...
Akiwasilisha Muswada wa Bima ya Afya kwa Wote Bungeni baada ya kukwama mara mbili, Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema baada ya Serikali kutakiwa kueleza chanzo cha Fedha zitakazoendesha Bima ya Afya kwa Wote, Wizara ya Fedha imeridhia kuhamisha baadhi ya Kodi na Tozo kwenda kwenye mfuko huo...
George Soros yule mzee wa Kiyahudi ambaye ndiye mmiliki wa open society amefunga na kuondoa funding kwenye Open Society jambo lililopeleka ofisi nyingi ikiwemo ya Nairobi kufungwa, kwa wasiomfahamu George Soros ndiye mdhamini wa mapinduzi Duniani kote kuanzia color revolution North Afrika mpaka...
Kuna kitu kinanishangaza sana bora leo nikiseme wengine wakupatie majibu.
Kila nikikutana na viongozi na wanachama wa CCM hawasiti kuomba omba fedha na hawajishughulishi kutafuta fedha au kufanya kazi.
Ni nini vyanzo vya mapato vya watu hao!!
Je familia zao wanazihudumia vipi?
Nyie mnaonaje? Baba wa imani huyu kizazi chake kimekuwa ni moto mkali sana duniani. Mpaka leo unaona kabisa dunia nzima kwa anaefahamu huu mgogoro ni either atakuwa timu mke mkubwa au mke mdogo.
Sasa je, Ibrahim kaleta baraka au kaleta balaa duniani?
Ni kwamba hizi biashara zinalipa sana au Ni kwa sababu vijana wetu wengi hawana shughuli mjini...?
Ni kwa sababu Hatuna njia nyingine ya kufikiri kujikimu kwa mahitaji yetu ya kila siku..?
Au ni kwa sababu ya Kuongezeka kwa Gharama za maisha?
Ushauri jinsi ya kujinasua au kuzifanya shughuli...
Vidonda vya tumbo ni michubuko inayotokea kwenye kuta za mfumo wa chakula, hasa kwenye sehemu ya tumbo au pia sehemu ya kwanza ya utumbo mdogo.
Ukubwa wa vidonda hivi hutofautiana, kuanzia millimita chache hadi sentimita kadhaa.
Dalili za ugonjwa huu mara nyingi hutegemea umri pamoja na eneo...
Mwanaume unaweza kusex na mwanamke mwenye weusi kati kati ya mapaja (dark inner thighs)?
Kama unaweza basi jua wewe ni jasiri ambae unaweza hata kutafuna jongoo.
Binafsi siwezi kabisa labda kwa mkwassa (bastola) mbaya zaidi awe pia na stretch marks kwenye mapaja coz nitamuacha right away...
.Mradi wa Helium Tanzania:
Chanzo, Utafiti, Faida, na Mwelekeo wa Baadaye.
Utangulizi:
Helium, gesi adimu isiyoweza kuchoma, isiyo na harufu, isiyoonekana, na isiyo na ladha, imekuwa ikipata umaarufu katika sayansi na viwanda kwa zaidi ya karne moja. Lakini, je, wewe unajua kwanini gesi hii...
Hivi karibuni kumekuwa na lindi la wanawake katika maeneo mabalimbali mpk katika mitandao hii ya kijamii kufanya MIILI YAO kama BIASHARA ikifika kipindi hiki nakumbuka tangu mwenyezi Mungu alivyoumba ulimwengu nakumfanya hawa kama msaidizi tangu alivyoingia katika kishawishi kudanganywa na...
Mgodi wa North Mara, moja kati ya migodi miwili inayomilikiwa na kampuni ya uchimbaji madini ya Barrick Gold nchini Tanzania, umekadiriwa kupoteza kati ya Dola za Kimarekani milioni 11.6 na Dola za Kimarekani milioni 31.65, kwa mwaka, kutokana na vitendo vya kihalifu vinavyoendeshwa na mtandao...
Aliyekuwa Afisa Usimamizi wa Fedha Mkuu Daraja la Kwanza wa Kitengo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP), Profesa Handely Mwafwenga amefariki dunia usiku wa kuamkia leo.
Mwafwenga aliyekuwa na elimu ya digrii saba na shahada tatu za uzamivu (PhD) amefariki dunia usiku wa...
Hii ndiyo nadharia inayosemwa inatakiwa kukubaliwa na kila binadamu na ndiyo nadharia inayoitwa na baadhi ya watu kuwa ni kamilifu na timilifu.
Kuwa hakuna ajue wewe binadamu umetokea wapi na kwa nini upo ivo ulivo. Kuwa Binadamu hana kusudio lolote lile la kuwepo kwake duniani.
Na haileweki...
Tumeona Naibu waziri mkuu, Mh Dotto Biteko akifanya ziara katika Bwawa la Mwalimu Nyerere na Kutoa ushauri jinsi ya kuziba nyufa zilizoanza kuonekana kwenye ukuta wa Bwawa.
Haiwezekani kuacha jambo hili lipite hivi hivi bila kufanyika uchunguzi na kuchukua hatua Kali dhidi ya wahusika wote...
Kuna dhana kwamba Biblia imejaa hadithi za kutungwa. Wasemaji wa utungaji huo wa hadithi za Biblia ni wale wapinzani wa yaliyomo hasa dhana na nadharia kwamba kuna MUNGU.
Lakini utungaji wa Biblia ulianza lini?
Hadithi za Biblia zilitungwa na kina nani na jee majina yao yanajulikana?
Watunzi...
Mafuriko makubwa yamesababisha vifo vya maelfu ya watu katika mji wa Derna, mashariki mwa Libya, na kusomba baharini vitongoji na wakazi wengi huku maelfu ya watu wakiwa hawajulikani walipo.
Chanzo cha mafuriko
Baada ya kuzipiga nchi nyingine za Mediterania, Dhoruba kali inayofahamika kwa jina...
Nasikia mto Ruvu unaanzia mbali huko, ninaomba nipate elimu ya mto huu. Kwamba maeneo unayopita tofauti ni majina mto ni ule ule. Msaada wajuzi wa mambo.
Katka picha
Mimi ni muumini wa kanisa la KKKT, sasa Kuna Shida Moja inanisumbuaga Kanisani ni pale Mchungaji anakuwa anahubiri mara ghafla anakwambia mgeukie mwenzako au Mshike mkono Mwenzako.
Yaani unageuka unakutana na mdada mzuri mweupee ana shepu pale pale unahama Kanisani. Tena akiwa na yeye yupo...
Siku hizi kumekuwa na teuzi nyingi ambazo hazionyeshi, kuwa zimetokana na uwezo au weledi wa aliyeteuliwa. Chanzo kikuu kikiwa ni katiba inamruhusu mteuzi kufanya huo uteuzi, na matokeo yake tunaona kwamba mifumo ya utendaji na kauli za baadhi au wengi ya viongozi hao kuwa ni za magomvi na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.