Salamu bongo ? Pita hivi rafiki wew 😂
Karibuni tena kwenye ulimwengu wa kibepari, ulimwengu wa BEBERU,
Ipo hivi ndugu zangu, katika nchi yetu ya Tz, ukiacha sababu zilizo nje ya uwezo wetu kama siasa, na vitu ka hivyo ila sababu kuu ya kwanini waTz wengi hatuendelei ni kukosekana kwa UAMINIFU...