cheka

  1. A

    KERO Ubovu wa barabara ya kigamboni/ferry - cheka: Mkurugenzi wa Manispaa, Meneja TARURA/TANROADS mna mpango gani kuelekea msimu wa mvua?

    Napenda kuwasilisha malalamiko kutoka kwa watumiaji wa barabara ya Kigamboni/Ferry - Cheka kuhusu hali mbaya ya barabara hii, hususan vipande kadhaa ambavyo lami imekwanguliwa kwa lengo la kufanyiwa marekebisho lakini hadi sasa kazi hiyo haijakamilika. Tunaelekea katika msimu wa mvua za masika...
  2. Cheka kidogo ila inafundisha

    😳Sai kuna mtu bol ishaingia💦,,kuna mwingine sai ndio inaingia mig'uu ziko juu kama bendera ya Somalia🤣kuna mwingine anacome nakuambia anatetemeka mapa'ja kama earthquake za Turkey sasa ako zile za beb ziko mot'oo🔥💦😋☹💔,, Kuna mwingine ndio wanaanza rom'ance sasa anahema kama bata kiwete sasa bed...
  3. D

    Sofyan Amrabat ndani ya simba sc. 😂😂

    kazini kwa Mzamiru kuna kazi 😂😂😂😂 simba wamejipata #chekakisport
  4. Cheka kidogo upunguze stress

    Kuna jamaa alikuwa kila akienda msalani na kopo lake la maji akimaliza kujisaidia kucheki kopo lake maji hakuna, Kesho yake alipoenda msalani akaona isiwe tabu akajisafisha kwanza kabla ya kujisaidia ili kuwahi maji yasiishe, Kumbe kopo lilikuwa limetoboka, yeye hakutaka kujua hilo :D :D :D...
  5. Shukrani zangu za dhati zimfikie Mr Coy wa Cheka Tu kwa kuyazingatia maoni yangu

    Niliishauri timu nzima ya Cheka Plus dhidi ya maboresho yenye tija ambayo yalikuwa muhimu kuyatia maanani. Nimefurahi kwa kuwa 70% ya mawazo yangu kuhusu kituo hicho yameanza kufanyiwa kazi ikiwemo Cheka Plus kuibua vipaji zaidi hasa hasa muziki, naona sasa wasanii chipukizi wanapanda kwenye...
  6. Familia yangu huiambii chochote kuhusu kituo cha runinga cha Cheka Plus

    Sio tu familia yangu, hata wafanyakazi wenzangu ofisini kwa ujumla. Maua mengi mengi yamfikie Coy Mzungu maake jambo aliloanza nalo kama utani, hatimaye lazaa matunda. Kuamua ni kuthubutu, Hatimaye Cheka tu imezaa Cheka Plus, same applied to WCB kuzaa Wasafi Media Cheka Plus inakuja kwa kasi...
  7. Serikali ina cheka na nyani: Wizi wa kimtandao Arusha inaelekea ni nchi nzima!

    Msimamo wa kula kwa urefu wa kamba imepata maana mpya na mbaya. Serikali ikiwa na vyombo vyote vya ulinzi na usalama katika kila mkoa, itaibiwaje kibwege hivi? Yes, serikali inaibiwa kibwege na wateule walewale wa Rais. Tumesikia kuwa kule Mbeya mtandao kama huo ulikuwepo. Hapo tusimung'unye...
  8. Wanawake wakikuangalia halafu wakaanza kucheka cheka huwa wanamaanisha nini?

    Heri ya sikukuu wana MMU. Nina scenario 2 za hili tukio kunitokea. 1. Jumatatu ya wiki iliyopita kulikuwa na mvua kubwa sana jijini dsm ambayo ilisababisha ukosefu wa usafiri wa daladala kwa tulio wengi hivyo watu ilibidi watembee wakitoka makazini kurudi makwao mimi nikiwa mmojawapo sasa...
  9. Ni nani au kampuni gani iliyotengeneza App ya Cheka Plus? Ya wale jamaa wa Cheka Tu?

