Wana jf heshima zenu zote nilishamkabidhi mungu bila kujali, dini, chama au umri.
Mheza kama waenda Tanga mjini ipo sehemu yaitwa TANGANYIKA kabla ya kufika MKANYAGENI, na kabla ya kufika BAGAMOYO, KILAPULA, PONGWE, MAWENI, KANGWE then kwa MINCHI to TANGA MJINI.
Sikuwahi jua chanzo cha jina...