GE2025 Masalakulangwa kiongozi wa Wazee: Wanaoleta fujo wakaa pembeni, tunataka amani

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

PAYE

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2025
Posts
459
Reaction score
644
Charles Masalakulangwa ambaye ni Kiongozi wa Wazee wa Mkoa wa Mwanza amewataka Wananchi wenye nia ya kuharibu Uchaguzi kuacha kufanya hivyo badala yake wawape fursa wananchi kuiweka madarakani Serikali wanayoitaka.

Aidha, amesema nchi yetu inahitaji amani na mshikamano, hivyo kuwataka wananchi wenye sifa kujitokeza kwa wingi kushiriki Uchaguzi na kutimiza haki yao ya kikatiba ya kuwachagua Viongozi wanaowataka.

Kiongozi wa wazee wa CCM.
 
Nafikiri vijana ndio wanatakiwa waogope zaidi machafuko kuliko wazee
 
Back
Top Bottom