Charles Masalakulangwa ambaye ni Kiongozi wa Wazee wa Mkoa wa Mwanza amewataka Wananchi wenye nia ya kuharibu Uchaguzi kuacha kufanya hivyo badala yake wawape fursa wananchi kuiweka madarakani Serikali wanayoitaka.
Aidha, amesema nchi yetu inahitaji amani na mshikamano, hivyo kuwataka wananchi...