El Diablo is a name shared by several fictional characters published by DC Comics: Lazarus Lane, Rafael Sandoval, Chato Santana.
The Chato Santana version of El Diablo appeared in the 2016 Suicide Squad film set in the DC Extended Universe.
Chato ni eneo zuri ki ulinzi kwa kiongozi ikibidi zaidi ya Dar es salaam na Dodoma
1. Kiusalama imezungukwa na ziwa Lina visiwa zaidi ya 60; Ni rahisi kuondoshwa kupitia njia ya Maji
2. Ulinzi : Kuna vikosi vikubwa vinne . Biharamulo,Ngara, Rwamishenye,Kaboya na Kwa Mbali Mwanza . Kiulinzi...
Waheshimiwa Wabunge wetu. Nimemsikiliza Spika Ndugai akiweka msimamo wake kuhusu hatua yenu ya kuondoka Bungeni kwa muda.
Spika Ndugai anastahili kujibiwa rasmi na hadharani, na napendekeza yafuatayo kuwa sehemu ya majibu yenu.
1. Je, Wabunge wa CHADEMA ni watoro?
Kwa kadri ninavyofuatilia...
Mkuu wa Mkoa wa DSM, Paul Makonda ametoa saa 24 kwa Wabunge wote waliokimbia kushiriki vikao vya Bunge na kwenda Dar es Salaam kula bata, kuhakikisha wanarudi Bungeni tofauti na hapo, watakamatwa kwa kosa la uzururaji kama wanavyokamatwa machangudoa wanaozurura usiku.
RC Makonda amesema kwa...
Haya ninayoyashuhudia kwenye mitandao ikiwa ni comments ya wana Afrika mashariki walioko sehemu tofauti tofauti duniani yanaiingiza Tanzania katika historia mpya.
Kwanza watu wengi wamefuatilia hotuba ya Rais Magufuli iliyorekodiwa na kuwekwa mitandaoni. Na wengi wameusifu utafiti uliofanywa na...
Kuna siku niliandika Uzi kama Tetesi nikisema kuwa Tanzania hakuna lockdown mkaufuta licha ya kutoa sababu. The same day jioni yake mkuu akasema yale niliyoyasema.
Sasa ni wazi kuwa takwimu halisi za wagonjwa wa COVID 19 hamtapewa, mkipewa mjue kuwa zimechakachuliwa.
Sasa ni mwendo wa bata na...
Rais wa Jamhuri wa muungano wa Tanzania ametoa salamu za maadhimisho ya miaka 56 ya Muungano kati ya Tanganyika na Zanzibari yanayotarajia kuadhimishwa siku ya kesho tarehe 26/04/ 2020.
Katika salamu hizo Mh. Rais amewataka Watanzania wote kutumia maadhimisho hayo kutafakari Muungano huo ambao...
Wanabodi,
Janga la Corona ni vita ambayo no one knows its dimensions, hivyo Watanzania hatuna budi kutumia kila silaha, kila mbinu, kila technics, hivyo, baada ya kuisikia ile hotuba ya jana kutokea Ukulu ya Chato, mimi kwa upande wangu naiunga mkono hotuba ile ya Ikulu ys Chato kwa asilimia...
Nimemsikiliza leo huyu Mzee kwa umakini mkubwa ndiyo nimemwelewa vizuri kwa mara ya kwanza kuwa Rais wa awamu ya 5 Ndugu na Daktari Joni Pombe Magufuli ni kiongozi si waajabu lakini nimemfananisha na Mfalme Nebkadneza ambaye yeye wakati wa utawala wake alikuwa anategemea wataalam wa mwili yaani...
Wanabodi,
Salaam,
Neno "Mjinga" ni tukano, ila sio tusi!. Mtu kuwa mjinga ni ile hali ya kutokujua. Hivyo mtu akikuita mjinga, anamaanisha wewe hujui kitu fulani anachokuitia mjinga. Ukiwa hujui kitu fulani na ukaitwa mjinga, hujatukanwa bali umeambiwa ukweli kuhusu hali ya kutokujua kwako...
Imeripotiwa na luninga ya ITV kuwa baadhi ya wananchi waliopewa ardhi na Rais Magufuli kwa ajili ya kilimo cha mazao ya chakula wao wamepanda bangi.
Mkuu wa wilaya ya Chato na kamati yake ya ulinzi na usalama imewalazimu kuvamia mashamba hayo na kuwashurutisha wale waliolima bangi waing'oe na...
SERIKALI YARIDHISHWA NA MAJENGO YA SHULE YA MSINGI CHATO
Serikali imepongeza hatua ya ujenzi na ukarabati wa shule ya msingi Chato kwa kujenga majengo yanayozingatia ubora na thamani halisi ya fedha.
Hayo yamesema na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhandisi Joseph Nyamhanga alipofanya ziara...
Nianze kwa kusema kwamba andiko hili halilengi kuunga au kupinga uwepo wa mbuga ila linataka kuibua mjadala wa kimkakati kuhusu ulazima au umuhimu wa kuwepo kwa mbuga hii.
Binafsi nafikiri serikali ingepaswa kuwekeza rasilimali muda na rasilimali pesa katika kuboresha mbuga zilizopo,kuzitangaza...
Jumla ya Simba 17 wamehamishiwa katika hifadhi ya taifa ya Burigi huko Chato ikiwa ni hatua ya kuimarisha vivutio vya utalii Kanda ya Magharibi.
Simba hao wamepokelewa na Mkuu wa Mkoa wa Kagera Brigedia Jenerali Gaguti ambaye amewataka wananchi wa maeneo hayo wawe wakarimu wakati wa kuwapokea...
Sielewi ziara za viongozi wakubwa zote Chato.
Naona harakati za kuikuza Dodoma zinadumaa kwa style hii.
Na kwa style hii tunachanganya watendaji hatujui nguvu waeke wapi Dodoma au Chato?
Kuna muda itafika tutawalaumu mawaziri na manaibu wao bure tu.
Naendelea kuuliza je mipango hii ilikuwepo...
Wanaosema Muheshimiwa Rais anawapendelea wananchi wa Wilaya ya Chato kwa kutekeleza miradi mikubwa wilayani humo hata kaamua kwenda kula Christmas nyumbani kwao waje na hoja hizi (sisi wa Nyamagana hatuna swali, hata zile millioni mia alizotuahidi Mwanza Sekondari zimeshafika project inaendelea)...
Wizara ya madini nchini Tanzania, Doto Biteko amezindua soko kuu la dhahabu wilaya ya Chato mkoani Geita huku akitoa maagizo kwa ofisi ya madini mkoani Geita kutoa leseni za uchenjuaji kwa wafanyabiashara wa madini zaidi ya 300 wenye mitambo ya kuchenjua dhahabu mkoani humo.
Leo katika viunga vya Chato kumezinduliwa soko kuu la dhahabu. Hivi kumbe haya masoko ni kwa kila wilaya? Maana makao makuu pale Geita napo pana mjengo wa soko la dhahabu.
Hongera Chato kwa kuyafikia maendeleo ya kweli. Unapaa kwa kasi kweli kweli.
=====
Soko kuu la dhahabu lazinduliwa Chato...
Tunavyofahamu ni kuwa chombo cha habari cha TBC ni cha Watanzania wote na kinagharamiwa uendeshaji wake na kodi za wananchi wote, wana CCM na wana Chadema.
Kwa hiyo ni wajibu wa Mkurugenzi wa TBC, Ayoub Rioba, kuangalia ni kitu gani kina umuhimu mkubwa kwa Taifa na kukionyesha mubashara bila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.