Kundi hili limekuwa likisahaulika sana kupewa elimu juu ya maambukizi yanavyoweza kuambukiza kwa njia ya kushirikiana vitu vyenye ncha kali huko mashuleni kama vile viwembe, pini nk.
Watoto hawa wadogo wapo wengine wana maambukizi waliyoyapata kutoka kwa wazazi wao na hawajui lolote kutokana...
Shule za chekechea za binafsi zimekuja na kitu wanaita graduation kwa ya watoto wa chekekechea na huku wakimtaka mzazi kuchangia hadi 70,000 kwaajili ya kufanikisha sherehe ikiwemo kukodi joho.
Binafsi naona huu ni upigaji, wizara husika iliangalie ili
Wakuu narudia tena kuirudisha hii mada mpaka tupate majibu kutoka wizara husika. Kumekuwa na utitiri wa shule nyingi za chekechea na zingine zikiitwa Tuition zinazochukua watoto chini ya miaka mitano ambao hawajaanza shule. Katika safari zangu nilizotembea katika mji wa Arusha nimeona mjini...
Wakuu naombeni msaada kuhusu hii wizara ya elimu. Kuna mambo naona hayaendi sawasawa kuhusu hizi shule za chekechea/nursery.
Mimi sio mwenyeji sana nimehamia Arusha majuzi tu nikabahatika kupita maeneo ya Sanawari kuanzia Sanawari ya chini mpaka ya juu nimekuta shule za chekechea ni nyingi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.