chanzo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Chanzo cha kuendelea kwa Umasikini na Ujinga ni CCM

    Umaskini wetu ambao mahala kwingine umetopea, ujinga tulionao unaosababisha maradhi kwa watanzania wengi chanzo chake ni CCM. Siku CCM ikiondoka madarakani, Umaskini utapungua, ujinga utakuwa kwa watu wachache na maradhi yatadhibitiwa.
  2. C

    Fikra duni ndio chanzo cha kupoteza ndoto za kijana?

    Inafahamika kwamba wazazi hasa wa Kiafrika huwa na mitazamo juu ya maisha ya watoto wao kuanzia elimu mpaka makuzi ya watoto wao ndio hutoa taswira ya maisha ya mtoto. Lakini kwa upande mwingine wazazi wengi wa Kiafrika hasa waliyokulia kwenye nyakati za ukimaliza shule utapata kazi, hawaamini...
  3. Nimekuja kugundua kwamba vita dhidi ya Uganda ilitengenezwa na Israel ili kumuondoa adui yao Idd Amin

    1 + 1 = 2, watanzania wengi tume focuss kwenye 2 kwamba Idd Amin alivamia Kagera na ndio chanzo, tunasahau kwamba Kuna 1 + 1 zilizosababisha ikawa hio 2 na hata ukienda Wikipedia nao hawajui chanzo kamili cha 1+1 kilichoanzisha vita ila ni wazi kabisa mtu aliefaidika kwa kupinduliwa Idd Amin...
  4. Nini hasa chanzo cha bei ya vyakula kupanda zaidi ya mara dufu (inflation)? Nini kifanyike kutunusuru na janga hili kubwa?

    Tunaambiwa kuwa mfumuko wa bei (inflation rate) nchini kwetu bado ni mdogo sana, ni chini ya asilimia 5%! Wao wanauita single digit inflation. Lakini kwa miezi ya hivi karibuni, bei za vyakula muhimu sokoni vimepanda kwa zaidi ya maradufu. Yaani mfumuko wa bei wa vyakula ni zaidi ya asilimia...
  5. Matatizo ya wanawake chanzo ni wanaume na matatizo ya wanaume chanzo ni wanawake

    Waungwana habari za muda, naamini tu salama na wazima wa afya, kama una changamoto pole na Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi na itapita. Nimeandaa post hii kama sehemu ya kusaidia vijana wa kiume na hata wakike pia ili waweze kuishi na wenza wao kwa amani. Nadhani kila mtu anajua kama bila...
  6. RIPOTI: Hii ndio sababu ya kifo cha Malkia Elizabeth II

    Cheti cha kifo cha Malkia Elizabeth II kimethibitisha kuwa alifariki kutokana na Uzee Septemba 8. Ikiwa ni ingizo la Rekodi za Kitaifa za Scotland, lililochapishwa leo, na kutiwa saini na mtoto wa Malkia, Princess Royal, ambaye alikuwa naye katika saa zake 24 za mwisho. Kifo cha marehemu Queen...
  7. Bakteria Sugu kwa Dawa watajwa kuwa chanzo kingine hatari cha vifo Afrika, Tanzania ikiwemo

    Uchunguzi uliofanywa na Jumuiya ya Kiafrika ya Madawa ya Maabara (ASLM) imeonesha nchi 14 za Kusini mwa Jangwa la Sahara, Tanzania ikiwemo zinakabiliwa na hatari ya kuongezeka wagonjwa wenye vimelea wasiotibika kutokana na usugu wa dawa. Ripoti hiyo imebaini kuwa ni vimelea vitano tu kati ya 15...
  8. Ongezeko la wanaofanya mahubiri kwenye mabasi mijini. Nini chanzo?

  9. C

    Na nyie mnaamini wazazi ni chanzo kikuu cha panya road?

    Ni moja ya sababu lakini sababu kubwa ya kuwepo kwa panya road ni hali ngumu ya maisha, mfumuko wa bei, kukosa ajira na kunyimwa mazingira ya kujiajiri hasa 'umachinga'. Wanaokamatwa sasa hivi siyo watoto ni vijana wakubwa na wengine ni wababa kabisa, bado tu kuna sababu ya kuwatupia lawama...
  10. Pesa ni chanzo cha watu kuwa wavivu, pamoja na kutokuwa wazalishaji halisi; 'barter trade' irudi

    Pesa sio kipimio sahihi cha uzalishaji wa vitu. Chukulia mfano, mtu anaponda kokoto kwa kutumia mkono kwa siku 20 na kuweza kujaza tipa, na mwishowe analipwa laki 1; wakati huo huo mwingine ameudhuria kikao cha nusu saa tu, anapata laki 5; hii haiko sawa. Mkulima anatumia muda mwingi kwenye...
  11. SoC02 Mawazo biriani chanzo cha kuchelewesha maendeleo kwa vijana

