chanzo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Rutunga M

    Dkt. Antony Dialo: Wizi na ukosefu auminifu chanzo cha biashara nyingi Tanzania kufa chini ya miaka 5 tangu kuanza

    Nimemsikiliza asubuhi. Mkurugenzi wa Saharama media wakati akitoa mada katika club house moja iitwayo Mindset transformation. Akidai kuwa kwa uzoefu wake katika biashara na ujasirimali amebaini kuwa biashara nyingi zinakufa kwa sababu watazania wengi siyo waaminifu. Amekwenda mbali na kusema...
  2. C

    Wachambuzi wa soka ni chanzo kikubwa cha kusababisha kadi nyekundu

    Kuongezeka kwa kadi nyekundu katika raundi tano za mwanzo wa ligi ni jambo la kusikitisha. Hali hii imekuwepo kwa sababu inachochewa sana na vyombo vya habari. Katika hali isiyo ya kawaida, mwaka jana, timu ya prisons walikuwa wakiruka mithili wanacheza kung-fu hasa walipokutana na Simba.Hali...
  3. Travelogue_tz

    Kuvuja kwa mitihani ya muhula wa pili kwa kozi za uuguzi na utabibu; Tumebaini chanzo, tutafute suluhu haraka

    Habari JF Mnamo tarehe 15 Oktoba 2021 Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia , Wazee na Watoto kwa kushirikiana na Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) walitangaza matokeo ya awali ( provisional results) ya mitihani ya muhula wa pili iliyofanyika mwezi Agosti , 2021. Katika taarifa...
  4. Travelogue_tz

    Kuvuja kwa mitihani ya muhula wa pili kwa kozi za uuguzi na utabibu; tumebaini chanzo, tutafute suluhu haraka

    Habari JF Mnamo tarehe 15 Oktoba 2021 Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia , Wazee na Watoto kwa kushirikiana na Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) walitangaza matokeo ya awali ( provisional results) ya mitihani ya muhula wa pili iliyofanyika mwezi Agosti , 2021. Katika taarifa...
  5. beth

    #COVID19 WHO yasema inaweza kuwa nafasi ya mwisho kubaini asili ya Virusi vya Corona

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema Timu yake mpya iliyoundwa kubaini asili ya Virusi vya Corona linaweza kuwa fursa ya mwisho kupata majibu hayo, huku ikisisitiza China kutoa Data za Visa vya mwanzo Mapema mwaka huu timu iliyoongozwa na WHO kwa kushirikiana na Wanasayansi wa China ilisema...
  6. MamaSamia2025

    Kuwanyima watu uhuru ni chanzo cha viongozi wengi wazalendo Afrika kufeli

    KUWANYIMA WATU UHURU NI CHANZO CHA VIONGOZI WENGI WAZURI KUFELI Wakuu nawasalimu kwa jina la Chama Cha Mapinduzi. Wote kwa pamoja muitikie CHAMA KIENDELEE. Wale wasiotaka kujibu nawakumbusha kwamba CCM ndo imebeba matumaini ya watanzania wote. Kwa siku za hivi karibuni niliamua "kujilipua"...
  7. MWANDENDEULE

    Nini chanzo, na tiba ya shingo ya kuku kupinda kuelekea kishoto au kulia kusiko kawaida?

    Huu ugonjwa unaopelekea kuku kupinda shingo kuelekea kushoto au kulia husababishwa na nini? Pia nini tiba yake?
  8. Ntiyakama

    SoC01 Tabia inavyoweza kuwa Tiba au chanzo cha tatizo la kuvimba miguu (peripheral edema)

    Kuvimba miguu au mikono (peripheral edema) Edema ni uvimbe unaoonekana kwa macho unaotokana na mkusanyiko wa vimiminika ndani ya tishu za mwili. Uvimbe huu hutokea mara nyingi kwenye nyayo, ankle, miguuni na mikononi ambao huitwa “peripheral edema.” Uvimbe huu ni zao la kujikusanya kwa...
  9. Ntiyakama

    SoC01 Tabia invyoweza kuwa Tiba au chanzo cha tatizo la kuvimba miguu (peripheral edema)

    Kuvimba miguu au mikono (peripheral edema) Edema ni uvimbe unaoonekana kwa macho unaotokana na mkusanyiko wa vimiminika ndani ya tishu za mwili. Uvimbe huu hutokea mara nyingi kwenye nyayo, ankle, miguuni na mikononi ambao huitwa “peripheral edema.” Uvimbe huu ni zao la kujikusanya kwa...
  10. G

    SoC01 Umasikini chanzo cha maswaibu

    UMASIKINI CHANZO CHA MASWAIBU. Tarehe 21/07/2021 usiku wa sikukuu ya Eid-el-Hajj, ambapo baada ya shamra shamra za mchana katika maeneo mbalimbali jijini Dar es Salaam. Mnamo saa tano usiku tukiwa tunarejea nyumbani tukaona gari imenasa kwenye mchanga na watu wakifanya jitihada za kulinasua...
  11. Bonnie99

