Wakuu!
Juzikati Aprili 14, 2025 niliona kuna member hapa JF ametoa povu kuwa Mitaa ya Nyamwezi na Mhonda mlango wa kuingilia Soko Kuu (Shimoni) kuna chemba zilianza kutiririsha maji taka tangu Machi 2025 mpaka siku hiyo.
Nimepita hapo leo Aprili 22, 2025 nimeona eneo hilo limerekebishwa na...