    Kwema bandugu? Hata sina maneno mengi kwenye hili... Kama title inanyojieleza naomba kufahamishwa ni nani au akina nani? Waliotengeneza App ya Cheka Plus? Natanguliza shukurani.
  10. M

    Plot4Sale Nahitaji Kiwanja DSM cha Sqm 800-900, location KIGAMBONI Dege, Geza, muongozo, mwembe mdogo, cheka au KINYEREZI, kisiwe mbali na Main road. Offer 13M

    Mwenye nacho ambacho hakizidi Km 1 kutoka main road aniwekee namba ya simu, tuwasiliane.
  11. N

    House4Rent Pagale linauzwa Kigamboni cheka

    Pagale linauzwa Kigamboni Cheka ina vyumba vitatu kimoja ni master, jiko,sebule,dining. Ipo mita 300 kutoka barabara ya lami ukubwa 30 × 20 Bei:- million 25 maongezi yapo Call/WhatsApp:- +255766534488
  12. Cheka sana, kula raha sana, Ruka sana, Tamba sana, Jirushe sana, Fanya starehe sana ila Omba ukiugua usije kupatiwa Matibabu kwenye Hospitali zetu!

    Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!. Cheka sana tu, ruka huku na huko sana tu, Puyanga sana tu,Fanya ngono sana,Kunywa pombe sana tu,Fanya uasherati sana tu,Jifariji sana tu kwa mambo ya kijinga,zembea sana tu,dharau sana tu!. Ila omba kwa dini yako sana tu usije ukaugua ukalazwa au...
  13. Zum zum zum 🐝

    Hii nyuki🐝 ni nyuki🐝 njia nyuki🐝 pekee nyuki🐝 ya nyuki🐝 kumfanya nyuki🐝 mjinga nyuki 🐝 kushughulika nyuki🐝 Sasa rudia kusoma bila nyuki 🐝
  14. Cheka Tu dhidi ya Watubaki

    .
  15. D

    Cosmas Cheka, Issa Nampepeche wapigwa faini na Kamisheni ya Ngumi za Kulipwa Tanzania (TPBRC)

    Kamisheni inayosimamia ngumi za kulipwa Tanzania TPBRC, kupitia makamu wake imewapa adhabu za faini bondia Cosmas Cheka na mwenzie Isa Nampepeche. Cosmas Cheka amepigwa faini ya Tshs laki nne (400,000/-) na Isa Nampepeche faini ya Tshs Laki Tatu (300,000/-). Faini zote zilipwe ndani ya mwezi...
  16. Cosmas Cheka na Issa Nampekeche waamua kuzichapa "Kavu Kavu"

    Kwema wakuu? Hawa wawili ilikua wazichape Leo ukumbi wa PTA, pambano limeshindikana sababu Cheka anasema kapata ajali, amekuja na "hogo" mkono wa kushoto wakati anahojiwa na Mtangazaji Ahmed Ally wa Azam TV. Issa Nampekeche anasema Cosmas hajapata ajali popote, ka fake ajali ili amkimbie...
  17. Mashindano ya Cheka Tu Comedy search yameendeshwa kwa weledi sana.

    Haya mashindano yamekuwa mazuri sana. Na nafikiri sekta ya Stand up comedy Tanzania ndiyo imezaliwa. Washiriki karibu wote walikuwa vizuri sana tofauti na wakina Pilipili, Idrisa na Bukuku. Hawa wanajua. Na hawa washindi waliopatikana ni wanajua hasa. Hata kuna wengine walitolewa lakini bado...
  18. Live: Cheka tu grand finale 2021

    Leo ndio ile Cheka tu grand finale, kupitia Wasafi Tv kutokea pale Mlimani City! Unamtabiria nani kuwa mshindi?? Karibu kwa live updates
  19. Cheka tu Comedy Search: Ni mshiriki gani unavutiwa naye?

    Wakuu, Kama title inavyotamba, basi. Kwa wale tunaofuatilia hiki kipindi kinachotafuta vijana wenye vipaji vya kuchekesha kwenye stand up comedy (CHEKA TU COMEDY SEARCH) cha wasafi tv tujuzane ni washiriki gani ambao unavutiwa nao na ambao huvutiwi nao katika uchekeshaji wao. Mimi naanza na...
  20. Cosmas Cheka hajui ngumi , kwanini analazimisha kuwa bondia ?

    Huyu kijana kwa kweli hana uwezo wa kushinda pambano lolote la ndondi kama kunakuwa na uamuzi wa haki , hajui kupigana , ni vema akatafuta cha kufanya kabla hajauawa ulingoni . Leo kwenye Vitasa vya Azam kaokolewa na Refa Mlundwa bila sababu ya msingi .
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…