chanzo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    Ulishawahi kunusurika kifo? Nini kilikuwa chanzo na njia gani ulitumia kujinisuru?

    Habari Watanzania! Leo nina stori ya kweli ambayo imetokea katika maisha nikiwa mkubwa hivi. Basi bwaana baada ya kumaliza masomo nilianza vijikazi vya hapa na pale kuendesha maisha yangu. Nilipigana kama miezi 5 bila mafanikio. Niliamua kwenda mwambao wa ziwa Victoria kuangalia fursa zingine...
  2. Komeo Lachuma

    Nikitizama mlima Kitonga naona pale pia tunaweza pata chanzo cha mapato

    Ndiyo, ule mlima kama serikali ikiangalia kwa umakini inaweza ikawa inatoza kiasi flani kwa kila gari inayopita pale. Kuna magari mengi sana yanapita pale kwa siku. Mengi sana, makubwa kwa madogo. Kule mwanzo kabisa wa mlima chini kungeweka gate. Magari madogo yalipie tsh. 1,000, size ya kati...
  3. J

    SoC02 Chanzo kipya cha ajira kwa vijana

    UTANGULIZI "Ajira kwa vijana" umekuwa ni wimbo wa Kila siku ambao watu kama wanasiasa na viongozi wengi wa serikali na wasio wa serikali(NGOs) wamekuwa wakiuimba Kila siku na mara nyingine viongozi wa kisiasa wamekuwa wakiuimba kama njia Yao nzuri ya kuwahadaa vijana na wazazi wa vijana hao Ili...
  4. Determinantor

    Nashauri daraja jipya la Wami liwe la kulipisha. Chanzo muafaka cha tozo/Mapato

    Kwakuwa tumedhamiria kukamua Kila Senti, kama ilivyo kwa Daraja la Kigamboni na lile la TanZanite, nashauri Mchungaji, Dr Mwigulu Nchemba aanzishe TOZO ya kupita Daraja kubwa, jipya, zuri la WAMI. MAGARI yanayopita pale ni mengi sana, itakua chanzo kizuri sana Cha Mapato. Nimemaliza, acha...
  5. Dr Adinan

    Vidonda Vya Kisukari: Fahamu Chanzo, Athari, Tiba na Kinga

    Madhara Ya Ugonjwa wa Kisukari na Namna Ya Kuepuka Vidonda kwa wagonjwa wa kisukari ni changamoto kubwa sana inayosababisha ulemavu unaotokana eidha kuwa kukatwa miguu au mikono. Haya yote yanaweza kudhibitika kama tahadhari itachukuliwa katika muda muafaka. Kabla ya kufahamu ufanye nini na...
  6. BARD AI

    UTAFITI: Mvurugiko wa homoni chanzo cha kukosa nguvu za kiume, hamu ya tendo

    Wataalamu wa afya wamesema tatizo la mvurugiko wa homoni ‘hormone imbalance’ ni chanzo kikubwa kwa mwanaume kukosa nguvu za kiume na mwanamke kutokuwa na hamu ya tendo la ndoa. Hata hivyo, wengi wamekuwa wakikimbilia kutumia dawa badala ya kuwaona wataalamu hali inayochangia kukuza tatizo na...
  7. Tukuza hospitality

    SoC02 Matumizi mabaya ya Rasilimali Asili ni Chanzo cha Mabadiliko ya Tabianchi

    Kwa mujibu wa taarifa ya Shirika la Mazingira Duniani [“UN Environment Progromme –UNEP”] (Juni, 2022), athari za ongezeko la nyuzijoto 1.1 ziko hapa leo na zinaongezeka kwa kasi, hivyo kusababisha matukio mabaya ya hali ya hewa, ikiwa ni pamoja na mawimbi ya joto, ukame, mafuriko, dhoruba za...
  8. I

    SoC02 Tatizo la afya ya akili chanzo cha ongezeko la vitendo tishio kwenye jamii

    Matatizo ya afya ya akili ni nini? Ni matatizo ya ubongo ambayo humfanya mtu kuwa na hisia, fikra, na matendo tofauti na yale yanayotarajiwa na jamii na kushindwa kukabiliana na changamoto za maisha. Afya ya akili inaweza kuathiri namna ya kufikiri,na pia inaathiri mfumo mzima wa namna ya...
  9. R

    Utekelezaji Ilani ya CCM umegeuka chanzo cha Umaskini, njaa na mateso Tanzania

    Wakuu mambo si mambo. Kila goti sasa litapigwa. Na kila neno lilokuwa halijasemwa sasa litasemwa. Ilani ya Chama cha mapinzduzi kama zilivyo ilani za vyama vingine vya kisiasa ndio hutoa picha halisi ya namna Nchi itakavyopiga hatua kimaendeleo na ktk nyanja zingine za maisha. Huwezi kupanda...
  10. Sir robby

    Matumizi makubwa ya serikali ndio chanzo cha hizi kodi na tozo za uonevu

    Hakika hii Tanzania sasa imekuwa balaa. Serikali imekosa ubunifu kabisa wa vyanzo vya mapato. Haiwezekani kitu kimoja kilipiwe kodi au tozo mbili. Hivi karibuni Serikali imekuja na tozo ambayo mweka fedha benki anakatwa kila anapotoa fedha ktk akaunti yake na benki nayo wakati huo huo inakata...
  11. cupvich

