Habari wakuu,
Natafuta binti alie tayari kwa kufanya biashara ya kupika chapati na supu na kuuza. Awe anaishi maeneo karibu na Ubungo (mfano Magomeni, Manzese, Mwananchi, Buguruni, Sinza, Kimara n.k).
Nitatoa kila kitu (mtaji na vyombo pia) faida tutagawana kwa maelewano tutakayo kubaliana...