chato

El Diablo is a name shared by several fictional characters published by DC Comics: Lazarus Lane, Rafael Sandoval, Chato Santana.
The Chato Santana version of El Diablo appeared in the 2016 Suicide Squad film set in the DC Extended Universe.

View More On Wikipedia.org
  1. mr mkiki

    Hayati Dkt. Magufuli hakuisaidia Chato

    Wilaya ya Chato iliyopo mkoani Geita ni Tanzania. Kwahivyo, itakuwa furaha ya kila mzalendo wa Tanzania kuona maendeleo ya Chato kama itakavyokuwa kwa maendeleo ya sehemu nyingine ya Tanzania. Lakini maendeleo ni nini? Aliyekuwa Rais wa Tanzania, John Magufuli alijitanabaisha kama mtu...
  2. Idugunde

    Uwanja wa ndege Musoma kujengewa runway km 1.6

    Ukweli ndio huo, kwa hiyo tuache kukariri maneno ya uongo kuwa eti Ccm wanapendelea Chato peke yake. Leo mkandarasi Beijing MS Cons En Group amekabidhiwa site huko Musoma kazi ni miezi 20
  3. lee Vladimir cleef

    Ujumbe na maoni yangu mimi Mtanzania mwenzenu kwenu ninyi watu wa Chato

    Ujumbe wangu binafsi na maoni yangu binafsi Mimi Mtanzania mwenzenu kwenu enyi Watanzania wenzetu watu wa Chato. Mimi binafsi Sina chuki Wala tatizo kuhusu nyinyi kuletewa maendeleo, kwani ni haki yenu na mnastahili Kama wanavyostahili Maeneo mengine ya Tanzania, kwa sababu nyie pia ni sehemu...
  4. N

    Siamini kama ni kweli Alhaji Mzee Mwinyi alisahau pale panaitwa Chato

    Alikuwa Rais wa Tanzania kwa miaka 10. Hivi ni kweli alikuwa amesahau Chato au ulikuwa ni usanii tu ili kupaondolea hadhi pale? Mkiniambaia leo labda ameshaanza hata kuwasahau wanae basi ninaweza nikaamini kuwa aliposahau pale!
  5. N

    Hivi kuna ndege imeshatua Chato tangu baada ya mazishi?

    "Hivi hapa wapi vile? Angekuwepo Siti karibu hapa angenitajia!" ananong'onezwa na kukumbushwa panaitwa Chato - anaitikia kwa nguvu "CHATOOO!" Eti jamani hivi kuna ndege ambayo ishatua Uwanja wa Kimataifa wa Chato tangu baada ya msiba? Na kama ipo ilipeleka huduma gani? Inasemakana pia hata...
  6. Idugunde

    Kiongozi wa wajasiriamali Magufuli bus terminal safarini Chato kwa baiskeli ili kumuenzi hayati JPM kwa msaada wake kwa wajasiriamali wadogo

    Ameamua kuendesha baiskeli toka Dar mpaka Chato. Huu ni uzalendo wa kweli.
  7. J

    PLO Lumumba: Tundu Lissu ni muongo, nimefika Chato Hayati Magufuli hana utajiri wa kumlinganisha na Mobutu Sese Seko

    Mwanasheria mkongwe na mwanaharakati maarufu Afrika kutoka nchini Kenya PLO Lumumba amesema madai ya Tundu Lissu kwamba Hayati Magufuli ni tajiri kama hayati Mobutu Sseseko wa Zaire ni ya uongo na uzandiki uliopindukia. Lumumba alikuwa anajibu swali la mtangazaji Shaka Ssali wa VOA na kusema...
  8. K

    Chato: Wananchi walilipia umeme wa REA tangia mwezi wa tisa lakini hadi sasa hajapewa umeme

    Wananjamvi-Mbunge Kalemani aliahamaisha sana watu kufanya wiring tayari kwa kuvuta umeme, Vijiji vya Bikaka na Nyakakarango tukafanya hivyo hadi tukaletewa Control namba ya kulipia umeme mnano mwezi wa tisa lakini hadi hivi sasa haujapata umeme. Je, huu waziri wa Nishati na Pia Mbuge sijui...
  9. OKW BOBAN SUNZU

    Uchambuzi: Hali ya Uwanja wa ndege wa Kimataifa Chato baada ya Magufuli kustaafu

    Uwanja wa ndege aliojenga Mobutu umegeuka kuwa uwanja wa popo na panya Dikteta Mobutu aliamua kujenga Uwanja wa Gbadolite katika Jimbo la Nord-Ubangi, mwendo wa saa 5 na dakika 16 kutoka mji huo hadi kijijini Lisala (umbali wa 332km) alikozaliwa Mobutu mwenyewe, Gbadolite kilikuwa kijiji...
  10. Mwamuzi wa Tanzania

    ATCL vipi flights za Dar - Chato zitaendelea baada ya kifo cha Dkt. Magufuli?

