Heshima kwenu wakuu.
Kuna mama /dada ni mjamzito. Sio ujauzito wake wa mara ya kwanza.
Anapitia changamoto hizi.
★Tumbo kuuma chini ya kitovu, linauma baadae linaachia lenyewe na kujirudia rudia.
★ Kichwa kuuma mara kwa mara.
★ Kuhisi baridi sana mara kwa mara.
★ Kuhisi kizunguzungu...
Kwa kweli tunawashukuru sana wale wote waliojitolea kwa hali na mali kusaidia wahanga wa Hanang , na tunachukua nafasi hii kuwaombea kwa Mwenyezi Mungu ili awajazie pale palipopungua, Amina.
Hata hivyo ni vizuri tukafahamu huko ilikotokea misaada hii , wala haijawahi kuwa dhambi kufahamu chanzo...
✔️Yasema watanzania wanataka kuona Treni ya Kisasa inafanya kazi
✔️Vituo vya gesi kuboreshwa ili kuongeza uzalishaji
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti imesema Watanzania wanataka kuona Treni ya Kisasa (SGR) inaanza kufanya kazi kwa maslahi mapana ya nchi yetu.
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu...
CWT ilianza kupata mapengo muda mrefu hata kabla ya katibu Japhet Maganga.
Kwa Japhet Yeye anaamini wanaomuhujumu ni viongozi waliopita, hasa katibu. Wapo wanaoamini siasa ya CWT inaathiri sana siasa za vyama vya siasa.
Binafsi sioni kabisa hata ushawishi ilionao CWT kwa walimu. Wanachama wake...
Dalali ni nani? Watu wengi katika kupata ardhi zao au nyumba za kupangisha wametumia watu wanaoitwa madalali. Tunafahamu kwa uchache juu ya shughuli zao wanazofanya kila siku.
Dalali ni mtu wa kati anayewaunganisha mteja na mwenye mali kwa kupata ujira unaotokana na kuwakutanisha pande mbili...
Wasalam,
Watanzania wengi tumekuwa na tabia ya kudharau pesa ndogo ndogo tuzipatazo. Chukulia mtu anaingiza ujira wa 10,000 kwa siku anakula na kutumia yote bila kusave chochote. Just imagine kama angesevu hata 3,000 kila siku kwa mwezi angeweza hata nunua mfuko wa mbolea kutosha kuanzia kulima...
SERIKALI imesema kumeguka kwa sehemu ya Mlima Hanang ambao ilikuwa una miamba dhoofu iliyonyonya maji ndio chanzo cha maporomoko yaliyoleta maafa katika eneo hilo la Hanang mkoani Manyara.
Maporomoko hayo ya matope yamesababisha vifo vya watu 65 na majeruhi zaidi ya 100 huku mamia ya wanachi...
Kamishna wa Polisi, Kamisheni ya Uchunguzi wa Kisayansi, Shaban Hiki, amesema licha ya Ofisi ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali kufanyia kazi kwa wakati sampuli inazozipokea, wataalamu na askari wa upelelezi huchelewa hadi mwaka kuzichukua na kuchelewesha haki kutendeka.
Amesema licha ya...
Hili swali kila siku najiuliza sipati majibu sahihi. Utajiri wa mababu zetu umeenda wapi? Uhakika ni kwamba walifanya kazi na walikuwa na mali za kutosha lakini kwa sasa hazionekani tena.
Huu ndio Ukweli unaofichwa , huyu aliyepo hana uwezo wa kupambana Jukwaani (Chama chake kinajua) , hata hivyo alishawahi kukiri mwenyewe hadharani , ikaandikwa na gazeti la Chama chake , ili kuondoa Taharuki ikakanushwa , hata hivyo awali ni awali , na wala hakuna awali mbaya , sisi tumeshika...
Kwa mujibu wa taarifa ya Chuo Kikuu cha Hospitali ya Aga Khan cha jijini Nairobi, sababu mbili zimebainika kuwa chanzo cha ongezeko hilo na Moja wapo ni Watoto waliozaliwa na Maambukizi ambao sasa wamekuwa vijana au Watu wazima kujihusisha na Ngono bila kuchukua tahadhari.
Dkt. Adeel Shah...
Kwa muda mrefu sana nimekuwa nikifuatilia hali mbaya ya Foleni hasa nyakati za Jioni na Asubuhi, chanzo kikubwa cha Foleni kimekuwa ni utaratibu mbovu wa Trafiki kuongoza Magari ya upande mmoja kwa muda mrefu wakati mwingine hadi nusu saa Saa moja kwa upande mmoja.
Pia, Trafiki husimamisha...
Mara nyingi nimekuwa nikijiuliza inakuwaje mtumishi wa umma anaenda kukopa taasisi zenye riba kubwa na matapeli wakati anauwezo wa kukopa benk kama NMB na CRDB ambapo ni salama kwake. Kumbe chanzo ni nyie nyie serikali kupitia wakurugenzi na HRO, alafu kucha kutwa mnasimama majukwaani watumishi...
Salaam wana jukwaa!
Sina haja ya kueleza kwa kina yaliyowakuta wayahudi, lakini Vitabu vya historia—vya kisekula na kidini—vinaeleza wayahudi walifukuzwa na kuuawa maeneo mengi ya Asia na ulaya, mfano Uajemi, Uyunani, Roma, Hispania, Ufaransa, Urusi, Italia na hatimaye Ujerumani.
Nini...
Habari wapendwa,
Kuna hizi theories zinazoelezea chanzo cha Ulimwengu, kwa uelewa wangu hakuna hata moja inayoelezea kikamilifu chanzo cha huu Ulimwengu, bali nyingi zinaelezea modifications na evolution tu ya Ulimwengu ambapo katika kuelezea huko zinaweza zisiwe sahihi pia.
Tuziangalie kwanza...
Uraibu ni hali ambayo Ina patikana wakati ambao Roho au mwili, unataka mno kuwa na hisia fulani.
👉Kiasi Cha kuwa na matatizo kutekeleza shughuli fulani, mpaka upate hisia inayo lengwa.
Kwa miaka ya karibuni kumeibuka baadhi ya mifano ya uraibu, ambayo isipokemewa basi itapelekea kupotea kwa...
Waswahili wanasema ngoja inyeshe tuone panapovuja 🤣🤣🤣🤣🤣
Yaani mmakonde kaka nalo moyoniiii weeee mwisho wa siku kaona hataaa ngoja alitoe tu .
Kuna kipindi Kajala alikuwa karibu mno na body trainer Denzel , na ndicho kipindi hicho hicho penzi lake na Kajala lilivunjika bila kutupa sababu ya...
Katika maisha ya kiroho tuna Imani zetu, na pia katika uumbaji kila binadamu ana mwili, nafsi na roho vyote vina upekee katika mmoja mmoja.
Kadri maisha yanavyosonga ndivyo na mazuri yenye furaha na mabaya yenye makwazo pia yanaongezeka au kuzaliwa mapya au kufanyika kwa namna mbalimbali...
Waziri Mhagama: Muingiliano Mkubwa wa Binadamu na Wanyama Watajwa Chanzo cha Magonjwa
Imeelezwa kuwa mwingiliano mkubwa wa shughuli za kijamii na kiuchumi, mwenendo na mifumo ya maisha na mabadiliko ya hali ya hewa na tabianchi kumekuwa na ongezeko la magonjwa yanayoibuka kutokana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.