    SoC01 Maumivu ni chanzo cha mafanikio yako

    Katika maisha kuna changamoto nyingi sana ambazo zinakuja katika maisha ya mwanadamu ili kukupa uwezo kamili wa kusonga mbele ili kuzifikia ndoto zako Lakini kuna wakati ambao changamoto hizi hufikia hatua ya kukupa maumivu makali sana pale ambapo unaona zinasababishwa na watu wa karibu ambao...
  12. Mwamuzi wa Tanzania

    Vibanda vya wamachinga juu ya mitaro barabarani ndio chanzo cha harufu mbaya Dar es Salaam

    Jana mchana wakati nimetoka kanisani Pugu Kajiungeni (Njia panda ya Chanika na Kisarawe ) niliamua nikapate viepe na kuku kwa muuza chips aliyeko kando ya barabara. Nimefika pale nilishangaa yule kijana muuza chips anawezaje kukaa pale angalau kwa nusu saa. Yaani kijana yule pale ndipo maskani...
  13. Robert Heriel Mtibeli

    "Chanzo" kilindwe au kiharibiwe

    "CHANZO" KILINDWE AU KIHARIBIWE. Kwa Mkono wa, Robert Heriel. Hekima hii isomwe na watu wote wapendao ufahamu. Iwajenge pale walipobomoka, iwaimarishe pale walipodhoofika. Nayo isionekane naliandika kujipatia utukufu, Isipokuwa kutimiza kusudi. NIITE Taikon wa Fasihi, Mwana kutoka Nyota ya...
  14. Btitle

    SoC01 Chanzo cha umaskini kwa wasomi wa Afrika

    Habari zenu wapendwa karibuni katika makala ii ambayo tunaangazia nini chanzo cha umaskini kwa wasomi wa afrika Kabla sijaanza kuzizungumzia sababu ningependa kuwafamisha wasomaji kua napozungumzia wasomi najumuisha waitimu wa vyuo na waajiriwa wa serikalini ata walojiajili 1...
  15. love life live life

    Hofu na chanzo chake

    mtu anapo kimbia bafuni bila nguo kisa ameona mende ile ni hofu lakini mtu anapo kimbia simba msituni ile ni anakimbia hatari, mtu anapo ona kisiki usiku na kuzani ni mtu ile ni hofu. Tukiweza kutofautisha kati ya hofu na hatari tunaweza kuwa realy na kuishi kwa kiwango kikubwa bila hofu...
  16. Kiume3000

    Kuna chanzo kizuri cha mapato, kwanini Serikali imelala? Manispaa na Majiji mifumo ya majitaka inawahusu hii

    Nilisoma nyuzi JF na nikapost juu ya mradi huu. Ni kitu cha kawaida Sana nchi za wenzetu kujenga mifumo ya maji taka kama ilivyo maji safi yanavyosambazwa huu mradi ni bomba sana. Si lazima maeneo yote. Uswazi kuachwe kama kulivyo lakini maeneo ambayo yana ramani zinazoeleweka au hata squata...
  17. salim710

    SoC01 Ndoa ni chanzo cha umaskini Afrika

    NDOA NI CHANZO CHA UMASKINI AFRICA Wa hali gani wapenzi wasomaji wa jukwaa hili la Hadithi za mabadiliko. Bila shaka ni matumaini yangu kuwa ni wazima wa afya. Karibuni katika makala hii ambayo inaangazia ni kwa kiasi gani ndoa huchangia umaskini Afrika. Najua wengi mmeshaangaa lakini baada ya...
  18. Y

    Walinda amani wasiwe chanzo cha wavunja amani

    Tanzania ni nchi ya Amani na Utulivu na hii ni tunu tuliorithi tangu vizazi na vizazi na sisi hatuna budi tuwalithishe vizazi vijavyo. Amani ndio Chanzo na mafanikio ya kila kitu katika maisha ya kila siku kwa mwanadamu na anavyovimiliki mwanadamu huyo kuthibitisha hilo viongozi mbalimbali...
  19. M

    Pombe imekuwa chanzo kikubwa cha kupunguza uwezo wa kupafomu kitandani

    Pombe ukinywa kwa wingi huwa inafifisha kusambaa kwa kwa damu mwilini matokeo yake huwa inakuwa ngumu kwa dushe kusiamama vizuri. Watu wengi hawatambui hili matokeo yake hudhania kuwa wamerogwa na kujikuta wakihangaika hovyo huku wenzi wao wakitafuta njia mbadala. Pombe sio nzuri kwa afya...
  20. Miki123

    Idara za ujasusi Marekani zatofautiana kuhusu chanzo cha kirusi cha korona

    Idara za ujasusi USA zimeshindwa kuja na hitimisho kuhusiana na asili ya kirusi kinachosababisha ugonjwa WA covid(uviko). Baada ya kufanya ushushu, wachunguzi wameafikiana kuwa Corona sio BIOLOGICAL WEAPON Kwa ajili ya kuangamiza watu. Kuna nadharia mbili ambazo zina mgongano. 1. MATUKIO YA...
Back
Top Bottom