    SoC02 Hospitali za Rufaa kuwaachia majukumu yote ya kitabibu wanafunzi wa udaktari pasipo usimamizi wa kutosha - chanzo cha vifo vingi

    UTANGULIZI Nikiwa wodini nauguza mgonjwa wangu katika moja ya hospitali kubwa ya Rufaa nchini, Nilimsikia daktari mmoja akitumia lugha ya kiingereza kuwaambia wanafunzi wanao somea udaktari ambao walikuwa wakitoa huduma kwa mgonjwa aliyekuwa kitanda cha pembeni na alicho mgonjwa wangu maneno...
  12. Mathanzua

    Yanayotokea katika mgogoro wa Taiwan, China na Marekani. Chanzo na hatima ya mgogoro

    Kwa mara nyingine tena Marekani imetuma wajumbe wa Baraza la Congress kwa ndege ya kijeshi hadi Taiwan tarehe 14 Agosti 2022. Kwa kitendo hiki,Marekani inafanya uchokozi wa wazi kwa China. Ujumbe huu mwingine wa Bunge la Congress ulikwenda Taiwan kwa kutumia ndege ya kijeshi, moja kwa...
  13. Lidafo

    Ukubwa na udogo wa mishahara ni sababu ya rushwa

    Watu wengi tumekuwa tukiamini udogo wa mishahara ni moja ya chanzo au Sababu kubwa ya rushwa Jambo hili halihitaji akili kubwa kulielewa wewe vuta picha tu maisha ya leo alafu unakuta mtu analipwa laki tatu au nne mpka saba jumlisha ana watoto na mahitaji ya kila siku hapo ukikutana na mtu...
  14. Theorist Mosses

    SoC02 Ongezeko la bei za bidhaa ni chanzo cha wananchi kuishi kama watumwa

    (Picha mtandoni) Utangulizi Ugumu wa maisha umesababisha ongezeko la umaskini hapa nchini. Wananchi wengi wamekosa mahitaji kwa sababu ya mapato yao kuwa madogo hali ambayo imewafanya wananchi kuishi kama watumwa wakitafuta angalau kidogo cha kutia mdomoni. Wananchi wengi ndani ya sehemu...
  15. Stanboy

    Chanzo cha vifurushi vya simu kupanda ni kutokana na mitandao husika kumilikiwa na watu wajanja wajanja wenye vina saba na serikali.

    Nafikiri kila mtu anatumia hii mitandao na amejionea gharama zinavyopanda kiholela kila siku,chanzo kikubwa kinaweza mitandao hii kumilikiwa na watu wenye ukaribu mno na serikali kiasi kwamba serikali haina maamuzi ya moja kwa moja juu yao,pia serikali nayo inamiliki sehemu ya mitandao...
  16. Zanzibar-ASP

    Ghafla chuki na dhihaka dhidi ya waalimu zimeongezeka mitandaoni na mitaani, chanzo ni nini?

    Huenda labda mambo ni mengi au yako kasi kupita maelezo mpaka yamenipita au nimeshindwa kuyaelewa. Hili la kuibuka ghafla mitandaoni na mitaani, chuki na dhihaka dhidi ya waalimu bado sijalielewa kabisa. Nimehisi huenda labda limeletwa na mojawapo kati ya haya mambo mawili lakini bado sioni...
  17. ReTHMI

    SoC02 Kasi ndogo ukuaji wa uchumi wa nchi, chanzo Utawala mbovu: Je, kuna suluhisho?

    Uchumi wa nchi yoyote duniani hutegemea ni kwa namna gani viongozi wa nchi husika wanaongoza/wanatawala nchini mwao. Utawala wa viongozi ukiwa mbovu basi lazima kasi ya ukuaji wa uchumi iwe ndogo. Vilevile Utawala wa viongozi ukiwa bora/mzuri utapelekea ukuaji mzuri wa uchumi. Kwa maana hiyo...
  18. MulegiJr

    SoC02 Uduni wa taarifa(Data), ni chanzo cha huduma mbovu za afya

    Ubora Wa Taarifa (Data Quality), Ni mnyororo wa Taarifa sahihi za mtu, kitu au huduma Fulani katokana na mahitaji au Mazingira ya Umuhimu wa taarifa hiyo. Huduma Bora ya Afya, Ni Mnyororo sahihi wa upatikanaji wa taarifa za kiafya kutoka kwa Watoa huduma, Kituo Cha Afya au kitengo maalumu kwa...
  19. JanguKamaJangu

    Katavi: Mila, desturi chanzo cha mimba na ndoa za utotoni

    Halmashari ya Wilaya ya Mlele Mkoani Katavi inadaiwa kukithiri kwa tatizo la mimba na ndoa za utotoni huku chanzo chake kikitajwa kuwa ni uwepo wa mila na desturi za baadhi ya makabila wanaoishi katika eneo hilo. Tatizo hilo limebainika wakati shirika lisilo la kiserikali la Marie Stopes...
  20. MSAGA SUMU

    Polisi wasema wivu wa mapenzi chanzo mauaji ya watu 7 wa familia moja Kigoma

    Jeshi la polisi mkoani Kigoma linamshikilia mtuhumiwa wa mauaji ya watu sita (baadaye alifariki Mtoto hivyo idadi ya vifo kufika7) bwana Peter Morris (33) wakati upepelezi ukiendelea. Taarifa za awali zinadai Peter Morris alikuwa akimtuhumu January Mussa (marehemu) kutembea na mke wake...
Back
Top Bottom