Klabu ya Chelsea itavaa jersey yenye ujumbe wa visit Zanzibar kwa msimu huu huku Tanganyika ikiwekwa kando kama mtoto asiye na wazazi.
Kwa sasa kila jambo linakimbizwa Zanzibar hasa kimataifa ili Zanzibar ifahamike zaidi.
USSR.
Klabu ya mpira ya Chelsea (Chelsea FC) kutoka England itafanya ziara nchini Tanzania siku chache zijazo. Lengo la ziara hiyo ni kukuza utalii pamoja na michezo ikiwemo kujenga akademi ya mpira wa miguu hapa Zanzibar na Tanznania Bara.
Pia wageni hao watapata fursa ya kukutana na viongozi wa...
Wana sports leo ilikuwa mfululizo wa kipigo kwetu wana blues, kiukweli huwa naumia sana sasa kwa kuwa sisi huu msimu hatuna timu kabisa
Yaani usajili wote ni majeruhi na flop nimeamua kujiweka pembeni kwanza maana nitakua sina amani kabisa
Mpaka siku nikijaliwa kuingia kabsa Stamford Bridge...
🔴Leo: Chelsea imethibitisha kuwa Christopher Nkunku amefanyiwa upasuaji wa goti lake ambalo alilolipata huko Chicago.
(Pre-seasons match), wakati timu hiyo ikijiandaa na Michuano ya Ligi Kuu (Premier League).
🔃Na imethibitishwa na Klabu atakuwa nje kwa wiki 16 Sawa na. Miezi Minne🤔🤔🤔.
Huyu kocha Graham Potter aliyefukuzwa majuzi amekuwa millionaire ghafla.
Tangu Chelsea inunuliwe kutoka kwa billionare Roman Abrahamovich chini ya mwaka imeshafukuza makocha watatu Frank Lampard, Thomas Tuchel na sasa Graham Potter kabla ya mikataba yao kuisha na kuwalipa fidia ya mamilion ya...
Klabu ya Chelsea imetangaza kufikia maamuzi ya kumfukuza kocha Graham Potter. Nafasi ya kocha huyo itachukuliwa na Bruno Salter. Klabu hiyo ya jijini London imemshukuru kocha huyo kwa mchango alioutoa ikiwa ni pamoja na kufanikiwa kutinga hatua ya robo fainali katika michuano ya klabu bingwa ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.