Asante Ndugu Raisi, Asante Katibu Mkuu.
Wacha nikukumbushe jambo ambalo wote hapa, natambua mnalikwepa kama hamlijui vile mabwege, Kundi la Hamas lilishaadhimishwa kidunia kuwa ni Kundi la Kigaidi, na ambalo limesharusha maroketi elfu nne katika miji ya Israel kwa siku zaidi ya 11. Sasa hivi...