    MAWAZO BIRIANI CHANZO CHA KUCHELEWESHA MAENDELEO KWA VIJANA Biriani ni kati ya chakula maarufu kinachotumia viungo vingi ili kuweza kukamilisha pishi lake na vinapo changanywa viungo vingi ndio utamu unaongezeka. Lakini katika maisha ya vijana ni tofauti, kupata maendeleo kwa kufanya vitu vingi...
  12. T

    SoC02 Matumizi mabaya ya mitandao ya kijamii, chanzo cha maovu na kupoteza uelekeo kwa vijana

    Habari ndugu mwana Jamii Forum, haswa wa Jukwaa la ‘Stories of Change’ ni matumaini yangu u mzima wa afya, karibu katika chapisho hili. Andiko hili litajikita katika kuelezea jinsi gani matumizi mabaya ya mitandao ya kijamii yameweza kuleta athari pamoja na matokeo hasi katika jamii zetu, bila...
  13. Chanzo cha Saratani Kanda ya Ziwa ni majitaka yenye Zebaki (Mercury)kutoka migodini siyo maji ya maiti!

    Binafsi napinga kauli ya makamu wa Rais kuhusu chanzo cha saratani kanda ya ziwa kuwa maji ya maiti yenye chloroform. Ni heavy metals pekee kama mercury, lead, zinc na nyinginezo ambazo zinaweza kukaa kwa muda mrefu kwenye maji na ardhini hadi kuyeyuka kwenye maji na kudhuru watumiaji wa maji...
  14. M

    Kiwango cha Uaminifu na Uadilifu kinazidi kupungua miongoni mwa Watanzania, chanzo ni nini?

    Tafakari mifano kadhaa ifuatayo na kisha tujadili nini chanzo cha kuporomoka kiwango cha uaminifu na uadilifu kwenye jamii yetu ya Kitanzania. 1) Umetuma fedha kwa njia ya simu kwa makosa, kwa watu watatu tofauti, halafu wapigie simu na uwajulishe kwamba umewatumia fedha kwenye simu zao kwa...
  15. N

    Matendo yangu ndiyo chanzo kikuu cha kukosa furaha na amani ya moyo, najuta

    Nawasalimu wana Jamiiforums. Kwa kulinda faragha yangu kuna baadhi ya taarifa zitazisema direct. Sehemu ya kwanza. Nilihitimu mwaka 2018 Diploma ya Ugavi na manunuzi CBE Tawi la Dodoma, kutokana na ugumu wa upatikanaji wa ajira, ndugu walinifanyia mpango wa kazi za viwandani mikoa ya kaskazini...
  16. Mtoto wa Jicho, Kisukari ni chanzo kikuu cha Upofu Kanda ya Ziwa

    James Shimba, Daktari Bingwa wa Macho kutoka Hospitali ya Rufaa Bugando amesema uchunguzi wao umebaini kuwa magonjwa ya Mtoto wa Jicho na Kisukari ndio chanzo kikuu cha Upofu kwa kwa Mikoa ya Kanda ya Ziwa. Shimba ameeleza kuwa Hospitali hiyo kwa mwezi inapokea Wagonjwa wa Macho zaidi ya 1000...
  17. Kukiri kwa Mwigulu kuhusu tozo, kuwa walifanya makosa kutukata mara mbili kutokana na chanzo kimoja, ni uthibitisho kuwa hatuna wabunge makini!

    Nilimsikiliza Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba, hapo jana Katika kile alichokiita ni kutoa ufafanuzi na kilio cha wananchi kuhusu tozo nyingi wanazokatwa kupitia miamala ya simu na sasa kupitia Benki. Katika maelezo yake alikiri wazi kuwa ni makosa kumkata mwananchi tozo, zaidi ya moja, Katika...
  18. Ripoti: Chanzo cha vifo vya watoto 21 waliofia Bar Afrika Kusini, ni kukosa hewa

    Ripoti ya Uchunguzi wa Sumu kuhusu chanzo cha vifo vya vijana 21 waliofariki dunia wakati wakinywa pombe eneo la #Tavern mwezi Juni, 2022 imeonesha kuwa walikosa hewa kutokana na msongamano wa watu. Mmiliki wa eneo lilipotokea tukio hilo anakabiliwa na mashtaka ya kukiuka sheria za Pombe za...
  19. S

    Ujerumani na Poland zaanza kutumia kuni kama chanzo cha nishati

    Aisee kumbe Dunia yaenda kasi hivi kwenye mhimili wake...Kweli nchi za Ulaya ikiwemo Germany (Ujerumani) zimefikia hatua ya kutumia kuni kama chanzo cha nishati?! Yaani wanapasua magogo ya kuni na kuziwasha/choma kama bibi yangu anavyofanya kule Lupembe, Njombe vijijini! Aisee ni jambo la...
  20. S

    Chanzo cha udhalilishaji katika jamii

    Utafiti binafsi nilioufanya umegundua kuwa chanzo cha ongezeko la kasi ya matendo ya udhalilishaji katika jamii ni jamii yenyewe inajidhalilisha. Hii nikwasababu wanajamii wenyewe katika zama hizi wamekua wakijidhalilisha katika nyanja tofauti tofauti ikiwemo mavazi. Jamii ya sasa imekua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…