*Mazungumzo kati ya injinia hersi na tp mazembe*manager
Injinia: habari mkuu
Tp: salama
Injinia:mkuu naomba game ya kirafiki
Tp: Wewe ni nan
Injinia; mkurugenz wa gsm
Tp: gsm ni timu gan
Injinia : sio timu mkuu bali kampuni ya kutengeneza nagodoro
Tp: kwahyo unataka tucheze na...
Hakika sijawahi kuona upendeleo kama huu kwenye mchezo huu wa ndondi popote, nimeangalia hili pambano nimeona aibu sana kwa matokeo ya uongo kama haya.
Kwa haya yanayofanyika, nchi hii haitoendelea kwenye michezo.
Huu ni uzi wa kutupia vichekesho na vimbweka vya kingereza tu japo mimi nimeanza kwa kiswahili 😅😅 anza na hii
my son is stupid imaging he get zero even if i do his hormwork for him😅😅😅
Duh! Kumbe Watanzania walikua wamenunia na Waganda pia, hawa wenzetu diplomasia imewashinda, sasa ni mwendo wa full migogoro na majirani wote.
Hii ni baada ya Tanzania kusalimu amri kwa Kenya na kukubali madereva wake kupimwa na Wakenya, sasa imetangazwa hata kwa Uganda mwendo ndio huo huo...
Kichaa mmoja wa kiume alikatiza porini akiwa uchi kama alivyozaliwa wanyama wote wakatoka spidi kumkimbia.
Fisi akamuuliza simba, imekuwaje hadi wewe mfalme wetu umekimbia?
Simba akamjibu weee! nani hajipendi?
Tokea nzaliwe sijawahi ona mnyama mwenye mkia kwa mbele.
#MAN_VIBES
Aliyekuwa Msanii wa Muziki, Cheka Hija Mzee maarufu 'Bibi Cheka' amefariki dunia leo mchana Novemba 28 katika hospitali ya Mloganzila Mkoani Dar.
Kwa mujibu wa mtoto wa Msanii huyo mkongwe, aliyefahamika kwa jina la Adam Juma amesema mama yake alikuwa akisumbuliwa na matatizo ya moyo.
Bibi...
Cheka, Simulia, Lakini Usiombe Yakukute
Jamaa kaamka asubuhi kajikuta kageuka mdudu. Hii hapa simulizi yake, Die Verwandlung, imefasiriwa kwa Kiswahili. Ilichapishwa kwa Kijeremani mwaka 1915, mwandishi akiwa Franz Kafka.
Asubuhi fulani, wakati Grego Samsa akiamka toka kwenye ndoto za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.