    Nauliza tu vipi ATCL zile trips za Dar -Chato, Chato-Dar zitaendelea kama mlivyokuwa mkitangaza au ndio basi tena? Kama zitaendelea good. Kama hazitaendelea basi unafiki uliwatawala na hakika mtafilisika soon maana hamna vision. You are like wind, you have no specific direction or goals.
  11. T

    Kumuenzi Hayati Magufuli, mkoa wa Chato uitwe Magufuli

    Kazi iliyotukuka aliyoifanya Hayati Dokta John Joseph Pombe Magufuli tangia akiwa waziri hadi alipokuwa Rais wa awamu ya tano ni kubwa mno na inaonekana. Ingawa amelala mauti, jina lake, maono yake, miradi aliyoisimamia akiwa madarakani na Jitihada zake katika kulinda , kusimamia na matumizi ya...
  12. polokwane

    Rais Samia Suluhu: Mkikidhi vigezo, Chato tutaifanya kuwa Mkoa

    Kajibu hivi 'Suala la Chato kuwa Mkoa nimeambiwa tayari mchakato umeanza naelekeza lishughulikiwe kama vigezo vimekidhi Chato iwe Mkoa na kama vigezo havijakidhi tuwaelekeze nini cha kufanya ili viweze kukidhi na tumuenzi Hayati Magufuli.' Ni jibu zuri sana sana na nijibu la kiuongozi na sio...
  13. J

    Mjumbe wa kamati kuu CHADEMA, Lazaro Nyalandu awakilisha chama mazishi ya Hayati Dkt. John Magufuli wilayani Chato

    Mjumbe wa kamati kuu ya Chadema mh Lazaro Nyalandu yuko wilayani Chato mkoani Geita akishiriki mazishi ya kitaifa ya Hayati Dkt. John Magufuli. Nyalandu ameonekana muda mwingi akiwa na mbunge wa Ilemela Dkt. Mabula na mbunge wa Shinyanga mjini Patrobas Katambi wote wawili ni manaibu waziri...
  14. tikatika

    Nukuu toka kwa Rais Magufuli (QUOTES)

    Katika dunia ya sasa hakuna kitu kinaweza kupotea ili mradi kimewahi kutamkwa mbele ya jamii. Lakn pia tunaweza kupoteza vitu admu pale tu tutakaposhindwa kuweka kumbukumbu kwa vizazi vijavyo na vya sasa. Kwa kipindi kirefu tumekua na nukuu za Baba wa Taifa mwalimu nyerere. Ni wakati mwafaka...
  15. J

    Wanafamilia 5 waliokufa uwanja wa Uhuru kuzikwa leo. Mchungaji Mastah aongoza ibada

    Wanafamilia 5 waliokufa wakati wa kumuaga hayati Magufuli uwanja wa uhuru wanazikwa leo nyumbani kwao Kimara. Ibada ya kuwaombea marehemu inafanyika katika Kanisa la KKKT Kimara na inaongozwa na mchungaji kiongozi wa Kanisa hilo. Mkuu wa wilaya ya Ubungo na mbunge wa Kibamba wamehudhuria...
  16. Shadow7

    Baraka Magufuli atoa neno Chato kwenye tukio la kumuaga Hayati Rais Magufuli

    Leo siku ya kutoa heshima za mwisho kwa Jemedari wetu JPM wilayani Chato, Baraka Mwakipesile, maarufu kama ‘Baraka Magufuli’ amepewa nafasi ya kuonyesha kile ambacho alikionyesha siku zote hata mbele ya hayati Rais Magufuli.
  17. Erythrocyte

    Je, Freeman Mbowe ataibukia Chato kushiriki mazishi?

    Hili ni swali ambalo watu wengi wanajiuliza, Freeman Mbowe anatajwa kama Mwanasiasa wa kisasa aliyekomaa kuliko yeyote kwenye siasa za Tanzania kulinganisha na hawa waliopo kwenye uongozi wa vyama vya kisiasa hivi sasa, huyu ni Gwiji la siasa za vyama vingi nchini Tanzania, wako wanaoamini...
  18. B

    Ratiba ya kuagwa mwili wa hayati Rais Magufuli; Mikoa minne kuuaga mwili, kuzikwa Chato

    Msemaji Mkuu wa Serikali ameongea na Waandishi wa habari muda huu na kueleza kuhusu ratiba ya kuagwa kwa mwili wa hayati rais John Pombe Magufuli. Mikoa ambayo ipo katika ratiba ya kuuaga mwili wa Hayati Rais Magufuli ni DSM, Dodoma, Mwanza na mazishi kufanyika Chato mkoani Geita. Msemaji Mkuu...
  19. L

    Waziri Mwigulu kuapishwa Chato: Magufuli amezingatia Ibara ya 56 ya Katiba ya Tanzania

    WanaJamii, heshima kwenu. Kumekuwa na minong'ono mingi na miluzi kibao from opposition die hard fans kufuatia jemedari mkuu Rais John Magufuli kumuapisha Mh waziri Mwigulu Nchemba mjini Chato. Kimsingi hawana hoja, bali wanashangaa tu na kulalamika eti why Rais afanye majukumu yake kiofisi...
  20. Nyankurungu2020

    Ujio wa wageni Chato ulituletea majanga? Wana usalama hawakuona?

    Mwanzoni mwa mwaka huu tumeshuhudia ugeni mkubwa ukimilinika kuelekea Chato huku tukiona hakuna tahadhali juu ya ugonjwa wa Covid 19 ikichukuliwa. Tulishudia waziri wa mambo ya nje wa China, rais wa Mozambique, rais wa Zanzibar na aliyekuwa makamu wake. Baada ya muda sio mrefu tukasikia maalim...
Back
Top Bottom