Baada ya Shirikisho la Riadha Tanzania, Kamati ya ufundi na Kocha wa timu ya Taifa , Suleiman Nyambui kumfukuza Mwanariadha Failuna Abdi Matanga,
Gidabuday alihoji uhalali wa kumfukuza Mwanariadha huyo, ndipo alipopata Vitisho na Mengine.
Gidabuday Anasimulia hapa;
Juni Mosi nilibishana sana...
Rais Samia Suluhu kwa kutumia Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini TARURA,
Huu ni muonekano wa Daraja jipya la Fundimbaga lenye urefu wa mita 45 katika barabara ya Tabora - Fundimbaga,
Daraja hili linalounganisha kata za Matemanga na Marumba Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru Mkoani Ruvuma...
Asante Ndugu Raisi, Asante Katibu Mkuu.
Wacha nikukumbushe jambo ambalo wote hapa, natambua mnalikwepa kama hamlijui vile mabwege, Kundi la Hamas lilishaadhimishwa kidunia kuwa ni Kundi la Kigaidi, na ambalo limesharusha maroketi elfu nne katika miji ya Israel kwa siku zaidi ya 11. Sasa hivi...
Sitavumilia- MO
-
Mfanyabiashara na Mwekezaji wa Klabu ya Simba, Bilionea Mohammed Dewji 'Mo' ( @moodewji ) amesema mwaka 2021 hatowavumilia wale wote wanaotoa lugha za matusi na kumvunjia heshima.
Mo ametoa onyo hilo jana kupitia ujumbe wake mrefu wa kufunga mwaka 2020 aliouchapisha kwenye...
Hivi karibuni kuna mtu anaijiita Tony Anton alifuta ngoma ya Cheche na akaifanya isipatikane YouTube kwa siku mbili, baada ya huo mkasa kutokea uongozi wa WCB kwenye department ya digital platform ikiongozwa na kimkayndo wakalishughulikia hilo jambo na kugundua kuwa aliyofanya hivyo jina halisi...
Mabibi na mabwana heshima kwenu na moja kwa moja kwenye mada.
Kampeni zikiendelea, mgombea wa CCM ameonyesha alivyodhamiria kuiboresha nchi vilivyo hata kuwa na barabara bora kabisa:
Hata hivyo barabara hii ilikuwapo pia katika ahadi za 2015. Si haba, "chelewa ufike" japo waswahili pia...
Raisi Magufuli awashangaa wanaodhani kujenga diplomasia ya mahusiano ya kimataifa ni kufanya safari za kwenda ulaya!!
Raisi Magufuli atema cheche asema asema ana mialiko ila hataenda atatuma balozi yeye anajenga nchi
Ninakubaliana naye Uingereza na Marekani wana mahusiano mazuri sana na nchi...
Leo, Septemba 9, 2020 - mgombea Urais wa JMT kupitia CHADEMA, Ndg. Tundu A. Lissu anaongea na Wahariri wa Vyombo vya Habari.
Haya ni baadhi ya aliyoyasema:
======
Waandishi mmekuwa mnogopa kuni-cover, nikizungumza mna switch off. Hofu!
> Nazungumza na Vyombo vya Habari vya nje ya nchi kila...
Hapa ndio utaelewa kwanini Mh Mbowe ameamua John Mnyika awe Katibu Mkuu wa CHADEMA , yaani anatema madini matupu ! Mnyika amesema:
"Sasa nifikishe ujumbe tu kwa Rais Magufuli, ambaye amesema yeye, akiwaambia mabalozi kwamba, uchaguzi wa mwaka 2020 utakuwa uchaguzi huru na haki ujumbe wangu kwa...
Anaandika Bernard Membe.
Rondo- Lindi.
Watanzania Wenzangu! Nawasalimia! Kwa siku tatu mfululizo magazeti ya makuhani wa fitina na unafiki Musiba na Mchange na wenzao wamekuwa wakinishambulia kwa uchochezi wa sintofahamu iliyotokea kuanzia Alhamisi tarehe 17 Octoba siku ambayo Mhe Rais...
Kuna muda unaweza kuchana nywele alafu ukashangaa vitu kama cheche za moto/umeme zinaonekana kwa mbali. Jaribu mida ya usiku/gizani uone.
hii inasababisha na nini wataalam?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.