El Diablo is a name shared by several fictional characters published by DC Comics: Lazarus Lane, Rafael Sandoval, Chato Santana.
The Chato Santana version of El Diablo appeared in the 2016 Suicide Squad film set in the DC Extended Universe.
Ujenzi wa mwalo wa Chato Beach uliopo mkoani Geita umefikia asilimia 91 huku Kamati ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo ikisema imeridhishwa na kasi ya ujenzi wa mwalo huo.
Mwenyekiti wa kamati hiyo, Deodatus Mwanyika amesema mkandarasi aliyejenga mwalo huo anastahili kupewa kazi...
KIKAO cha Kamisheni ya Ushauri ya Mkoa (RCC) wa Geita kimeridhia majimbo mawili ya uchaguzi ya Chato na Busanda yagawanywe kupata majimbo manne ili kuchagiza maendeleo.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya...
Jimbo la Chato ni kama limetelekezwa na mbunge wake Medard Kalemani kwani toka atumbuliwe kwenye nafasi yake ya waziri wa nishati amegeuka bubu.
Chato ilijengwa stendi nzuri sana ya mabasi lakini leo ni mwaka wa nne toka ikamilike lakini haitumiki! Yani wananchi wa Chato wanateseka kwa kuchomwa...
Hifadhi hii ilianzishwa wakati wa awamu ya tano, wanyama wakasafirishwa kutoka maeneo mbalimbali kuelekea Chato kwenye kitovu cha utalii.
Muda umepita, hifadhi hii haisikiki tena. Wadau wanaulizia bado ipo, au wanyama washarudi kwenye sehemu zao za asili?
Wakuu,
Mchango huo umefanyika katika hafla maalum iliyoandaliwa na Kamati ya Amani ya Wilaya ya Chato inayoundwa na viongozi wa dini mbalimbali kwa ajili ya kuliombea taifa dhidi ya ugonjwa wa Marburg.
Soma: Pre GE2025 - Geita: Matukio yanayojiri kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Katika mchango...
Zimeibuka agenda ati Chato inatakiwa ipandishwe hadhi kuwa Mkoa ili kuridhisha mizimu na kujitakasa kisiasa Kwa watu wa Kanda ya Ziwa
Me natokea Kanda ziwa ila siungi mkono hii hoja ya Chato kuwa Mkoa
1. Utitiri wa Mikoa
Chato itapana na Mikoa ya Geita, Shinyanga na Kagera, ambayo ina ukaribu...
Wale hustlers
Mnakumbuka baada ya tetesi Chato kua mkoa tulinunua viwanja vya beach bei Kali,
Leo hii maeneo Yale yameshika hata wa kukupa milioni moja eneo la beach hayupo,
Sasa na utete twende tukanunue au tupapotezee maana haya mambo huchanganya Sana
Utete unakwenda kuzaa mkoa WA rufiji...
Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA) unawataarifu watumiaji wa kivuko MV. CHATO II HAPA KAZI TU kinachotoa huduma katika maeneo ya Chato, Mharamba, Izumacheli na visiwa vya jirani kuwa, kivuko hicho kimesimama kutoa huduma kuanzia majira ya saa nne na nusu asubuhi kutokana na kunasa kwa...
Nasikia mpaka sasa anapiga jalamba chinichini.
Ametoa gari mbili ili kusaidia watu wakifiwa kusafirisha maiti toka Hospitali ya wilaya kwenda kuzika makwao kamba wakifiwa .Moja ni Hilux Nyeusi.
Je ataweza huu mkikikimkiki? Maana nasikia Kalemani, Katwale, Sende na Wababe wa Chato wapo kwenye...
Kama Hayati Magufuli angekuwa hai mpaka keo,hyenda Chato ingeshakuwa mkoa unaojitegemea
Kama tunavyofahamu hulka yake wala asingesubiri vikao vya wadau kutoa maoendekezo,angeamka asubuhi na kutangaza oresidential decree kuwa Chato ni mkoa.
Baada ya kufariki hiyo ndoto ya Chato kuwa mkoa...
Kweli sasa hii imekuwa aibu kubwa. Ziwa Victoria lipo jirani kama km 1. Lakini maji hayapatikani kwenye miji ya watu wenye mabomba.
Je, Hayati Magufuli angekuwepo haya yangetokea Chato?
Mhe. Waziri Mchengerwa na wizara yako imulikeni Chato na chukueni hatua mapema. Mambo si mambo kule, hali si hali.
Nimepenyezewa taarifa kuwa watumishi wa zoezi la uchaguzi wanadhulumiwa malipo yao kuanzia siku ya kwanza ya uchaguzi hadi leo hii, na hadi sasa zoezi la ugawaji fomu kwa wagombea...
Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso amesikitishwa na tabia ya isiyo njema ya kinidhamu ya ulevi ya Mkurugenzi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira ya Chato Eng.Mari Misango ambaye amefika kwenye mkutano wake leo akiwa katika hali ya ulevi na kwa ujumla akiwa ameshindwa kutekeleza majukumu...
Chato Samia Cup yasaini mkataba wa ushirikiano na Suluhu Academy ya Kizimkazi Zanzibar
Kituo Cha michezo Cha Suluhu academy kutoka visiwani Zanzibar (kizimkazi) kimesaini mkataba wa kushirkiana na taasisi ya Chato Samia cup iliyoko wilaya chato Mkoani Geita kwaajili ya kuibua vipaji na...
Kwamba kila Rais atakaye ingia madarakani nyumbani kwao inapelekwa miradi mikubwa bila kufanya utafiti wa kutosha wa mahitaji kwa fedha za walipa kodi hawa masikini.
Matokeo ni kuwa wanapo ondoka madarakani inageuka kama ile ya nyumbani kwa Mobutu maana ilikuwa kukurupuka.
Tumeona speed ya...
Kwanza yeye ni Rais wa JMT kila mara yuko Zanzibar kuzindua miradi. Kijiji kidogo hicho mapesa yote ndani ya miaka 3 hela ililipelekwa pale ni nyingi sana. Hii ni kwanza ni aibu na kashfa kwa Rais wa nchi nzima.
Tabia hii alianza Magufuli, kabla ya hapo huu ubaguzi usio na haya haukuwepo...
1. Jabali la siasa na Sayansi Dr Magufuli (PhD) amelala Chato.
2. Ameacha kumbukumbu ya kurithishwa vizazi na vizazi kupitia elimu ya Sayansi na Teknolojia.
3. Yafaa, Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Kujengwa Chato kwa heshima yake.
RIP SHUJAA Dr Mheshimiwa JPM
Naumia sana na hii nchi yangu japo na mimi nipo hapa nikisubiri mabadiliko.ila najiuliza kwa nini kile kiwanja cha chato ambacho kinaweza kutua ndege za kila aina kikatelekezwa tu.
Kwa nini serikali isitafute wabia toka nje kuja kukifanya kiwe shule ya urubani ili kuendeleza uchumi.mbona...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.